computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Unakataa nini wakati tumemfunga Spurs peke yake ?Mancity Chelsea Manchester United Liverpool wote hawa wanatupapasaNakukatalia, that is your pesimistic altitude
Unakataa nini wakati tumemfunga Spurs peke yake ?Mancity Chelsea Manchester United Liverpool wote hawa wanatupapasaNakukatalia, that is your pesimistic altitude
Means now on Arsenal vs Big games matumaini yanakuwa negative?Nakukatalia, that is your pesimistic altitude
Means now on Arsenal vs Big games matumaini yanakuwa negative?
Yes sikatai but hizi mistakes why zina happen frequently vs hawa watu?tatizo ni nini?We are playing good fotball save for Ramsdale mistakes
Which ofcourse can happen to anyone. Timu inacheza vyema naona.We are playing good fotball save for Ramsdale mistakes
Mnajipa moyo.Uzuri mechi Iko mapema hiyo jmos tusubiri tuone.Jmosi no matter how lazima tumfunge Aston Villa tukipoteza na hapo table itageuka bila kutegemea na EPL haina adabu anytime inabadilika juu chini
Jmosi no matter how lazima tumfunge Aston Villa tukipoteza na hapo table itageuka bila kutegemea na EPL haina adabu anytime inabadilika juu chini





