Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii umeandika kishabiki zaidi mkuu, wape heshima Liverpool, Liverpool are transition monsters in Mane, Salah & Diaz. Ukisema ni kwenda mbele tu game wataimaliza mapema asubuhi. Arsenal tuna tendency ya kusit deep tunapocheza na timu zenye top technicians ipo wazi, Game vs Leceister we had 46% of the ball, how about Liverpool? Remember Liverpool never sit deep. Of course, tutakuwa na some good moments of the game kwa kusustain attacks sababu quality tunayo, lakini bado Liverpool ni bora kuliko sisi, game itakuwa ngumu, game of the ages, napendaga sana mechi kama hizi.
umenielewa vy, hakuna mahali nimesema liver wakawida, hakuna nilipowashusha, ila nimezungumzia hali halisi, arsenal ya sasa alipoifikisha arteta usitegemee itakaa nyuma kesho, hata kwa leicester amezidi possession lkn arsenal haikukaa nyuma, hata dhidi ya city first half before red hatukukaa nyuma ingawa city alizid possession, kuzid possession inategemea una gain wap possession yako,mfano leicester mpira mwingi alikuwa anachezea kwenye zone yake, possession unai calculate kwa pass kuwa nyingi na zilizopotea, hiyo sio factor ndio umecheza vzr, kaangalie statistics nyingine ukiacha possession dhidi ya leicester utaelewa ninachosema

hata hiyo kesho usitegemee arsenal kukaa nyuma kisa ni liverpool, kuna timu ina possess mpira kuliko city epl? sitashangaa wakituzid possession ,lkn nategemea timu kufunguka , mech za emirates now imekuwa hivo, kadri siku zinavyoenda
 
Liver ni wazuri kuliko sisi kama ambavyo man city walivyo wazuri pia. Lkn wakija na uhakika kwamba watakuja kuchukua point kwetu tunaweza kuwashangaza na hilo linawezekana kutokana na form tuliyonayo kwa sasa.

Wachezaji wetu kwa sasa wana ujasili baada ya kushinda mechi kadhaa mfululizo hivyo wanajiona kabisa kuwa wana uwezo wa ku-battle na giant yoyote na wakapata matokeo. Rejea kauli za hivi karibuni za wachezaji wetu.

Wachezaji wetu tegemezi wote wako kwenye kiwango cha juu sana na hivyo nadhani watakuwa wanataman kukutana na changamoto kutoka kwa wapinzani walio kwenye form ili wapimane uwezo. Mfano ni battle ya Partey, Xhaka na Odegaard dhidi ya viungo wa liver

Binafsi nafikiri ili tuweze kupata matokeo kwa liver basi inatakiwa kuwakabia juu kama tulivyofanya kwa Man city wakati huo tukiweka tahadhali ya counter attack zao kupitia kwa washambuliaji wao Mane, Salah na fermino/Jota /Diaz.

Japo liver ni wazuri zaidi yetu lkn naamini kesho tutatoka na point
 
Hii umeandika kishabiki zaidi mkuu, wape heshima Liverpool, Liverpool are transition monsters in Mane, Salah & Diaz. Ukisema ni kwenda mbele tu game wataimaliza mapema asubuhi.
ubora wa liver hauzuii na hautazuia arsenal kwenda mbele.like game dhidi ya city....na ukisema tukifunguka tunakula nyingi nakukatalia, ukikaa nyuma ndio unakuwa kwenye risk kubwa ya kupigwa, arteta awali alikuwa anakaa nyuma kipind hicho ana kina kola,mari,belle . ,na tunapigwa 5

liverpool ni bora , hiyo haitatuzuia kwenda mbele ,
 
umenielewa vy, hakuna mahali nimesema liver wakawida, hakuna nilipowashusha, ila nimezungumzia hali halisi, arsenal ya sasa alipoifikisha arteta usitegemee itakaa nyuma kesho, hata kwa leicester amezidi possession lkn arsenal haikukaa nyuma, hata dhidi ya city first half before red hatukukaa nyuma ingawa city alizid possession, kuzid possession inategemea una gain wap possession yako,mfano leicester mpira mwingi alikuwa anachezea kwenye zone yake, possession unai calculate kwa pass kuwa nyingi na zilizopotea, hiyo sio factor ndio umecheza vzr, kaangalie statistics nyingine ukiacha possession dhidi ya leicester utaelewa ninachosema

hata hiyo kesho usitegemee arsenal kukaa nyuma kisa ni liverpool, kuna timu ina possess mpira kuliko city epl? sitashangaa wakituzid possession ,lkn nategemea timu kufunguka , mech za emirates now imekuwa hivo, kadri siku zinavyoenda
Usiandike kishabiki mkuu inabidi uelewe kwanza fundamentals, Sipo hapa kuiponda Arsenal ila nataka uelewe kitu kimoja, Unapozidiwa Possession maana yake you're too easy to keep the ball against na factor inayochangia ni kuwa hauna physicality in forward areas to press high line per 90. Sasa unaposhindwa kupress high line vs Liverpool unakuwa Forced to sit deep, sio kama unaamua wewe kukaa nyuma au kwenda mbele, ni profile & quality zitakuruhusu kufanya hayo kuzingatia na ubora wa mpinzani wako, and Liverpool have top technicians to destroy every opponent, so tupunguze mahaba tunaweza shinda ila sio kwa sababu tulimsumbua City basi itakuwa hivyo kwa liverpool.
 
