Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii kitu niliandika mchana ndio kinatokea sasa, angalia mipira ya Ramsdale inaenda wapi, hapo kuna watu wanakwambia Lacca ni ST mzuri, wakati hawezi hata kuitoa timu nyuma.
Mpka unaona timu ina excel na saka na Martinelli wana-perform ujue ni laca anahold beki 2 za mpinzani.
 
Without any doubt Saka amekuwa abiria uwanjani........ Tunahitaji kukimbia Kilometers za kutosha ili kuweza kupata kila mpira...... ambao utakuwa na advantage kwetu
 
Tatizo hutaki kunielewa, wewe unaamini Arteta anaendeshwa na kelele za wadau? Shida unawasikiliza pundits wasiojua chochote kuhusu tactics za mpira ingawaje wamecheza mpira, mimi nachokwambia ndio ukweli huo.

Picha chini pundits wakifanya prediction ya Top four msimu huuView attachment 2153376
This was very poor from the so called pundits. Arteta is proving them wrong...
..natumai kuona matokeo mazuri asubuhi, nimechoka kuangalia!!
 
Castr, nadhani unaona kuna moments team inasit deep, unajua kwanini? Tunakosa athletes wakupress high reliably, ndio maana huwa nashangaa mtu akisema ni maelekezo ya kocha.
pressing inahitaji wachezaji wenye mapafu ya kutosha........ Lacca try his best, Martinelli do best, Saka don't like to press, Odergard try his best
 
Mkuu, wewe unaangolea tackles! Gabriel huwa namkosoa kwenye Space management na central progression, ebu Muangalie Van dijk anavyohold high line Liverpool ikiwa in possession then muangalie na Gabriel anachofanya tukiwa tunapossess, Van dijk & Matip wajanja sn wanaweka offside trap inayoua transition zetu nyingi mno, Gabriel bado mtoto mdogo sana.
Hizi offside traps zimekamata offside ngapi?

Magalhaes is good. Kwa defense yetu ya Arsenal ndiye beki ambaye ana traits muhimu za ulinzi, also sijui kama unajua but a guy ana skills nyingi miguuni once akipata confidence tutaona zaidi ya tunachoona.

Gabriel Magalhaes is not a next Virgil. He is the first Gabriel Magalhaes, so tumpe nafasi ajiachie na akue usimlinganishe na yeyote mtazame yeye ukilinganisha na anavyoiimarisha defense ya Arsenal
 
Back
Top Bottom