Acha uzushi bana.....Wenye nyumba mbona tupo wa kumwaga humu ndani..........Hatuna kawaida a kukimbia sisi kama majirani na watani zetu(except Peasant).......Tupo mpaka usubuhi hapa,we ebdelea tu na kujaza bandwith........
Arsenal; Together we Stand
Pole mkuu sasa tukitoa makosa ya refa vipi mpira unaonaje maana naona mbele umeme ulikua umekatika kabisa.Dah hiyo FA itakua balaa maana sisi tumelose mechi mbili mfululizo na nyie mmeshindwa cups mbili mfululizo,kaazi kwelikweli
Bad day in the office..............😛ray:...huyu dogo kani bore leo,...what was he thinking?!
Pamoja mkuu wangu...Sijajua u timu gani Barca,Moro Utd(Man Utd),Chelsick,Liver Manciteh,Spurs ama Stoke City ndo maana nasema u hapa SEF maana asilimia kubwa nawajua na timu zao.....wako wazi
hahah mkuu uchune tu. yaani kama si BJ kuulizia nilipenda nikuwe undercover tu, kuna njemba zina hasira balaa hapa. kesho mida ya game sipatikani, game za spurs zote napotea kabisa kitaa nazama pub...alaaa kumbeeeeeee?! ha ha ha, so nice to know this!
Siku zote ulikuwa umejificha wapi bana, jukwaa mpaka Shedafa linaanza kumshinda sasa...
Stand up and be counted bana!
Haya, kesho tutakuja jumuika nanyi kwenye kiporo chenu na AC MILAN, Rosssoneri wa Abdulhalim na Gang Chomba.
Acha uzushi bana.....Wenye nyumba mbona tupo wa kumwaga humu ndani..........Hatuna kawaida a kukimbia sisi kama majirani na watani zetu(except Peasant).......Tupo mpaka usubuhi hapa,we ebdelea tu na kujaza bandwith........
There are currently 57 users browsing this thread. (27 members and 30 guests)
Balantanda Navoyne G.shayo Papizo LoyalTzCitizen Arsene Wenger Eqlypz Mwera Manda+ NGUZO mfarisayo The Invincible Shakazulu punainen-red Next Level+ Consultant Questt Bonge Watu Katavi nassdadon El Toro
Arsenal; Together we Stand
hahah mkuu uchune tu. yaani kama si BJ kuulizia nilipenda nikuwe undercover tu, kuna njemba zina hasira balaa hapa. kesho mida ya game sipatikani, game za spurs zote napotea kabisa kitaa nazama pub
Aminia mkuu....Jumamosi tunacheza na nyinyi nadhani tutaongea sawa kabisa na tutafurahi sawa mkuu, take it easy bro kuna siku ya kufurahi na kutokufurahi.....
hahah mkuu uchune tu. yaani kama si BJ kuulizia nilipenda nikuwe undercover tu, kuna njemba zina hasira balaa hapa. kesho mida ya game sipatikani, game za spurs zote napotea kabisa kitaa nazama pub
...namimi nimo! TOGETHER WE STAND mpaka kieleweke hata kama itatuchukua miaka mingine mitano, in Arsene Wenger We Trust!...
...acha tu kwanza, hebu tuacheni japo tunywe maji bana nyie vipi? LOL...
Itabidi uwe mpole wiki yote kama wacha1 hadi utokee msiba mwingine...............ahahahhh...acha tu kwanza, hebu tuacheni japo tunywe maji bana nyie vipi? LOL...
Bad day in the office..............😛ray:
daAbdulhalim alikuwa hivyo hivyo , watu wakampabana akaamua akimbilie ligi ya italy lol.
ha ha ha peasant ni ajabu mpaka sasa hivi hajatokea, sijui alienda kuangalia mpira pub akawauzi washabiki wa arsenal huko lol.i hope yuko salama.hahaha hapa bado wale waungwana wa chelsea hawajaja bado lol....hapo the 12th mtakuja kama mbogo aliyejeruhiwa
mnh, sidhani...naona kama tayari keshajinunulia ticket ya summer kwenda Barca!
Wojciech Szczesny fears his season could be over after suffering a finger injury against Barcelona in the UEFA Champions League.
Dua zenu wakuu wa gunners zinahitajika kwa kipa wetu.
Wala hujakosea mkuu mie namtupa mpaka namba 5 nampa 4 SONG.Atambae zake bana.......Mwaka huu naona kachemka tu.....Kwenye orodha ya ubora awez kuwa wa nne 1.Samir Nasri--2.Robin Van Persie--3.Jack Wilishire--4.Cesc Fabregas............Huu ni mtizamo wangu tu
Atambae zake bana,tena Ramsey kapona,ataziba nafasi yake akiondoka