Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nyinyi pia hamna striker. Chukueni huyo atawafaa
Hatuwezi kusajili mchezaji aina ya Mitrovic, mimi nili-suggest huyo kwasababu mnamtaka Toney, in my opinion siyo mchezaji level za Arsenal. Toney ame-spend karibia miaka 7 kwenye lower divisions ukitoa misimu miwili ya PL hana experience kwenye mashindano makubwa kama UCL au UEL. Mitrovic ni option nzuri kushinda Toney kwasababu timu yenu hai-spend sana na mnatarajia kurudi kwenye mashindano makubwa. Mitrovic ni a proven striker, Championship kule anawaonea tu akija EPL namba zake zina-drop kwasababu anapanda na timu ambayo haipo vizuri kucheza EPL, kacheza UCL, UEL, World Cup, EURO Q, World Cup Q, Pro League na kote amefanya vizuri. Kacheza Pro League moja ya ligi yenye ushindani kushinda hizo Ligue One na Ligue Two alizocheza Toney kwa miaka mingi.

Kwa jinsi hampendi ku-spend pesa nyingi mkiona vipi nendeni hata National League au North West Counties kabisa mkachukue cheap options. United ukiongelea striker tunataka watu wa kazikazi huwezi kusikia tunaongelea mchezaji kama Toney na hiyo ndiyo inaonyesha levels Arsenal iliyopo kwa sasa. Huwezi kuwa na mawazo ya kuwa na striker kama Toney ukashinde UCL.
 
Kwahiyo United mnataka watu wa kazi kweli kweli ndiyo mkamnunua Ighalo?
 
Oya hivi unajua Balogun ana sifa zote za Striker tunayemtaka, nimemfatilia anawasha sana huko Championship.
Kuna mtu alianzisha mada ya kusema tumchukue Tammy Abraham nikasema kuliko kuspend hiyo pesa ni bora hiyo game time agewe Balogun.

Balogun anacheza kama false 9 anavyotakiwa kucheza, yuko sharp, anapanda kufuata mipira, ana work rate nzuri.
 
Arsenal is set to chop 12 players at the end of this season
1. Guendouzi
2. AMN
3. Torreira
4. Mavorpotous
5. Leno
6. Nketiah
7. Berrelin
8.Runarsson
9.
 
Ukitaka striker dunia hii wa kukupa full Package ya striking force..... Go and visit South America na utapata unachokitafuta

Darwin Nunez-Uruguay International playing for Benfica in Portugal ni moja kati ya Target za timu kubwa barani Ulaya kwa sasa na ana released clause ya €75Mil. Pia Edu yupo kwenye radar za kumshusha Emirates next season

Hakuna striker kutoka South America aliyekuja Ulaya na akawa abiria au Mzigo Uwanjani na utaelewa kwann Pep ameenda kuchukua sign ya striker wa river plate na kumuacha kwa mkopo kule na ataungana na timu next season

Take your homework and watch Darwin Nunez
 
United wana historia na south americans wacheki
 
A great transfer if we get it done. He’s done incredible at Benfica who are in the Quarter Final of the Champions League. Hopefully not another Vlahovic situation.

Very decent No.9 ,I have watched his goals for Benfica.Very calm and very outstanding for his age now.Hope we can get him into our squad.
 
Arsenal have started a 'charm offensive' to convince Darwin Nunez over joining the club in the summer, reports @Record_Portugal

Following the rejections to the Newcastle & West Ham offers in January, it’s now said that Arsenal, who could be in the Champions League next season, are ‘a few steps above’ those clubs & could ‘seduce’ the player.
 
I watched him and got immediately covinced.

1) Jonathan David can't fit Arsenal He is Alex Lacazete type

1) Alexander Isaac is Pierre Emeric type but the English league will cause him problems. He will be another Pepe.

3) Armando Broja is very very good but it would be hard to lure him from Chelsea. Plus Chelsea players have been agents to make us fall.

4) DCL is good but can't tell much more coz his game is not well understood.

4) Darwin Nunez is Vlahovic type of striker. And you know what? And players from Portuguese league never disappoint. They are hard cores and hard workers. He is young, he will be better.
 
Martinelli/Smith Rowe,Darwin and Saka would be a scary young front 3 for anybody
 
Benfica striker Darwin Nunez has emerged as a possible summer target for Arsenal

26 goals in 33 games in all competitions

Arteta wants dynamic striker capable of getting behind defences as well as playing with his back to goal at the tip of his preferred 4-3-3 formation

He is a goalscorer who can also link play

source:Arsenalfanaticsnews
 
Nyie Arsenal ni watu wa hovyo sana, mwisho wa siku mtaanza kulinganisha Mendy na Lecazate nani ana magoli na assist nyingi.
Arteta ni Wenger wa kispanyola. Msitegemee makubwa kutoka kwake.
Havertz ni AM na Martin ni AM kuna shida gani wakifananishwa
 
Klabu ya Arsenal imewataarifu wasimamizi wa kiungo wao mshambuliaji Bukayo Saka (20) kuwa wapo kwenye mpango wa kumuongezea mkataba mpya wa muda mrefu nyota huyo raia wa England
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

Mkataba wa sasa ambao unamfanya Saka alipwe kiasi cha £30,000 (Tsh 91.5m) kwa wiki unamalizika miaka miwili ijayo
Ofa mpya ya Arsenal itamfanya alipwe kiasi cha £ 125,000 (Tsh 381.5) kwa wiki.
 
Arsenal have tightened up their defensive efforts at corners since Mikel Arteta took charge - and Nicolas Jover is a key part of that
1648155448391.png
 
Ukitaka striker dunia hii wa kukupa full Package ya striking force..... Go and visit South America na utapata unachokitafuta

Darwin Nunez-Uruguay International playing for Benfica in Portugal ni moja kati ya Target za timu kubwa barani Ulaya kwa sasa na ana released clause ya €75Mil. Pia Edu yupo kwenye radar za kumshusha Emirates next season

Hakuna striker kutoka South America aliyekuja Ulaya na akawa abiria au Mzigo Uwanjani na utaelewa kwann Pep ameenda kuchukua sign ya striker wa river plate na kumuacha kwa mkopo kule na ataungana na timu next season

Take your homework and watch Darwin Nunez
Mchezaji kufanikiwa hilo ni suala jingine, wapo wachezaji wengi toka south america wameshindwa kutamba ligi kubwa ulaya.
 
Back
Top Bottom