Kipindi team ipo chini ya Lampard mlitupigia Sana kelele kwenye uzi wetu sasa ni zamu yenu so usipanick broOften times chelsea supporters’ comments are too childish. Tukianza kizungu wataondoka kwenye thread yetu

Kipindi team ipo chini ya Lampard mlitupigia Sana kelele kwenye uzi wetu sasa ni zamu yenu so usipanick bro
Sideway passes na back passes
Haya maisha nilidhani tumeshaachana nayo
Huu mpira wote tunaocheza, unaona side pass tuSideway passes na back passes
Haya maisha nilidhani tumeshaachana nayo
kwakweliWe lead by one goal Xhaka anamsukuma mtu.
Anapata yellow.
Fuckery up ndogo ndogo kama hizi zimetucost for years
Pepe hana consistency ndo tatizo lake, kupwa kujaaAna vitu fulani ambavyo ni wachache tunaviona
ata mimi siiamini aseeeeeSi nikawa nasema Aaron siyo mzuri katika shot stopping mkadai anamzidi Leno? Ingawa hii sababu yako naona siiamini
FACT Aston Villa ana 0 target but maajabu tuna play mpira wa kiwango ila hapo mbele pana shida kubwa next season tunahitaji finisher wa kiwangoTumacheza vzur sana tatzo letu tuna shindwa kua goal threat, summer striker n wa muhimu sana
Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
Kuna watu huwa wanaona negatives tu, wanatafuta wapi tunakosea bila ya kuangalia how far we've come to build with team again to play as a competitors.Huu mpira wote tunaocheza, unaona side pass tukwakweli
Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
Hebu niache kwanzaHuu mpira wote tunaocheza, unaona side pass tukwakweli
Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
Kwakwel nashindwa ata kushangaaKuna watu huwa wanaona negatives tu, wanatafuta wapi tunakosea bila ya kuangalia how far we've come to build with team again to play as a competitors.
So usishangae.
hapo nyuma Kuna match tulikua tunashinda lakin ata huelew tumeshindaje yaan tunacheza ovyo,