Na anagalia Liverpool watatokea wapi, kwa maana na wao wanajua ukifunguka hovyo
Pressing zetu 3, lazima tuweke mpira nyavuni
Klop hawezi kuwa Mjinga kiasi hiki asilione hili
Nguvu ya Liverpool ni mane na salah, hawa watu ni kama ile Barcelona ya pep alafu unaambiwa messi ni mzima wa afya iwe nyumbani au ugenini hamtakua na amani
Liverpool kwanza kabisa tutamkamatia kwenye kiungo, yes partey is there octopus the man himself
No turning back, going forward
Game ya leo bado tunawahitaji
Martinel na saka; hizi n wings ambazo zitawatuliza Arnold na Robertson
Rowe atoke bench tu, sio mbaya
Middle pale sina wasiwasi hata kidogo
Partey anaweza kufanya kaz ya watu wawil bila shida
85% midfield lazima iwe monopolized na arsenal
Tunahitaji utulivu wa defenders wetu, coz salah na mane muda wowote wanaweza kukuadhibu
Odegard




Huyu ni artist haitaji maelezo mengi
Yes, lacazette aanze tu, maana n mtu wa kuwaletea disturbance pale golini
Xhaka
sina wasiwasi nae, kazi ngumu ata kuwa anafanya partey yeye ataweka mambo madogo madogo sawa
Golini yupo jini la kizungu
Najua Leno hana wivu wala chuki akikuona dogo jinsi anavyofanya matusi yake
pale ambapo watu wanajiandaa kushangilia yeye ndio anawainua the gunners
Yule dogo ni genius, very quick in term of thinking and taking actions