Arsenal (The Gunners) | Special Thread

3 bila sema ivi mlikua mnafanyaj uwanjan
 
Tuna games na Chelsea, Spurs, ManU na West ham. Niambie hizo games ni wapi tutatoka. Coz Spurs and Westham will smash us..!!
Kwa kutumia uzoefu wa kubet sijajua, sababu kuna vijifactor vingi huwa navizingatia.

Ila kiharaka haraka hapo kuna point 7-9, ndio tunaweza vuna tukijikaza hapo.
 
Tactical intelligence ipi? Mimi naongea kitu nachokijua, Viera hana maajabu yoyote, wachezaji wetu wana ufather sometimes, unawezaje kucontrol game kama wachezaji hawana calmness? Nafasi ngapi za wazi tumetengeneza tunakosa wao wanafunga?
Learn to appreciate, mkuu.

Viera amewa outsmart na ndo' maana mkala tatu bila hapohapo ambapo Man city alitoka bila kugusa nyavu dakika zote tisini.
 
Trouble starts here, partey injured, Tierney injured, tomayasu injured where do you see Arsenal ?
Arsenal haina kikosi kipana.

Hao waliopo first eleven akikosekana mmoja au wawili mbilinge hamna wa kuwareplace.

Lazima watepete.

Ukitazama tu benchi unaona kabisa hamna wa kubadili game.
 
Kuwa na kumbukumbu basi, kwamba tumefungwa home and away na c.palace
 
Wakuu mpira sio vita kwamba lazima mtu afe ndo ushinde. Timu yetu imekuwa ikifanya vzr lkn leo hali haikuwa nzuri kabisa na hii huwa inatokea na kufungwa mechi ya leo haina maana kwamba nafasi ya kuingia top 4 itakuwa ngumu kuliko ilivyokuwa mwanzo hapana.

Kipindi cha kwanza ni km vile timu ilikuwa imepigwa dolo yan wachezaji karibia wote walikuwa wazito, nadhan hii inaweza kusababishwa na uchovu au kutotrain kwa pamoja kwa muda katika kipindi cha mechi za timu za taifa na ukizingatia asilimia kubwa ya wachezaji wa kikosi cha kwanza waliitwa timu zao za taifa.

Binafsi japo nimesikitika kupoteza mechi lkn kocha amefanya kila jitihada ili kunusuru kupoteza point lkn ndo hivyo ten a mambo yalikuwa magumu. Nadhani sasa gem inayofuata tunaweza kurudi kwenye mwendelezo wetu wa ushindi na hatimae kujihakikishia top 4.

Lkn pia wakuu tujifunze kuwa na mioyo migumu tusiwe tunaona mapungufu tu pale timu inapofungwa kufungwa kwenye mpira ni suala la kawaida hata kama una kikosi kizuri ndo maana utaona kila timu inafungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…