NAJYUZ
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 1,997
- 3,516
Bro,you have nailed it.It was time for him to go. Tulihitaji matokeo zaidi ya drama na hapa ndio tulipotofautiana nae.
Bro,you have nailed it.It was time for him to go. Tulihitaji matokeo zaidi ya drama na hapa ndio tulipotofautiana nae.
Sababu kubwa iliyomfanya Auba kushindwa kuprove ubora wake pale Arsenal ni ule mkataba wa mwisho aliopewa wa £300k per week.. alibweteka sana.Aubameyang anascore sana Spainsijui ni problem gani ilimkuta msimu huu Arsenal all in all hongera zake
Sasa umenipa FACT nimekubali ishu ni hyo pesa that's it hayo mengine wanayoyasema wengine sijui EPL ilimkataa mara Mfumo ni reasons hafifu Auba kapata EPL golden shoe then unasema ligi ilimkataa?huyu huyu chini ya Arteta kafunga Final ya FA na kubeba Community Shield aliscore pia then akatupeleka Final Europa kwa kuscore Semi final pia namtakia kila la kheri Auba Strikers wengi wa sasa Duniani ni wa viwango vya kawaida Auba anakaa class na Lewandoski Kane Aguero SuarezSababu kubwa iliyomfanya Auba kushindwa kuprove ubora wake pale Arsenal ni ule mkataba wa mwisho aliopewa wa £300k per week.. alibweteka sana.
Kama unakumbuka kabla ya kupewa mkataba alikuwa anakamua sana.
Niliwahi kumsikia Micah Richard kwenye Sky Sports akisema kuwa wachezaji wanaofikia mwisho wa mikataba yao (na hata wale wanaoanza kuichezea timu kwa mara ya kwanza) huwa wana njaa sana ya kuprove uwezo wao ili wapate ongezo la fedha, kisha baada ya hapo.. puuf! Yeye mwenyewe aliwahi kuwa stage kama hiyo kipindi anahitaji mkataba mpya akiwa Man City.
Kwahiyo hii ni kama challenge mpya kwa Auba ukizingatia alikatwa mshahara kabla ya kujiunga na Barca, na pia kuna competition kubwa kwenye kikosi chao kwa sasa ukiangalia nafasi yake kwa pale Barca wanaweza kucheza watu wengi.
Hiyo ndio sababu ana perform zaidi ila kiuhalisia Auba ni yule yule na simlaumu Arteta kwa maamuzi yake, alifanya maamuzi sahihi maana bila ya hivyo tungeendelea kumtukana tu kwa kukosa nafasi za wazi.
Absolutely!Auba alichomzidi Lacazette ni kua Auba yeye ni clinical katika finishing.
Na primary role ya CF ni kufunga hiki kitu ndicho kina m discredit lacca dhidi ya Auba.
Ila katika modern football majukumu ya CF yameongezeka sana ,Na hayaishii kwenye kufunga tu kuna ku press na ku create chances..
Nafikiri Auba mfumo ulimkataa maana alishindwa ku execute roles za false#9..
Angalia sasahivi timu ikiwa inashumbulia inakua ina flow nzuri sana..
Lacca huwa anafanya kazi kubwa sana.. unfortunately anakua discredited kwakua hafungi..
Tudadavulie kidogo hapo kwenye utofauti wa kwenye defensive kati yaoMidfield controllers Pep / Arteta/ Xavi from La Masia wanakuletea the same structure, same excution Man city/ Arsenal/ Barcelona zinafanana kwenye miundo na uchezaji. Arteta ni version ya Pep Guardiola utofauti ni defensive compactness, in this regard Mikel Arteta is influenced by his former coach David Moyes.
