Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
Wana midomo sana kama mawifi wa kizaramo.Baadhi ya fans kama nyie mkiambiwa mpunguze mdomo mnaishia kukashfu watu
Hapa computerarsenal jiandae kabisa maana hawachelewi kukusingizia kua wewe ndio umesababisha leo timu kufungwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]