Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nilichokipenda kwenye hili game ni mmecheza vizuri na kwa umoja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hivi super Tommisayu yuko wapi sijamuona kitambo kwenye kosi letu ?
 
Papaa Gx , nyie si mliamua kumchukua Lukazigo
 
Poleni Gunners wenzangu. Hata game sikutaka kuiangalia maana sikuona matumaini yoyote. hii ni bonge la bad patch na sioni ikibadilika hivi karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…