Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,896
- 1,698
Asilimia kubwa south America wapo vzur aseeMchezaji kufanikiwa hilo ni suala jingine, wapo wachezaji wengi toka south america wameshindwa kutamba ligi kubwa ulaya.
Asilimia kubwa south America wapo vzur aseeMchezaji kufanikiwa hilo ni suala jingine, wapo wachezaji wengi toka south america wameshindwa kutamba ligi kubwa ulaya.
Sizungumzii kuhusu kushindwa mkuu, Nazungumzia kuhusu Passion ya upambanaji, physical strength, clinical finishing, shooting ability na kila kitu kuhusu package nzima ya striking force ya mchezaji kutoka south AmericaMchezaji kufanikiwa hilo ni suala jingine, wapo wachezaji wengi toka south america wameshindwa kutamba ligi kubwa ulaya.
Nadhani hujanielewa au unataka kulazimisha iwe, mchezaji anaweza kuwa na vyote hivyo na badosehemu fulani akashindwa. Unamkumbuka Diego forlan, kipi alikosa katika hivyo, full package, kisha ikawaje!!?Sizungumzii kuhusu kushindwa mkuu, Nazungumzia kuhusu Passion ya upambanaji, physical strength, clinical finishing, shooting ability na kila kitu kuhusu package nzima ya striking force ya mchezaji kutoka south America
Ukitaka nitakupa list ya south American strikers
Nakubaliana nawe.. Kuna tofauti ndogo mnoo katiya wamarekani kusini na kwetu afrika, wenzetu development iko vema, ila kwetu, changamoto, ila kwa vipaji tunachuana ama huenda tumewazidi kidogo.Asilimia kubwa south America wapo vzur asee
Nadhani hujanielewa au unataka kulazimisha iwe, mchezaji anaweza kuwa na vyote hivyo na badosehemu fulani akashindwa. Unamkumbuka Diego forlan, kipi alikosa katika hivyo, full package, kisha ikawaje!!?
Usishangae messi ile ile premier ikampa tabu. Siku zote usajilini kamali, EL TIGRE na ule moto wake woote aliouwasha atletico madrid ila ligi ya pale ikamshinda nae alikuwa ni full packge. Sanchez katoka ligi moja (ndani ya ligi 1 Sanchez wawili) arsenal to man u nae akawa mashuzi.. Huyu ni simple definition ya wachezaji wa amerika Kusini, ni ana kila kitu
Unazungumza kuhusu Diego Forlan-ametoka kwao huko amekuja Manchester united ktk Game 63 alifunga goals takribani 20,baada ya hapo ameenda pale Villareal games 106 alifunga kamba takribani 54,akaenda atletico Madrid mechi takribani 150 alifunga goals 74,huo ndo ukawa msimu wa 2011/2012 anamalizia soka na magoli kwenye mguu wake akiwa tayari ame approach miaka 30 akaenda intermillan na timu nyingine za Japan na India akiwa tayar ashachokaNadhani hujanielewa au unataka kulazimisha iwe, mchezaji anaweza kuwa na vyote hivyo na badosehemu fulani akashindwa. Unamkumbuka Diego forlan, kipi alikosa katika hivyo, full package, kisha ikawaje!!?
Usishangae messi ile ile premier ikampa tabu. Siku zote usajilini kamali, EL TIGRE na ule moto wake woote aliouwasha atletico madrid ila ligi ya pale ikamshinda nae alikuwa ni full packge. Sanchez katoka ligi moja (ndani ya ligi 1 Sanchez wawili) arsenal to man u nae akawa mashuzi.. Huyu ni simple definition ya wachezaji wa amerika Kusini, ni ana kila kitu
Hapana shaka mpira wa EPL umeanza kuufutilia mwaka huuNyie Arsenal ni watu wa hovyo sana, mwisho wa siku mtaanza kulinganisha Mendy na Lecazate nani ana magoli na assist nyingi.
Arteta ni Wenger wa kispanyola. Msitegemee makubwa kutoka kwake.
Leno is going, Lacazette too, Cedric could also go na Mari Jumla 12LENO ?
huyu alikuwa ni carzola na rosisky kwa pamojaHii mashine bila majeruhi hiiView attachment 2164116
Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
Hatar sana yaan, majeruh yame mzulumu jamaa angekua mido hatar sanahuyu alikuwa ni carzola na rosisky kwa pamoja
We muache mtakatifu cazorla kama alivyo.huyu alikuwa ni carzola na rosisky kwa pamoja
Mkuu unamaanisha wachezaji wanatumia individual skills kuliko tactics za mwl!?Aliou Cissé hana uwezo wa kuichezesha Senegal namna hii tena against Egypt, kinachombeba vijana wana good tactical education kutoka Club zao ulaya.
Ok sawa mkuuNot individual skills, wanaobserve tactical nous ila ni rahisi kuexcute coz wanaishi na tacticians wazuri zaidi ya Cissé.
KabisaCAF wamekosea kuweka mtoano kati ya Senegal vs Egypt hizi ndio timu bora Afrika zote ilibidi zifuzu WC.
Mbona William na Luiz mliwabeba?Majeruhi.
Umri.
Sioni akija.
Hakukua na project iliyopo sasaMbona William na Luiz mliwabeba?
Hana ubavu wa kuongea nae swala la mkataba!
nafikiri hujaelewa vizur,uliza nani alimshawishi pepe kuja arsenal.mbali na fedha,brand,legacy ya klabu,mashabiki na kocha,moja kati ya vitu muhimu wachezaji hutamani kuvijua kwenye klabu mpya wanayoelekea ni dressing room atmosphere.wakishapata uhakika wa hiyo kitu mchezaji huwa anajisikia amani zaidi.ukitaka kujua hili muulize sanchez na ozil kwanini walichagua kuja arsenal at their prime time.Hana ubavu wa kuongea nae swala la mkataba!
Halaand kujoin Arsenal!!nafikiri hujaelewa vizur,uliza nani alimshawishi pepe kuja arsenal.mbali na fedha,brand,legacy ya klabu,mashabiki na kocha,moja kati ya vitu muhimu wachezaji hutamani kuvijua kwenye klabu mpya wanayoelekea ni dressing room atmosphere.wakishapata uhakika wa hiyo kitu mchezaji huwa anajisikia amani zaidi.ukitaka kujua hili muulize sanchez na ozil kwanini walichagua kuja arsenal at their prime time.
sisemi odegard atafanya kitu kumshawishi jamaa,its 90% unlikely but remember the power of espionage in every angle