Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
What Ia a missssssssssss
Kusit deep baada ya kuscore na kutotaka kupanda ni tofauti na kusit deeo kwakua mpinzani wako anakukabia juuCastr, nadhani unaona kuna moments team inasit deep, unajua kwanini? Tunakosa athletes wakupress high reliably, ndio maana huwa nashangaa mtu akisema ni maelekezo ya kocha.
Naona anaingia nyavuni kuokota mipiraMzigo upo 50/50
Dakika yoyote Saka anaingia nyavuni
Coutinho ana wazumuu JUMAMOSI atawala kichwaaa [emoji28]Haya tukalaleni wadau GAME OVER GOODNIGHT
Hatuna uwezo wa kucheza na big giants that's the Fuckin truth tutakuwa tunakojolewa daily tukikutana na hawa Giants na Top 4 hapa itakuja kula kwetu