Kikosi Cha Alan shela hiki Kwa mtazamo wake.Tumetoa wachezaj wa nne kwenye team of the weak nafkr n kwasababu timu zngne zlicheza FA, Lakn bado inatia moyo kuna nyakat tulikua hatutoi ata mmojaView attachment 2159901
nawakatalia nyote, Auba alipokuwa dumped kwa sababu ya kutojituma na kubweteka na mshahara aliokuwa anapata, alipata funzo kubwa sana, aliona kama anapotea ukizingatia umri wake umeenda. Ndio maana ameamka na anajituma sana. Mshahara wake umepungua kutoka pound 300,000 kwa wiki alizokuwa anapata Arsenal mpaka pound 96,153 kwa wiki.Sasa umenipa FACT nimekubali ishu ni hyo pesa that's it hayo mengine wanayoyasema wengine sijui EPL ilimkataa mara Mfumo ni reasons hafifu Auba kapata EPL golden shoe then unasema ligi ilimkataa?huyu huyu chini ya Arteta kafunga Final ya FA na kubeba Community Shield aliscore pia then akatupeleka Final Europa kwa kuscore Semi final pia namtakia kila la kheri Auba Strikers wengi wa sasa Duniani ni wa viwango vya kawaida Auba anakaa class na Lewandoski Kane Aguero Suarez
Yote haya uliyoyasema ni FACT kabisa MalcolM XII may be tusubirie another forward mkali next season ambaye akija Arsenal atascore more than 20 goals per season katika EPL
Je kuna haja ya kuweka salary cap Arsenal? Say 150k per week? Iwasaidie kubalance books na kupunguza u-star mwingi?Saka to have his salary increased from 30000pound per week to 125,000 pound - to fend off interest from predators
Mashabiki wa mwanitesa united huu uzi sa iv wanauogopaKuna Coach na Manager ktk club za mpira, Coach yeye anashughulika na mambo ya kiufundi tu ya timu anayoifundisha ila Manager anakuwa na mamlaka zaidi ya kusajili mchezaji, kurenew mikataba ya wachezaji, kufatilia nidhamu za wachezaji nje ya masuala ya kiufundi ya timu
Arsenal ni moja ya timu Uingereza inayompa Umanager mkufunzi wao...... Aubameyang kama Captain alikuwa ana influence kubwa ndani ya timu kwa wachezaji wenzake kuliko Mikel Arteta na kwa influence hiyo ni mbaya zaidi na likaonekana hilo kwa chochote alichokuwa anakifanya pale kiwe ni kibaya au kizuri basi Auba alikuwa na influence kubwa
Ili uweze kumanage timu vzr na sauti yako iweze kuwa kubwa kwa timu lazima ukitoe kirusi kinachosumbua ili mamlaka yako yawe kamili
Nampenda Auba ila nasimama na Mikel Arteta na ukiwa shabiki lazima ukubaliane na kila kitu ambacho uongozi wa timu umeamua kukifanya
Naona Spurs na Liverpool wamejitahidi kutopitiliza mishahara na bado wanacheza vizuri. Kuna namna wameweza kuwashawishi wachezaji wazuri kuwa wao ni elite na watapata glory wakicheza kwao hata kama hawalipwi kama kule Machester.Ni ngumu kama tunahitaji world class players. ManCity De-bruyne anapata pound 350,000 kwa wiki, Raheem Sterling 300,000 Grealish 287,827. Manchester United, Ronaldo analamba pound 510,000 kwa wiki, De Gea 375,000 Sancho 350,000. Chelsea Lukaku anakula 325,000 Kante 290,000 Timo 272,000. Aresenal Thomas Partey 220,000 Lacazette 180,000 Odegaard 120,000 Spurs Kane 200,000, Son 140,000 PEH 101,900. Liverpool VVD 220,000,Thiago 200,000 Salah 200,000
unaweza pata picha tu, nimechukua club kuwa EPL
Mshahara wa Ronaldo kwa wiki pale Man United unaweza kulipa mshahara wa kikosi kinachoanza cha Watford
Yaaah na hiki ndio ambacho Arteta amekuwa akipambana nacho tangu amepewa majukumu yake pale Arsenal, kwanza tulikuwa na mlundikano wa flop players wengi na wanachukua pesa za nyingi sana kwa week na tulikuwa Top 3 kama sikosei kwenye timu zinazolipa mishahara mikubwa EplNaona Spurs na Liverpool wamejitahidi kutopitiliza mishahara na bado wanacheza vizuri. Kuna namna wameweza kuwashawishi wachezaji wazuri kuwa wao ni elite na watapata glory wakicheza kwao hata kama hawalipwi kama kule Machester.
