Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unahisi why Pep alimtaka Kane na Jesus yupo wakati Aguero anaondoka?why tena now anamtaka Haaland na Jesus yupo?kwa nini ahangaike kutoa Mamilioni ya Paund wakati Jesus yupo?si ana kiwango cha world class player?sijui kwa nini Pep anahangaika wakati anaweza akamfanya Jesus awe first choice
 
 
Unaanza kuonesha ni jinsi gani umejiandaa kubisha mkuu, unapoleta takwimu za Aguero kucheza game 257 unalinganisha na Jesus nakuona kituko

Angalia Aguero ameenda city mwaka gani na Jesus kaenda city mwaka gani, au unataka tujumlishe na mechi za Jesus tangu yupo Sao Paulo huko Brasil?

We ungefanya hivi, chukua idadi ya mechi tangia Jesus aje pale city mwaka 2016, na huo mwaka ndio alicheza game 10 Tu kwakuwa alikuwa bado hajazoea ligi, kwahiyo huo mwaka ni kweli alimkuta Aguero kama chaguo la Kwanza ila baada ya kuingia msimu uliofata Yani 2017/2018 kaangalie takwimu
 
Mbona hizo stats ulizoweka ni kama Wameanza wote au mm sijaelewa?
Simply means Aguero alitegemewa kabla Jesus hajaja na akategemewa hata alipofika.

Mechi ambazo Jesus anakaribiana na Aguero ni FA na Carabao. Why? Kwakua huko ndipo second choices hucheza.

Also tukumbuke kwamba hapo nimehesabu mechi sijahesabu minutes kwakua mechi zingine Jesus hakuanza. Katika minutes Jesus ana 8000 Aguero ana 19,000+
 
Ok ni hivi.

Aguero alikua anatokea benchi na starter alikua Jesus. In fact Aguero kacheza mechi chache mno hata ikabidi asingizie majeruhi
 
Roma want €80m for Tammy Abraham. Arsenal are interested in signing the striker. He’s on their shortlist of targets. [@ChrisWheatley_]
 
Neuer anasajiliwa Bayern alikua anazomewa msimu mzima au nusu msimu.

Kocha aliona potential akamsajili Neuer lakini mashabiki wakawa wanazomea.

Leo Neuer yuko wapi?

Yeye kocha kuona potential hainizuii shabiki kusema ninachoona na mimi naona Tammy hana ukali huo.
 
Mechi ambazo Jesus anakaribiana na Aguero ni FA na Carabao. Why? Kwakua huko ndipo second choices hucheza.
Sio kweli hapa unatudanganya ,hizi hapa stats zake za Epl

Mimi Pep kwangu ndio best manager ,na Super kwenye Rotation ,

 
Unahisi why Pep alimtaka Kane na Jesus yupo wakati Aguero anaondoka?why tena now anamtaka Haaland na Jesus yupo?kwa nini ahangaike kutoa Mamilioni ya Paund wakati Jesus yupo?
Tatizo lenu nyie mnajiandaa kubisha Tu bila facts, Pep alishawahi kuwa na Aguero kwenye team yake, na Zama za Aguero hakuna striker alikuwa anamzidi uwezo pale England ata huyo Kane

ila Pep akawa anamsugulisha benchi mfungaji Bora namba 3 wa muda wote katika ligi ya England na kumuanzisha Jesus, kwahiyo Kwa pep hoja sio ufungaji Tu, yeye anataka mfungaji ambae anaweza kucheza kama kiungo pia ndomana Kane ana namba kubwa za Assist

Kwahiyo kama wewe unadhani eti pep anataka mtu anaefunga magoli 40 Kwa msimu ujue unapotea mchana kweupeee, jamaa anaangalia wachezaji wanaofit katika system yake full stop, Pep anafuta Messi wa aina ingine, mchezaji ambae ataweza kufanya majukumu mawili Kwa usahihi, Kufunga na assist
 
Sina kumbukukumbu Neur alizomewa ,maana nakumbuka anasajiriwa tayari alikuwa na uwezo mkubwa ,,

Hasa akiuonesha kwenye mech dhid ya man U wanapigwa 2-0 , alitakiwa na wengi , mwisho anaenda Bayern akiwa potential ,hakwenda kinyonge kama alivyokuja mfano Ramsadale,

Hiyo kuzomewa naisikia kwako Leo kama ipo sawa , maana hapa uliniambia Osmhen ana rekod za red card wakati,ana misimu miwili ana red 1
 

Upo sahihi kuhusu Pep swala yeye Ni ufit kwenye system yake , ndio maana alitimua wachezaji weng wakubwa wakat anaichukua Barca na hata alipofika city
 
Mkuu. Hii tafsiri yangu mbona kama ni nilivyosema awali na unairudia mara kwa mara?

