Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

mimi simjui vzr araujo, hii kazi waachiwe scout kama kweli anahitajika, ila sio kila taarifa zina ukweli mfano kuna taarifa zinadai tunamtaka hazard, unaona kabisa ni uongo
Hana uzoefu. Kuna mambo anafanya unaona kabisa ishu ni uzoefu, so akija Arsenal itakua muziki wa kumsubiri wakati mi naona kwa sasa tunahitaji wachezaji ambao tayari wanaperform
 
Middlesbrough have announced they will be selling Chelsea's ticket allocation for Saturday's FA Cup clash to their own fans.
-sky sports

vita mbaya sana 😟😟

so inamaana mashabiki wa chelsea hawataweza kununua tickets unless ni wale season ticket holders, so Boro waliombwa wawasaidie kwa kuuza baadhi ya zile ticket zilizotengwa kwa mashabiki wao kwa mashabiki wa chelsea ili angalau wapate balance ya mashabiki?
 
kuifunga timu y klopp kwa kutegmea mpk ufanye build up kw mfumo wa timu yako ni kaz sna mana klopp mara zote hatoi nafas kw timu pinzani kufanya build up.

namna rahis ukiachia mbal set pieces ni through transition na apo pia inabdi uwe n wachezaj wataowez kufanya iy transition ynyewe!
 
kuifunga timu y klopp kwa kutegmea mpk ufanye build up kw mfumo wa timu yako ni kaz sna mana klopp mara zote hatoi nafas kw timu pinzani kufanya buil up.

namna rahis ukiachia mbal set pieces ni through transition na apo pia inabdi uwe n wachezaj wataowez kufanya iy transition ynyewe!
Hapo umenena vyema, build up ya Arsenal inaanzia nyuma kabisa leo sitarajii kuona klopp alitoa iyo nafasi kabisa hata ile game tuliyofungwa 4, ile pressing yao ya Mane, Salah na jota aisee ilikua hatari sana, na kama huna beki anaeweza kua na confidence na pasi sahihi na kwa haraka sana, atajikuta unatoa pasi kwa adui muda wote kama alivyofanya Tavares siku ile
 
Aiseee nilikuwa nacheza hapa kwenye PS

Arsenal 1-4 Liverpool

Hii ni dalili mbaya Sana kwa arsenal...!😅😅😅😅
 
Mzee Castr kwanini watu mnapenda kusema Arteta alikuwa anakimbilia nyuma? Ni dhahiri labda hatuelewi nini maana ya high line footie na Mechanics yake inawork vipi.
Bro kama unaangalia mechi zote za Arsenal utakumbuka hizo mbili nilizozitaja ni mifano ya haraka ya jinsi tulifanya low block.

High line najua inafanyaje kazi. Na tulichofanya katika hizo mechi ilikua ni low block na siyo high line
 
Nyie takataka arse8 nipigieni yule liverkuku tunajua saiv munacheza vizuri ..Musiaibishe London, Sisi Chelsea tunawabeba sana
 
We could be without Gabby Magalhaes today whose fuckmate is nine months pregnant
Gabriel is in the Arsenal squad to face Liverpool tonight. #afc
1647379378071.png
 
Mikel Arteta on the reports linking him with the PSG job:



“It’s very simple. I am extremely happy here at Arsenal and grateful that this is where I am.” #afc
 
Na anagalia Liverpool watatokea wapi, kwa maana na wao wanajua ukifunguka hovyo
Pressing zetu 3, lazima tuweke mpira nyavuni
Klop hawezi kuwa Mjinga kiasi hiki asilione hili

Nguvu ya Liverpool ni mane na salah, hawa watu ni kama ile Barcelona ya pep alafu unaambiwa messi ni mzima wa afya iwe nyumbani au ugenini hamtakua na amani

Liverpool kwanza kabisa tutamkamatia kwenye kiungo, yes partey is there octopus the man himself
No turning back, going forward


Game ya leo bado tunawahitaji

Martinel na saka; hizi n wings ambazo zitawatuliza Arnold na Robertson

Rowe atoke bench tu, sio mbaya

Middle pale sina wasiwasi hata kidogo
Partey anaweza kufanya kaz ya watu wawil bila shida
85% midfield lazima iwe monopolized na arsenal

Tunahitaji utulivu wa defenders wetu, coz salah na mane muda wowote wanaweza kukuadhibu


Odegard
Huyu ni artist haitaji maelezo mengi

Yes, lacazette aanze tu, maana n mtu wa kuwaletea disturbance pale golini


Xhaka
sina wasiwasi nae, kazi ngumu ata kuwa anafanya partey yeye ataweka mambo madogo madogo sawa



Golini yupo jini la kizungu
Najua Leno hana wivu wala chuki akikuona dogo jinsi anavyofanya matusi yake
pale ambapo watu wanajiandaa kushangilia yeye ndio anawainua the gunners
Yule dogo ni genius, very quick in term of thinking and taking actions
Kaka acha kutania Jukwaani subiri game ifike muda wake maelezo mengi hayana mantiki game ya leo Arsenal hata draw kwake ni ushindi
Big games huwa tuna lose focus na hata leo najua hakutakuwa na jipya that's the fuckin truth ila Sir God yupo anaweza akawa upande wetu you never know ila kwa maelezo yako ya kujitamba unataka game ikiisha tuanze kutukanwa humu hatutaki maadui wote kwa sasa wamekimbia but today wanaanza kunyata nyata humu
 
Kaka acha kutania Jukwaani subiri game ifike muda wake maelezo mengi hayana mantiki game ya leo Arsenal hata draw kwake ni ushindi
Big games huwa tuna lose focus na hata leo najua hakutakuwa na jipya that's the fuckin truth ila Sir God yupo anaweza akawa upande wetu you never know ila kwa maelezo yako ya kujitamba unataka game ikiisha tuanze kutukanwa humu hatutaki maadui wote kwa sasa wamekimbia but today wanaanza kunyata nyata humu
Umefanya vyema kumkanya mwenzio juzikati tu mlitoa draw na liver mkatema shit kwenye marudiano tukawafundisha jinsi mpira unavyochezwa
 
Back
Top Bottom