Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,079
- 16,035
Nakumbuka Sanchez baada ya kuihama Man Utd na kutimkia Inter Milan akaongea maneno haya kwenye media:nafikiri hujaelewa vizur,uliza nani alimshawishi pepe kuja arsenal.mbali na fedha,brand,legacy ya klabu,mashabiki na kocha,moja kati ya vitu muhimu wachezaji hutamani kuvijua kwenye klabu mpya wanayoelekea ni dressing room atmosphere.wakishapata uhakika wa hiyo kitu mchezaji huwa anajisikia amani zaidi.ukitaka kujua hili muulize sanchez na ozil kwanini walichagua kuja arsenal at their prime time.
sisemi odegard atafanya kitu kumshawishi jamaa,its 90% unlikely but remember the power of espionage in every angle
"After the first training session I realised many things, I came home and asked my family and my manager if I could not break the contract and return to Arsenal, something did not fit me, but I had already signed," Sanchez said.
"Months passed and I kept feeling the same. We were not united as a team at that time."
Na tatizo kubwa zaidi lilikuwa ni dressing room atmosphere, ilikuwa mbovu tangu kipindi hicho cha Jose Mourinho mpaka leo na ndio moja ya sababu hata performance ya Man Utd ikawa mbovu tangu aondoke Sir Alex.
