Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Siangalii mechi nilifikiri game uhakika naifuatilia livescore.

Mbona ni komedi hii
 
Bro naona haujanielewa ngoja nikueleweshe Mdau hapo Juu amesema Crystal Palace ni easy game nikamkumbusha hao Crystal Palace this season Emirates bila Laca kuscore katika Injury time Arsenal angepata 0 point that's why nkasema game ya Crystal Palace sio rahisi rahisi why ya nini kuongea game haijachezwa?let's wait kesho Arsenal ikishinda kuongea sio tatizo

Tena moja ya Game ambayo Arteta chupi zilijaa jasho hata kwa fans ni vs Crystal Palace walitupelekesha pale Emirates second half bila kutegemea so tusubiri anything can happen
I wrote yesterday tuendelee kukumbushana na waropokaji ila hali halisi inafahamika tuendelee kuenjoy game uwanja mgumu sana huu
 
Tupunguzage makelele humu Arsenal yetu inafahamikaga that's it kuna fans muda wote wanaropoka utafikiri Arsenal wameijua Jana if leo tukafungwa unategemea ukashinde kwa Big teams harufu ya damu inanukia kwetu oh God
time will tell not one mtch
 
I wrote yesterday tuendelee kukumbushana na waropokaji ila hali halisi inafahamika tuendelee kuenjoy game uwanja mgumu sana huu
Hawataki kuambiwa ukweli hawa.
Sasa hivi wataanza kukuporomoshea matusi, kukudhihaki na kukutukana.
Wanapenda kuambiwa maneno matamu matamu tu.
Ukitaka wasikuone msaliti we jitoe ufahamu kama wao ndio utaenda nao sawa.
Nakuonea huruma sana computerarsenal kuwa na mapenzi na hii timu.
 
Mnajifanya mmelala
20220404_222510.jpg
 
Hawataki kuambiwa ukweli hawa.
Sasa hivi wataanza kukuporomoshea matusi, kukudhihaki na kukutukana.
Wanapenda kuambiwa maneno matamu matamu tu.
Ukitaka wasikuone msaliti we jitoe ufahamu kama wao ndio utaenda nao sawa.
Nakuonea huruma sana computerarsenal kuwa na mapenzi na hii timu.
Acha tu Mkurugenzi madhaifu yetu yanaonekana kwa macho kabisa bila kupepesa macho Tierney hayupo Pepe hayupo kabakia Martinelli na Leno pekee
 
Back
Top Bottom