computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,039
Kwani tulivyomfunga Spurs hakuwa timu kubwa ?sio Big 6?Si ni wewe ulikuwa unakataa kwamba arsenal si lolote kwa kuwa hajapata matokeo kwa timu kubwa au umesahau mpaka uletewe arguments zako tena?
Katika big teams zote nikilose vs Manchester United naonaga aibu kubwa sana tomorrow Arsenal lazima ashinde vs Manchester United maana hata my wife ni Manchester united hakuna fan yoyote wa Arsenal alijua tutawin vs Chelsea that's why hata wewe huamini matokeo hayo unaona maajabu na kila saa kuuliza maswali ya ajabu tu