Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nilichomaanisha ni kwamba, unaposhindwa kuhold high line, mara nyingi utakuwa forced to sit deep / low block, sio kama kocha anaamua timu irudi nyuma ila ni wachezaji wanashindwa kuexcute principles za High line footie kwa maana nyingine wanakuwa Passive ndio inatokea hiyo kitu.
Liverpool have caught the opposition offside 117 times in the Premier League this season, at least 46 more times than any other side. Arsenal have scored the most fast-break goals in the Premier League (6). Arteta's side might have the tools to exploit the high line.
 
Kaka acha kutania Jukwaani subiri game ifike muda wake maelezo mengi hayana mantiki game ya leo Arsenal hata draw kwake ni ushindi
Big games huwa tuna lose focus na hata leo najua hakutakuwa na jipya that's the fuckin truth ila Sir God yupo anaweza akawa upande wetu you never know ila kwa maelezo yako ya kujitamba unataka game ikiisha tuanze kutukanwa humu hatutaki maadui wote kwa sasa wamekimbia but today wanaanza kunyata nyata humu
Mkuu acha nidhamu ya uoga


#COYG
 
Umefanya vyema kumkanya mwenzio juzikati tu mlitoa draw na liver mkatema shit kwenye marudiano tukawafundisha jinsi mpira unavyochezwa
tupunguze sana shit words coz Maadui wanasikilizia game ya leo sisi wengine tunapenda kukaa kimya we are waiting for that game hata kwenye mabettin Arsenal anaonekana atafungwa but who knows kama Arsenal atawin ?Arsenal anaweza kuwin that game for sure but inategemeana na mambo mengi sana ila kukaa kujitamba humu JF mwisho wa siku tutatukanwa kama tutapata negative results
 
Huu upande wa kushoto wa Liverpool anaanza Robertson na Luis Diaz halafu mtu wa kuwazuia ni Cedric, My foot
 
Nilichomaanisha ni kwamba, unaposhindwa kuhold high line, mara nyingi utakuwa forced to sit deep / low block, sio kama kocha anaamua timu irudi nyuma ila ni wachezaji wanashindwa kuexcute principles za High line footie kwa maana nyingine wanakuwa Passive ndio inatokea hiyo kitu.
Kuna baadhi ya timu zimespecialize katika kufanya low block. Timu kama Burnley, Wolves, Chelsea (Mourinho) n.k.

Hizi timu zinaingia zikijua zinaenda kufanya low block na siyo kwamba zinataka kufanya high line pressing. Kwa mfano Everton wamemzidi nini Arsenal kiasi kwamba Arsenal ashindwe kufanya high line kiasi inachange kua low block?

Au United ya Ole? Tushascore goli tukaenda kufanya low block, hii tabia imefanyika kwenye game kama tatu au nne za mid table. Kama ulichoandika ni sahihi means Arsenal alishindwa kufanya high line press against Burnley mipango yake ikaharibiwa ikabidi afanye low block.
 
Hii game unaangalia huku umebana mbupu, timu yetu ni kweli inakuja Kasi Ila liver wao wako kasi kwahiyo anayekuja Kasi na aliyeko Kasi ni watu wawil tofauti liver anafukuzia kombe sisi tunafukuzia nafasi ya nne lolote linaweza kutoea
 
Mechi ya muhimu sana hii kwa Liverpool na wachezaji wetu wanapaswa kutokubali kuwa abiria ndani ya uwanja, jasho la kutosha sana inabidi limwagike kwenye pitch
Ya muhimu san hii ukizingatia Mancity amepunguzwa spidi
 
Timu mseto
FB_IMG_16474507956310702.jpg
 
"We're going to have to play our best to beat them!"

Arsenal boss Mikel Arteta says Liverpool are arguably the 'best team in the league'
🔝
 
🇫🇷
Arsenal are keen on Houssem Aouar still. The player has recently changed his agent which could be a deal changer from the previous attempt to sign the midfielder
 
Nawaonea huruma kitu mnachoendwa kufanywa Leo ....Mungu wangu poleni Sana ....mnaenda kuonewa na kuteseka kama yesu msalabani ...
 
Back
Top Bottom