Jamani michelle pooole, mtusamehe akiua nia yetu ila ni bahati mbaya tu lets meet on saturday
hehehe mkuu watu wana hasira leo, kama wangekuwa mod, wageni wote wa hii sredi tungekula ban. hapa leo furaha yangu lazima nimpeleke waifu shopping usiku huu huu. lakini lazima tuwape pole pia jamaa.Wakuu napenda sana kuwapa pole na tusichukiane jamani ndio mpira huu na ni hali ya kawaida.....sisi juzi tulikandamizwa 3 na watu walitucheka sana ila tukasema lazima leo tuje tuwape kampani humu ndani.....poleni sana na tutaonana tena mwakani .....hahahaha
Hizi stats nyingine za ajabu sana 'Stats are staggering
in Barca vs Arsenal: passes 717-195; shots 19-0'
Mkuu Gunners huwa hatukati tamaa mpaka kieleweke... we just need to add 2 or 3 good players in order to rule the World.
hehehe mkuu watu wana hasira leo, kama wangekuwa mod, wageni wote wa hii sredi tungekula ban. hapa leo furaha yangu lazima nimpeleke waifu shopping usiku huu huu. lakini lazima tuwape pole pia jamaa.
Pole mkuu lakini kwa nini sasa mlimtoa gallas???maana yule jamaa pamoja anaongea lakini ni chombo.....
Arsenal itabaki kuwa Arsenal na tutabaki kuwa The Gunners,ya leo ni ajali tu(4-3 agg si haba)......Cha msingi tujipange tu for EPL pamoja na kundeleza kilio Morogoro kwa Moro Utd hiyo jumamosi........
Sisi ndio Arsenal bana.................Together we stand
hongera sana mkuu.....mimi sichunii mtu.....am happy when you are happy....you know what i mean....l.o.l:hand:
hehehe mkuu watu wana hasira leo, kama wangekuwa mod, wageni wote wa hii sredi tungekula ban. hapa leo furaha yangu lazima nimpeleke waifu shopping usiku huu huu. lakini lazima tuwape pole pia jamaa.
mimi nina DNA ya white hart lane bana, spurs forever. hawa jamaa ni wagomvi wangu wa jadi.Klorokwini halafu wewe uko timu gani?..Chelski? au!!
Yani una furaha kiasi hicho hadi late night shopping!!..haya bwana, huruma sana kwa Arsenal..nawapa pole pia!!
naangalia superspot hapa na wamemjadili huyu refer kumbe ni awaida yake kutoa reds za ajabu... wamemtrace like ten years ago na nyingine maarufu ni ya kunhe world cup 2010
Ngosha... big up, they say we dont dont bow down... language of heroes
poleni lakini mmepambana kiume
tunakumiss kule kwetu mazee
Pole mkuu maana barca wamenifurahisha sana 3-1 kama yaliyotokea anfield kipimo kilekile.Haya tusubiri hiyo FA itakua vipi.Fabregas naona alicheka Messi alipofunga penati. Aombe mungu pundits wawe hawajainasa hile .
Ah Gallas naye wa kumuongelea kweli? Mpaka leo ni chui na paka na Nasri