makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,731
- 103,602
Tunakata rufaa, why MAGWAYA hayupo, halafu huyu ronaldo si bado ana msiba, Manchester msitutanie, hatutii timu uwanjani tu amtaka MAGWAYA.
Hapa ninaomba tupate 3 points kwa udi na uvumba hata kama baadhi ya Fans ambao mmojawapo ni Mimi tupo against na Management na Owner kwa ujumla but kufungwa na Manchester United ni dhambi kubwa ,I am ready bro tuombe MunguNaona upo tayari kwenye screen



Sawa mkuu, tufanye Arteta si kocha wa kufundisha arsenal anatupotezea tu time, limeeleweka hilo.Acha niendelee kuwa shallow na tuendelee kukusoma with your hypothetical thinking
Shabiki la Man u likijipendeza arsenal, tulia upigwe ukuni we ARV.Hapa ninaomba tupate 3 points kwa udi na uvumba hata kama baadhi ya Fans ambao mmojawapo ni Mimi tupo against na Management na Owner kwa ujumla but kufungwa na Manchester United ni dhambi kubwa ,I am ready bro tuombe Mungu
Lakini hawajeruhi wachezaji wenzake.Huyo Varane na hiyo miguu yake isiyo na balance hana tofauti hata kidogo na Maguire.
Shabiki la Man u likijipendeza arsenal, tulia upigwe ukuni we ARV.





Ee mama mtuNyie ndio kusema kwamba gari imewaka au![]()
Mkuu me najibu hoja yako ya kusema Jesus uwezo mdogo na hajawahi kuscore goal 10 per season, sikuwa na maana kwamba Jesus ni striker sahihi Kwa arsenalKatika hyo hyo system wameamua kumnununua HAALAND na Jesus kaona hana nafasi sasa sijajua why Pep kaamua kumtaka HAALAND na last season KANE wakati ana JESUS I don't know why!na sitaki kuamini kama KANE or HALAAND watafanyiwa rotation wakiwa Manchester City sitaki kuamini hilo labda kwenye FA na Carabao Cups lakini sitaki kuamini kama watafanyiwa hvyo kwenye Champions league or EPL why Pep anahangaika kutoa Mamilioni ya Paund wakati JESUS yupo why?