Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
legends, wakafuraishwa na matokeoEdu, Gilberto Silva, Dennis Bergkamp, Jens Lehmann and Thierry Henry were at the game today.
Invincibles. 😍
View attachment 2199015
Hebu Arsenal waachane na hili bwege. Tayari ameshindwa kuprove kwenye EPL, wanam scout wa nini badala ya kwenda kuwa scout wakina Darwin Nunez?🚨 Arsenal will send scouts to watch Tammy Abraham on Thursday when Roma face Leicester City in the #UECL SF 1st leg.
(@TuttoMercatoWeb) #afc
Recruitment team inabidi ivunjwe iundwe upya Dunia hii imejaza a lot of strikers eti Thursday wanaenda kumscout Abraham?sisi wengine tunakaa kimya hata huyo Edu anajua kungata na kupuliza utashangaa Nketiah ndio main striker next seasonHebu Arsenal waachane na hili bwege. Tayari ameshindwa kuprove kwenye EPL, wanam scout wa nini badala ya kwenda kuwa scout wakina Darwin Nunez?
Norton cuffy bado uzoefu ataleta ishu kama Nuno Tavares, mchezaji mzuri either Djed Spence/Tariq Lamptey.Ni zile za pesa kubwa ,lkn sio kweli kwamba Wachezaji wazur wote ni being kubwa
Mfano Tieleman ni 25-30 , Neves hazid 40, Coady Gapko hawez zid 30
Backup ya LB jina lilikuwa Livermento , bahat mbaya Jana kaumia atakuwa nje miez 8-9
Kuna dogo LB alitolewa mkopo amefanya vzr na mashabik wanaomba arudishwe asaidiane na kina Tomiyasu ,Ben white
Akishindwa epl ndio mchezaji mbaya?Hebu Arsenal waachane na hili bwege. Tayari ameshindwa kuprove kwenye EPL, wanam scout wa nini badala ya kwenda kuwa scout wakina Darwin Nunez?
Tammy ana height inayopelekea awin duels nyingi, so ni mzuri kwenye build up lakini pia goal contribution G+A yake sio mbaya, nilichogundua Arteta anatafuta Striker wa kuifanya Arsenal kuwa unpressable team, kuweza kubuild play kwenye mazingira yoyote yale whether going short/ going long. Kwenye my wishlist nina Toney & Tammy then kaa chini uione Arsenal inavyoexcel.Kwan Arsenal wamekubali kutoa ?na hata wakitoa Kuna kitu bench wameona
Arteta toka msimu uliopita anamtaka Tammy , Kuna kitu ameona ndan yake ,
Mm ningeenda kwa Jesus na Nunez au Jesus na Schik ,
Ila kama anamtaka Tammy lazima tuheshimu maamuz yake ,
Unamtaka Tammy ndugu yangu, utagombana na watu humuTammy ana height inayopelekea awin duels nyingi, so ni mzuri kwenye build up lakini pia goal contribution G+A yake sio mbaya, nilichogundua Arteta anatafuta Striker wa kuifanya Arsenal kuwa unpressable team, kuweza kubuild play kwenye mazingira yoyote yale whether going short/ going long. Kwenye my wishlist nina Toney & Tammy then kaa chini uione Arsenal inavyoexcel.
Rice inaonesha haondoki, Moyes kasema bila £150m haondokiSo Man city wanamtaka Haaland na Declan Rice? ila Mikel Arteta mwamba watakaa tu.
So si hatuna backup ya Partey, au ndo Sambi lokonga?
Ndo kusema Xhaka atakua mashakani kama deal la Neves likikamilikaWolves expect Rúben Neves to leave the club this summer with Arsenal and Barça the only sides to register concrete interest in the midfielder so far, reports
@MENnewsdesk. https://t.co/VNHHF6qGSp
Aisee yaani tangu asubuhi mpaka mchana namuambia mtu kama price tag itakua juu haina haja ananikatalia ila kaambiwa same thing anakubali.
Sometimes watu wanaamka na watu humu.
Tujihadhari.
I support this!Muda hao watu wanasajiliwa wewe ulikua umejipiga ban kutokana na matokeo ya timu hivyo hujui watu tuliandika nini.
Arteta akimtaka mtu automatically huyo mtu anakua bora katika anachofanya na haturuhusiwi kuangalia alipopita, alivyocheza na mchango wake? Kwani Arteta si ndiye alimuopt Partey na Ceballos badala ya Aouar? Nini kilifuata?
Few screenshots unazopost hapa hazikufanyi uwe Arsenal zaidi yangu na hazikupi mamlaka ya wewe kuniuliza mimi ni nani namkataa Tammy.
Kama unaamini unaweza ona quality ya usajili wa mtu njoo na hoja, haya maneno ya jikoni yahifadhi utayatumia siku ikifika.
Inaonesha ni jins gan hujui unachoongea , mm sijawahi kutaka usajiri tu, ndio maana kuna wanaolalama humu kutofanyika usajiri JanuaryI support this!
Aaron Arsenal nimewahi kueleza unahitaji kuona sajili tu pasi ya kufahamu nani anasajaliwa (Its like utoke useme Arsenal tumesajili to other teams fans blah blah)
Niliwahi kukueleza humu Willian ni worst blah blah zikawa nyingi matokeo uliyaona before that nilieleza Pepe matokeo tunayaona.
Fuatilia comments zako kuhusu Torreira, Mari, Maitland Niles, Saliba wakati wanasajiliwa na wakati wanaondoka unaweza kupata kujielewa ni mtu wa callibre gani.
Abraham sio mchezaji wa kucheza Arsenal tafuta zipo a lot of facts na factors, Abraham ni Seria A league na other farmers leagues player.
Inaonesha ww Ni aina gan ya mtu muongo , Toreira kaja kipind Cha emery ,hakuja mbovu ,ila emery baadae akaamua kukomaa na Guendoz,Fuatilia comments zako kuhusu Torreira, Mari, Maitland Niles, Saliba wakati wanasajiliwa na wakati wanaondoka unaweza kupata kujielewa ni mtu wa callibre gani.