Arsenal (The Gunners) | Special Thread

kwahiyo wasingenunuliwa tuu?
 
Si ndio hapo, Raheem Sterling anacheza timu ndogo kama Man city wakati vitoto vya academy visivyojua mpira kama Bukayo Saka vinacheza Arsenal, yaani Arsenal ni matakataka tu, Arteta afukuzwe haraka, hatuwezi kufuzu UEFA bila Arteta na The Kroenkes kuachia hii timu, mambo ya kisenge haya.
 

Kuna Siku utakuja kutamani usingeiandika hii Post
 
Hahahahahahahaah. Akanipigisha ban
 
Na bado kuna watu wanasema arsenal haishindi against top 6
 
Na bado kuna watu wanasema arsenal haishindi against top 6
Usilazimishe kitu ambacho wengine wanaona wapo sahihi pia, kuna ambao tunaona Arteta hawezi kutupeleka kwenye big achievements others wanaona Arteta ni kocha sahihi wa timu yetu ya Arsenal,kuna sisi tunaona Arsenal anastahili kubeba big trophies
wengine wanaona Arsenal kuwa Top 4 ndio trophy
,wengine tunaona baadhi ya players wanaotaka kununuliwa sio sahihi wengine wanaona hao players ni sahihi ukisema tuweke sababu page itajaa hii but kaa ujue kila mtu ana sababu zake mimi naona zako zinaweza zikawa si sahihi but wewe unaona zetu zikawa sio sahihi so TUJIFUNZE KUKUBALIANA KUTOKUKUBALIANA that's it kama unayataka mengine yaliyo nje ya football utayapata
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kwani nilikuquote wewe???? Wewe uliita mods juzi hapa nikala ban

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…