Mi nipo nafungua tableNipo Tanzania draught sikuoni kwa jina hilo
Mi nipo nafungua tableNipo Tanzania draught sikuoni kwa jina hilo
Unakimbia?Nipo Tanzania draught sikuoni kwa jina hilo
Sio anaweza kwenda Barca bali kashaenda, ila serie A Kuna salary rafiki Sana kwa vilabu, ata vilabu vikubwa kama juve/Milan's mishahara Yao ni kawaida sana compared na EPLFranck Kessie CM mwenye profile ya Partey wa AC Milan anawaambia Milan wampe 170K kwa wiki hiko kiasi kitafanya awe mchezaji anayelipwa pesa nyingi kwenye kikosi chao.
Milan wanaona ni kiasi kikubwa inasemekana anaweza enda Barca, ni injury prone ila kwangu ni kiungo mzuri sana.
Nketiah analipwa zaidi ya Holding, Saka, Emile...Sijui waandaaji wa mikataba wetu huwa wanakunywa gongo.
Ligi masikini ndo maana hata Conte akatoka zakeSio anaweza kwenda Barca bali kashaenda, ila serie A Kuna salary rafiki Sana kwa vilabu, ata vilabu vikubwa kama juve/Milan's mishahara Yao ni kawaida sana compared na EPL
Duuh,atarii... Watu wanagawa Hela tu
Eddie ameanza kupata namba first team kabla ya Saka na Emile. Hence kuwazidi mshahara.Nketiah analipwa zaidi ya Holding, Saka, Emile...Sijui waandaaji wa mikataba wetu huwa wanakunywa gongo.
Nadhani Arsenal wajitahidi kuwa na wachezaji bora tu na wajitahidi kuweka salary kati ya 60k - 150k tu kwa first team. Hale End graduates wakijiestablish first team na kucheza zaidi ya mechi 15 zenye impact basi baada ya msimu mmoja wapewe contract za kuanzia 60k ili nao wajione kama first teamers maisha yaendelee.
Kisha, mTuletee matokeo wazee.Unatumia id gani. Mi natumia Mabata
Hata akija Saliba, Holding aongezewe mkataba na mshahara. Namkubali dogo. Tumuache Pablo Mari asepe kutafuta maisha.Eddie ameanza kupata namba first team kabla ya Saka na Emile. Hence kuwazidi mshahara.
Emile mwaka jana aliingia mkataba wa miaka 5 kwa 40K (Huu mkataba ndiyo umefanya apokee zaidi ya Saka) Saka anatarajiwa kunegotiate mkataba mpya utakaompa 120K.
Holding alikua majeruhi muda mrefu hakua na edge ya kudai ongezo. Saliba kuitwa timu ya taifa means ameendelea vizuri hence anaweza rudi Arsenal na mchongo wa Holding kuongezewa mkataba mkubwa unaweza usitokee.
Sijakutana naye ila tutakutanaKisha, mTuletee matokeo wazee.
Nitakutafuta kuanzia saa 12 jioni leo nikitoka kibaruaniUnakimbia?
Nitakutafuta kuanzia saa 12 jioni leo nikitoka kibaruani
Ana 28,Nahisi hatufai.
Kwanza ni injury prone. Trip shamba trip garage.
Pia yeye ni no. 10 au false no. 9 kama alivyo Lacazette so sio wa kumtegemea kwenye kupachika magoli.
Vile vile, sijui kama ataziweza zile highline pressing.
Hivi ana umri gani vile?

Mbona nae n dingi ana 31Antonio siyo mbaya kiukweli isipotajwa bei ya kuruka ni option
Kuja anawezaMajeruhi.
Umri.
Sioni akija.
Antonio ana 31?Mbona nae n dingi ana 31
Oya kwa umri huo ashakua siyo option.Mbona nae n dingi ana 31