Arsenal (The Gunners) | Special Thread

how on earth, tunawezi kuendesha timu kwa ukwapuaji na kupinga deal, mtabaki pekee yenu kwenye list of shames
Endelea kulia arsenal ikibakwa vikali kila siku.

Sisi wazee wa Kremlin acha tuendelee kupiga dili.
 
Imagine mpaka Lukaku anaingia kwenye nyavu za Arsenyeto.

Hiyo ni timu au Kigenge cha wahuni/?
Striker hadharauliwi. Hujui muda gani anaingia nyavuni.

Striker wetu kinabo kashawatungua nyinyi. Adebayor
 
Kwa sababu hamjawahi kua na kesi ya first eleven wenu kua na covid
Chelsea haijaanza kufanyiwa figisu leo.

Ila pamoja na figisu zote bado tupo moto.

Tuna ramani nzuri kwenye soka la Ulaya kuliko nyinyi matakataka.
 
Chelsea haijaanza kufanyiwa figisu leo.

Ila pamoja na figisu zote bado tupo moto.

Tuna ramani nzuri kwenye soka la Ulaya kuliko nyinyi matakataka.
Kinabo hata kuandika upuuzi hauoni aibu
 
невежество стоп
Глупые вы жители Эмиратов. Ваша способность состоит в том, чтобы просто брать чашки коз. Вы не можете бороться за мужские трофеи, как УЕФА.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…