Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Miaka 9 iliyopita tarehe kama ya leo
20220322_140620.jpg
 
Auba as senior Player and Team captain kwa utovu wake wa nidhamu alikuwa anawafundisha nini kina Saka, Martinelli, Smith Rowe, Ordegard.

Arteta alifanya hivi pia kwa Mesut Ozil, Matheo Guendouzi...... Hakuna mchezaji mkubwa kwa timu yeyote...... Timu yetu ilikuwepo kabla kuzaliwa Auba na itaendelea kuwepo baada yeye kufariki

Kama ww unampenda sana Auba unaweza kuhama nae kwenda Barcelona
ha haaaaaaaaaaaaaaaaa yamekua ayo
 
Ni ngumu kama tunahitaji world class players. ManCity De-bruyne anapata pound 350,000 kwa wiki, Raheem Sterling 300,000 Grealish 287,827. Manchester United, Ronaldo analamba pound 510,000 kwa wiki, De Gea 375,000 Sancho 350,000. Chelsea Lukaku anakula 325,000 Kante 290,000 Timo 272,000. Aresenal Thomas Partey 220,000 Lacazette 180,000 Odegaard 120,000 Spurs Kane 200,000, Son 140,000 PEH 101,900. Liverpool VVD 220,000,Thiago 200,000 Salah 200,000
unaweza pata picha tu, nimechukua club kuwa EPL

Mshahara wa Ronaldo kwa wiki pale Man United unaweza kulipa mshahara wa kikosi kinachoanza cha Watford
Mishahara haitoshi na mishahara huongezeka kutokana na kusign new contracts na performance yako mkuu. Hao akina saka, martinelli, na smith Rowe bado wako kwenye first contract zao. Tegemea kupanda pindi watakapopewa mikataba mipya,
 
Juzi PSG ilifungwa 3-0 na Monaco, lakini ukiangalia payroll yao unaweza mpiga mtu risasi. Neymar anapata Pound 850,000 kwa wiki wakti Messi anapata 700,000 na mbappe anakwapua 462,500 wachezaji wengine wa PSG nao kufuru nyingine
 
Hatari
 
Baada ya game ya el classico, Auba ali post "Hello from the finished player," + picha akiwa ana shangilia goli lake.

N rahs kutafsir kilikua kijembe kwetu mashabk wa Arsenal labda na staff kiujumla,

Nafkr migogoro yote yalianza na kuporomoka kwa kiwango chake
 
Kuna tetesi za ki intelijensia, dyabala anakuja
Nahisi hatufai.

Kwanza ni injury prone. Trip shamba trip garage.

Pia yeye ni no. 10 au false no. 9 kama alivyo Lacazette so sio wa kumtegemea kwenye kupachika magoli.

Vile vile, sijui kama ataziweza zile highline pressing.

Hivi ana umri gani vile?
 
Juzi PSG ilifungwa 3-0 na Monaco, lakini ukiangalia payroll yao unaweza mpiga mtu risasi. Neymar anapata Pound 850,000 kwa wiki wakti Messi anapata 700,000 na mbappe anakwapua 462,500 wachezaji wengine wa PSG nao kufuru nyingine
Mmmh!.. Kweli binadamu wote ni sawa ila wengine ni sawa zaidi..
 
Mmmh!.. Kweli binadamu wote ni sawa ila wengine ni sawa zaidi..

Kwa wiki ni sawa Tzs 2,700,000,000 kwa mwezi 10,880,000,000. Mungu kwa Nini hukuniona na mimi ukanipa kipaji?ukitoa kodi change fanya 2/3.
nilikuwa napitia data za TRA, mshahara wa Neymar kwa mwezi ni makusanyo ya mikoa kama nane( singida, Tabora, Songwe, Rukwa, Katavi, Kagera, shinyanga, Lindi)
 
Back
Top Bottom