Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

So amna improvement unayoiona ?
Improvement ipo siku nyingi TU tangu Arteta aichukue gunnerz lakini hiyo improvement Haina consistently.

Arsenal anaonekana ka improve Kwa sababu ya kukaa muda mrefu bila kucheza. Ivi unajua kama Arsenal kasogea kwenye idadi Sawa ya mechi baada ya kucheza juzi game ya Liverpool na Aston villa.Kabla ya hapo alikuwa na idadi ya mechi 25 Ingali wengine Wana idadi ya mechi 29 mpaka 28. Hiyo imechangia Arsenal kuonekana wako fresh Kwa advantage ya wachezaji wao wote kikosi Cha kwanza kuwa fit ko Ile confidence na spirit ya ushindi ilikuwepo. Kama kawaida Arsenal zile must win kujiweka vizuri Huwa ana dondosha point licha ya kuwin mechi karibia Tano bila kupoteza previously before.

Ligi imerudi,subiri muwe na game wiki hadi wiki au baada ya siku kadhaa uonee improvement vizuri.
 
when they cant find something wrong about you,then they will definitely create that"wrong"
no body says arsenal is top perfoming and cutting it short even next year we dont expect mirracles as many outsiders view our team.we need a proper progressive process and arteta is the right manager to spearhead it.
some will compare the imadeate change shown by xavi hernandez at barcelona,bear in mind that we are not barcelona generally and in details.
what people hate about arsenal is the future posibility displayed by curent squad.its not yet but at least its promising.
 
Muda utaongeea Mkuu!
Binadamu hatupendi kuambiwa ukweli,tunapenda kufarijiwa zaidi.
Ukisema ukweli Unaonekana mbaya.
 
Kwa kutegemea first eleven mechi Baada ya siku nne ni hatari saana.
Hapo Saka awe injury kocha itamlazimu kumtumia Pepe Ingali siyo plan yake.Xhaka au Partey apate redcard au njano tatu MFULULIZO itamlazimu amtumie Lokonga lakini inakuwa siyo plan yake,Martinnel apate pancha hapo Smith rowe atatumika Kwa ulazima Ingali siyo plan ya kocha,Ramsadel akipata hitirafu matokeo yasipatikane atasemwa Sana Leno Bora auzwe
Screenshot_20220401-115201.jpg
 
Dogo jifunze mpira uelewe vizuri, sio makosa yako, mahaba yanakutesa.
Huna hoja,Kanywe double kick akili ikukae vizuri. Matamanio yanakutesa saaana.Yani unatamani makubwaa ingali uwezo hauna.

NGUVU YA SODA#
 
Hongera kwake. Itampa confidence zaidi.
Sijui kawashindage wengine walioshinda mechi zao zote ila vizuri kwetu.
Hao walioshinda mechi zote wamecheza game 3 na yeye kacheza game 4 na kupigwa 1, so 4-1=3 kwahiyo Ngoma draw

unahisi Nani alistahili kushinda kati ya aliecheza michezo mi3 na kushinda yote na aliecheza michezo 4 na kufungwa 1?
 
Nilidhani mpambano ulikuwa kati ya Klopp na Tuchel. Kina Arteta wamewekwa kujaza nafasi. Kumbe young boss Mik Teta anasepa na zawadi.
 
Sawa.Mchaka mchaka wa Ligi unarudi kuanzia kesho. Visingizio havitakosekana matokeo yakitokea yasiyo tarajiwa.

Lacazate hatakiwi kumaliza dk 90,Ile faulo ya Xhaka angeacha TU,Leno haijiamini baada ya kupoteza Rasmdale,Partey na odergard Wana over work baada ya international break ndo maana kiwango hakikuwa kizuri,Martinnel ana udhi ana Kaa na mpira Sana badala ya kutengeneza nafasi au kufunga,Rowe na Saka mechi mbili wana perfom mechi mbili hawaperfom, Huyu refa ana ionea Arsenal, Uingereza Hawataki Arsenal acheza uefa Kuna watu watasema hivi . Yes it's Rubbish

Injury na Corona Kwa wachezaji kumefanya kuonesha gape. Si muwe na kikosi kipana chenye rate Sawa Kwa wachezaji. Liverpool akikosekana Fabinho Jones anakiwasha, Akikosea TAA James anakinukisha, Thiago akikosekana chambalen product yenu Inakipiga Mane na Salah Kuna minamino na jota na mcolombia.Partey,Saka,Martinelli ,Ramsdale kilio
Achana nao hawa mzee JK alishawaita ni kichwa cha mwendawazimu.
Katika mechi 9 zilizobaki 4 wanachapwa, 3 watashinda halafu 2 ni draw.
Nina uhakika mechi zote zilizobaki wakijitahidi sana wataondoka na point 11 ila wakiendeleza ule u AssANAL wao hawazidishi point 9.
 
naona wapiga ramli wametia timu

na hapo arteta bado hajaisuka timu ipasavyo

awali tuliambiwa tutashuka daraja
 
Gabriel Martinelli...

"Martin Odegaard, for example, covered about 12 km when we beat Wolves, despite being a person whose main task is to create a pass and enter the penalty area." "Everyone is doing their best to reach our goal."
 
Back
Top Bottom