'does not rule out...' na hii phrase ndiyo key hapa, tafsiri yake moja kwa moja haimaanishi anataka sajili zaidi ya moja au mbili. Rather inamaanisha anataka sajili moja au mbili baaas. Ikimlazimu, ataongeza. Hii ndiyo tafsiri ya statement yake kwetu sisi wasomaji wengine. Hatumwekei maneno mdomoni. Tunaenda na alichosema.
 
Hoja ipi vipi?

Tulihitaji AM akaja DM.

Nikaita usajili wa DM ni panic buy na utatusumbua kupata magoli ila atatusaidia ulinzi.

Na ikawa hivyo.

Hapo unataka hoja gani?
Nakumbuka kweli kipindi cha nyuma wakati anasajiliwa Partey lengo lilikuwa waje wote wawili ila bei ikawa kubwa so akaja partey peke yake. Na nakumbuka wewe ulisema tuliitaji AM kuliko DM na wengi tuliona hivyo maana timu ilikuwa haitengenezi nafasi na timu ilivyoanza kufanya vibaya kuna baadhi ya watu walianza kusema kwamba ina maana castr anaona mbali zaidi kuliko arteta na bench lake la ufundi
hakika kilikuwa kipindi kigumu kidogo.

Ila baada ya muda nadhani tumekuja kuona kwanini arteta alianza na DM. Kwamba alijua Odegaard atakuja kuwa vzr na issue ya AM itakuwa solved na ndicho tunachokiona sasa kwani hakuna mtu anaongelea tena AM badala yake tunaongea CF.

Yote kwa yote kila mmoja anamtizamo wake na option zake na huo ndo mpira wenyewe kwamba kila mtu anaangalia kwa angle yake na kuona ni sahihi. Muhimu tuwe tunatoa sababu za tunachokiamini ili tupate fursa ya kufuatilia na kujifunza.
 
Labda kama ww umesikia hivo, lkn hao wawili Ni Marquee names, lkn limit sio 2 tu, Fabrizio,Charles watt,Chris Wheatley wamesema , Sasa mm nimuwekee maneno gan ,alichoongea juz Ni kidogo tu kagusia

Jaribu kutembelea vyanzo vya kuaminika uone
 
Sio kweli hapa unatudanganya ,hizi hapa stats zake za Epl

Mimi Pep kwangu ndio best manager ,na Super kwenye Rotation ,

View attachment 2202132
Nakudanganya na nini? Mimi nimetoa overall balance, msimu wa 19/ 20 Jesus alikabidhiwa mikoba mazima akashindwa deliver mechi 34 , means katika 38 hajacheza nne tu ila magoli alifunga 14.

Aguero akacheza mechi 24 na akascore magoli 16.

Ndiyo 20/ 21 akatakiwa Kane. As Jesus alionyesha hawezi tegemewa na Aguero kashakua na miaka 32.
 
Sasa Aaron Arsenal anasema Tammy kwakua katakwa na kocha mimi ni nani nione hafai.

Hakuna namna tutalingana mawazo.

Mimi ni miongoni mwa wenye imani na Arteta ila hainizuii kutoa maoni. Alitakwa Lewin nikasema, Locatelli, Vlahovic n.k kwanini tumefika kwa Tammy Aaron anakua mkali anaandika maneno ya jikoni?

Kwamba ana umiliki na Arsenal sasa.
 
Sasa mbona unahama hoja yako ya second choice,

Hakuna anayebisha Kun alikuwa the best sio kwa Jesus tu
 
Mbona ww ndugu mkali hivo, ukipingwa kwa hoja unasema Mimi naongea maneno ya jikon mara na umilik arsenal

Wapi nimeongea shit , hebu shambulia hoja sio Mimi,

Umeanza kutudanganya kuanzia kwa Osmhen asije kisa ana red nying, mara Jesus Ni second choice , umekuwa ukijibiwa kwa fact , unasema maneno ya jikon

Mara tuna umilik na Arsenal

Hakuna anayekubaliana na Kila sajiri ,Hilo sio tatizo, ila jifunze kuheshimu taaluma za watu,

Uliwahi kusema humu Odegaard sio AM , ulimkataa Ramsadale bila hata fact

Ila ukijibiwa unasema una attack mtu ,
 
So Osimhen ana red hana?

Wewe kutojua kama Neuer alizomewa haimaanishi kwamba hakuzomewa. Ni ama utafute ukweli au upokee kama nilivyoandika.

United ilimtaka pia Neuer hiyo 2011. Ila akaopt Bayern na mashabiki wakajipanga kwenda kuzomea bodi ikawaambia mashabiki waache kumzomea na wamheshimu.

Mashabiki wakaingia na mabango yaliyoandikwa 'No Neuer'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…