Arsenal (The Gunners) | Special Thread

We jamaa una akili kiduchu kha!!! hahahaha...... ndio uwezo wako wa kufikiri au umeamua kuchekesha tu umati.
 
Теперь более длинные предложения, да?
 
Penati ni ushindi wa mezani. Haina utofauti na kurusha shilingi.
Tapeli likajifanya linaingiza kipa spesho wa penati.

Kumbe kipa alikuja kwa njia ya kutakatisha fedha hana akili hata moja
 
Ben White, Bukayo Saka, Aaron Ramsdale na Emile Smith-Rowe wameitwa kikosi cha timu ya taifa England.

Nasikia Rashford na Sancho wametemwa
 
We jamaa una akili kiduchu kha!!! hahahaha...... ndio uwezo wako wa kufikiri au umeamua kuchekesha tu umati.
Hoja inajibiwa na hoja sio vioja.

Leta hoja mezani 'idiskasiwe',sio kuishia kutukana tu.
 
hizi takataka zinashindwa kukufunga wewe kuku ..Kwa ma giant kama sisi zitaweza kuchomoka kweli?! hivi unajua London inamilikiwa na nani..?!
We jamaa ndiyo maana ulitapeliwa. Mmetapeliwa na thom Tapeli mpaka Ugumu wangu kakutapeli mi naona kama ipo kwenye damu yako kutapeliwa
 
Against Aston villa won't be easy, sio timu dhaifu kwa sasa, an away game...mmmh!
Kuna shida ambayo imekuwa nitatizo la arsenal kwa muda mrefu na pengine ndiyo inayotugharimu tukikutana na timu za "A"list.
1-slow pressing na slow building play tunapoanza kutengeneza shambuliz kuanzia nyuma mpaka
mbele,ukikutana na timu ambazo zinafanya compact pressing na zonal making ya maana lazima udrop point.tatizo hili huwez kuona ukubwa wake unapocheza na average teams ila ukikutana title challengers like Liverpool,mcity, Chelsea, Tottenham, Leicester hata westham ndo unaona Kuna tatizo mahali.we need first class pace players, pressing players, physical and agressive players, discipline ya wachezaji kwa elite games.
2-we need a naughty,killer,brutal and lethal striker like surez ambaye anaweza fanya link-up play.lacazzete ni mtakatifu saana.

3-anahitajika kiungo mshambuliaji ambaye ni natural na sio fashioned kama tulionao.kiungo ambaygoe ni jamii ya carzola au rosisky ambaye atakuwa ni driver,holder na passer mzuri.we are not far away we are almost there but not there.game ya Liverpool ilimalizwa na details (small) ndogo saana.
N:b suluhisho la upatikanaji wa wachezaji watakaotuvusha halihitaji pesa tu bali good scouting ya wachezaji wanaoendana na mahitaji ya timu,falsafa ya timu na mbinu za mwalimu.(anayebisha akajifunze man u na Liverpool)
Thanks
 
Chelsea ndio timu iliyocheza mechi nyingi msimu huu bila kupumzika na hapo ipo nafasi ya tatu ingekuwa ni Arsenal na hicho kikosi chenu sijui mngekuwa nafasi ya ngapi
Umesahau kuongeza nyama hizi:

Tulikuwa na majeruhi kibao,
Corona,
Halafu hatukupumzishwa HATA!

Ona na hili la vikwazo na Bado tuna shinda games!
 
We tulia tu na kitimu chako. Kubali tu hoja za jamaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…