mfano
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 670
- 1,132
Arteta ana jicho, tumwamn naamn atatuletea mwambaOya kwa umri huo ashakua siyo option.
Arteta ana jicho, tumwamn naamn atatuletea mwambaOya kwa umri huo ashakua siyo option.
Oya kwa umri huo ashakua siyo option.
Arsenal inasajiri kwa kutumia software na scouting ya hal ya juu,Arteta ana jicho, tumwamn naamn atatuletea mwamba
Ronaldo mzigo. Cavani ni warrior ila majeruhi yanamharibia. Auba ndiyo akawa vile.Kwani ronaldo, aubameyang, cavanni, wana miaka mingapi? We need him for two to three seasons halafu tunaachana naye
Exactly ndo maana ata januaty hakukurupuka, ingawa mashabk tuli panicArsenal inasajiri kwa kutumia software na scouting ya hal ya juu,
In December 2012, Arsenal spent £2.165 million to acquire StatDNA
View attachment 2162150
Brentford are good at this.Arsenal inasajiri kwa kutumia software na scouting ya hal ya juu,
In December 2012, Arsenal spent £2.165 million to acquire StatDNA
View attachment 2162150
Antonio kazaliwa march 28 1990, ana 31 lakn kesho tu hapo mwez huu huu anatmza 32,Kwani ronaldo, aubameyang, cavanni, wana miaka mingapi? We need him for two to three seasons halafu tunaachana naye


Sasa mambo yanavyoenda ni juju tulizotupa zimetiki kwa kila signing aliyetugomea timu yake ipo hoi
kama?Vlahovic, locatelli, Guiamaraeskama?
Habari kama hizi ndio zinatoa uhalisia jinsi gani nchi zetu za Africa zilivyo maskini.. Yaani Mshahara wa Neymar unaweza lipa mishahara ya watumishi karibu wore wa nchi hii bila wasiwasi..Kwa wiki ni sawa Tzs 2,700,000,000 kwa mwezi 10,880,000,000. Mungu kwa Nini hukuniona na mimi ukanipa kipaji?ukitoa kodi change fanya 2/3.
nilikuwa napitia data za TRA, mshahara wa Neymar kwa mwezi ni makusanyo ya mikoa kama nane( singida, Tabora, Songwe, Rukwa, Katavi, Kagera, shinyanga, Lindi)
Guimaraes nae alitutosa kwan? sio Arsenal tu wenyewe atukua serious nae,.Vlahovic, locatelli, Guiamaraes

atasubir sanaa, pesa haichez mpiraHalafu kuna BuendiaGuimaraes nae alitutosa kwan? sio Arsenal tu wenyewe atukua serious nae,.
Yan aitose Arsenal aende newcastle
Kama n hivo bas itakua waarabu wale wamempiga tilalila mwakan wananyanyua kwapaatasubir sanaa, pesa haichez mpira
Ana drama nyingi, tunatakiwa kuwaepuka wachezaji wa hivi.Tupeleke ofa Brentford...Ivan Toney ni goal machine
Dybala hatufi kweli. Just to answer your question, he is 28 years oldNahisi hatufai.
Kwanza ni injury prone. Trip shamba trip garage.
Pia yeye ni no. 10 au false no. 9 kama alivyo Lacazette so sio wa kumtegemea kwenye kupachika magoli.
Vile vile, sijui kama ataziweza zile highline pressing.
Hivi ana umri gani vile?
Ingekua mimi simsajili Toney namsajili Mbeumo.Ivan Toney mwamba sio tu goal machine huyu ni Vlahovic or Harry kane mweusi.
Nimeikuta sehemu, huu mjadala una mantiki kwel au ndo kila ng'ombe uvutia kwakeIngekua mimi simsajili Toney namsajili Mbeumo.
Younger than Toney, running forward the whole 90 minutes, physically great ana pace, shot power na skills
Usimfananishe Toney na watu wa kazi kama Vlahović au Harry Kane. Pelekeni offer Fulham mchukueni Aleksandar Mitrović atawafaa sana.Ivan Toney mwamba sio tu goal machine huyu ni Vlahovic or Harry kane mweusi.
Nyinyi pia hamna striker. Chukueni huyo atawafaaUsimfananishe Toney na watu wa kazi kama Vlahović au Harry Kane. Pelekeni offer Fulham mchukueni Aleksandar Mitrović atawafaa sana.