Huu ujumbe, sana sana huo mstari wa mwisho, umemlenga nani mkuu? 😆😆Auba as senior Player and Team captain kwa utovu wake wa nidhamu alikuwa anawafundisha nini kina Saka, Martinelli, Smith Rowe, Ordegard.
Arteta alifanya hivi pia kwa Mesut Ozil, Matheo Guendouzi...... Hakuna mchezaji mkubwa kwa timu yeyote...... Timu yetu ilikuwepo kabla kuzaliwa Auba na itaendelea kuwepo baada yeye kufariki
Kama ww unampenda sana Auba unaweza kuhama nae kwenda Barcelona
Watoe united hapo..Ni ngumu kama tunahitaji world class players. ManCity De-bruyne anapata pound 350,000 kwa wiki, Raheem Sterling 300,000 Grealish 287,827. Manchester United, Ronaldo analamba pound 510,000 kwa wiki, De Gea 375,000 Sancho 350,000. Chelsea Lukaku anakula 325,000 Kante 290,000 Timo 272,000. Aresenal Thomas Partey 220,000 Lacazette 180,000 Odegaard 120,000 Spurs Kane 200,000, Son 140,000 PEH 101,900. Liverpool VVD 220,000,Thiago 200,000 Salah 200,000
unaweza pata picha tu, nimechukua club kuwa EPL
Mshahara wa Ronaldo kwa wiki pale Man United unaweza kulipa mshahara wa kikosi kinachoanza cha Watford
Yeyoye yule ambaye anaona anaumia Sana kuondoka kwa Auba pale Arsenal, hata sisi wengine tunaumia and even Arteta himself kwa kumuachia aondoke bure ila for the sake of our Future Arsenal ilikuwa lazima aondoke na pia tulikuwa na uwezo kumfanya kama tulivyomfanyia Mesut Ozil anakaa bila kucheza mpk mkataba wake unaisha ndo aondoke ila for the sake of his carrier tukaforce aondoke bureHuu ujumbe, sana sana huo mstari wa mwisho, umemlenga nani mkuu? 😆😆
Tunaweza kupenda wachezaji bila kuhama nao wakihama timu.
Guendo hakuwa mchezaji mzuri ila sijuwi kwa nini alikuwa na kiburi. Good riddance.
Issue ya Ozil nadhani ilikuwa kisiasa/kiimani zaidi. Sikupenda aondoke ila form ilishuka kwa kuwa mentally hakuwa poa. Sijaconfirm ila nadhani nilisoma mahali kuwa alikuwa 'anaumwa' sana kipindi cha 'pride' ili asivae rainbow laces and such lakini nahisi nimeshaona mechi za kipindi hicho akicheza...
Umeeleweka mkuuYeyoye yule ambaye anaona anaumia Sana kuondoka kwa Auba pale Arsenal, hata sisi wengine tunaumia and even Arteta himself kwa kumuachia aondoke bure ila for the sake of our Future Arsenal ilikuwa lazima aondoke na pia tulikuwa na uwezo kumfanya kama tulivyomfanyia Mesut Ozil anakaa bila kucheza mpk mkataba wake unaisha ndo aondoke ila for the sake of his carrier tukaforce aondoke bure
Tulitaka kumtoa kwa mkopo ila Barca wakagoma kutokana na level ya mshahara wake ulikuwa mkubwa sana na hivi sasa mshahara wake umepungua kutoka 350k mpk 96k kwa wiki, what a demotion? Ndo maana now anapambana kwa kiwango chake kwa ajili ya mkataba mpya na kupanda kwa mshahara wake......... Kama kile kipindi alichofanya vzr mpk tukarenew mkataba wake na kumuongezea mkaataba wake mpk kufikia 350k, level hiyo ya mshahara aliwahi kufika Sanchez na Mesut Ozil na angalia kilichokuja kutokea kwa upande wao