Arsenal (The Gunners) | Special Thread


KOCHA SI LOLOTE SI CHOCHOTE..

KWANI KATI YA ARTETA NA MAGUIRE NI NANI ALIWAHI KUCHUKUA KOMBE KUBWA ZAIDI YA MWENZAKE?
 
Xg numbers;

Southampton (0.65) 1-0 (1.72) Arsenal

Over the last five matches:
Arsenal (6.91) 2-8 (4.46) Opponents

So we created enough...
 
Hawawezi kuendelea kubaki arsenal kama timu yetu haina muelekeo

Wakiondoka tunasajili wengine, kwani si waliletwa na Arteta au? Football is not a zero sum game & Arteta's talent id is key to this football club. Kwani si Arsenal fans mlikuwa mshasusia hata kuangalia games za Arsenal, sa malalamiko ya nini kama hamuoni progress wakati ni kitu mlichonormalize wayback?
 

Leteni ndizi utumbo ushapatikana huku, temaji lishatema sumu😁
 
Sijawahi kususia game za arsenal mkuu
 
Mbona uzi umepooza utazani hamna game leo 🀣 umsipoangalia game dhidi ya timu yetu ya Chelsea still hamtakuwa na tofauti na watakaoangalia maana maumivu yatabaki pale pale
 
Pale striker ndo shida Hawa makinda wanapambana ila inaonekana bado ukomavu kwa timu kubwa bado
 
Anatakaje European futball wakat yeye mwenyewe hafungi magoli ya kutosha??
 
Naomba kikosi kikamilike, mambo ya kusema mchezaji flani alikuwa mgonjwa au amechezeshwa nafasi isiyo yake hatutaki kuyasikia mana kuna muda mambo yakiwa magumu unamkuta kipa ameenda kuwa mshambuliaji lkn hapo hamsemi kipa amecheza nafasi isiyo yake,
hvy mm mshabiki wa chelsea sitaki kusikia malalamiko yenu Arsenyeto.
 
Kabla mechi haijaanza, Naombeni mnipe ratiba ya uchambuzi wa kina wa mechi ya leo ili tusije kukimbiana wakati wa kipigo, niambieni kabisa ili muda ukifika niwashtue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…