makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,800
- 103,788
Shida ya xhaka ni ile ile kutokunyumbulika kwake, ule mpira alikuwa anapiga kisigino lakini ikabidi au"guard" tuWe lead by one goal Xhaka anamsukuma mtu.
Anapata yellow.
Fuckery up ndogo ndogo kama hizi zimetucost for years
Hii game mpaka sasa bado, inabidi tupige la pili, game za mapema huwa sio nyepesi na sijui kwanini.