Liver ni wazuri kuliko sisi kama ambavyo man city walivyo wazuri pia. Lkn wakija na uhakika kwamba watakuja kuchukua point kwetu tunaweza kuwashangaza na hilo linawezekana kutokana na form tuliyonayo kwa sasa.

Wachezaji wetu kwa sasa wana ujasili baada ya kushinda mechi kadhaa mfululizo hivyo wanajiona kabisa kuwa wana uwezo wa ku-battle na giant yoyote na wakapata matokeo. Rejea kauli za hivi karibuni za wachezaji wetu.

Wachezaji wetu tegemezi wote wako kwenye kiwango cha juu sana na hivyo nadhani watakuwa wanataman kukutana na changamoto kutoka kwa wapinzani walio kwenye form ili wapimane uwezo. Mfano ni battle ya Partey, Xhaka na Odegaard dhidi ya viungo wa liver

Binafsi nafikiri ili tuweze kupata matokeo kwa liver basi inatakiwa kuwakabia juu kama tulivyofanya kwa Man city wakati huo tukiweka tahadhali ya counter attack zao kupitia kwa washambuliaji wao Mane, Salah na fermino/Jota /Diaz.

Japo liver ni wazuri zaidi yetu lkn naamini kesho tutatoka na point
ndicho ninachoamini mimi, kwa mara ya kwanza kabisa arteta aliamua ku attack timu yoyote inayokuja emirates baada ya angalau kuona eneo la midfield lina xhaka na partey, , sion sababu ya arteta kukaa nyuma tena emirates ,midfield una xhaka partey, ,
 
Usiandike kishabiki mkuu inabidi uelewe kwanza fundamentals, Sipo hapa kuiponda Arsenal ila nataka uelewe kitu kimoja, Unapozidiwa Possession maana yake you're too easy to keep the ball against na factor inayochangia ni kuwa hauna physicality in forward areas to press high line per 90. Sasa unaposhindwa kupress high line vs Liverpool unakuwa Forced to sit deep, sio kama unaamua wewe kukaa nyuma au kwenda mbele, ni profile & quality zitakuruhusu kufanya hayo kuzingatia na ubora wa mpinzani wako, and Liverpool have top technicians to destroy every opponent, so tupunguze mahaba tunaweza shinda ila sio kwa sababu tulimsumbua City basi itakuwa hivyo kwa liverpool.
sijaweka ushabiki mimi naongelea kitu kilichopo, na labda hujui possession inavyokuwa calculated , sio kila unapozidiwa possession umecheza vibaya, nataka nikwambie unaweza ku gain possession hata 90 , in your zone,

unachotaka kutuaminisha hapa ni kwamba arsenal haina uwezo wa kwenda mbele mara kwa mar dhidi ya liver , kitu ambacho ni uongo, wala siweki ushabiki hapa, arsenal hata kwa wolves, astonvilla tulikuwa hatuend mbele , now tunaenda vzr tu, kuna progress ipo

hata arteta amesema leo haya

on the biggest difference between our last meeting with Liverpool…

It’s five months later! We’re still going to play against arguably the best team or the second best team in the league, a team that is in great form and we’re certainly going to have to play at our best to beat them.I think we played against some top teams and we played against City not long ago and you know the problems that they put in
 
Unapozidiwa Possession maana yake you're too easy to keep the ball against na factor inayochangia ni kuwa hauna physicality in forward areas to press high line per 90.
jaribu kuelewa possession ina patikana vipi, sio kila anayezidiwa possession hana physicality , leicester alikuwa anafikisha hadi 95 in last 5 mins, lkn ana i gain wapi hiyo possession, mbona arsenal aliwin vzr tu kuwa press leicester ,
mfano hadi muda huu man u anaongoza possession lkn kwakukaa na mpira kwenye zone yake , lkn atm wanajua nini cha kufanya wameweka moja,

mpira sio possession
 
ubora wa liver hauzuii na hautazuia arsenal kwenda mbele.like game dhidi ya city....na ukisema tukifunguka tunakula nyingi nakukatalia, ukikaa nyuma ndio unakuwa kwenye risk kubwa ya kupigwa, arteta awali alikuwa anakaa nyuma kipind hicho ana kina kola,mari,belle . ,na tunapigwa 5

liverpool ni bora , hiyo haitatuzuia kwenda mbele ,
Nimeongelea Liverpool kuwa Transition threats, hii ndio sababu ya kufanya Arsenal tukae nyuma sijui kama unanielewa. Huwezi tu kufunguka against a well counterpressing team ukizingatia Liverpool ni the best team in the world kwa kuwin first & second balls. Haya mambo yaangalie structurally then angalia profile ya Mane, Salah & Diaz nadhani tutaelewana. Refer game ya Anfield we played well in the FH, ila second half Liverpool walipojua tunalack experience wakaigeuza kuwa a transition game haikupita dk 20 tulifungwa goli 3.

Na Arteta hakuwai kukaa nyuma ila tulikuwa forced to sit deep kwa kukosa quality players, ila baada ya kufanya signings tulisit off kwa kukosa Experience, over time hili tatizo linapotea.
 
Gabriel Magalhães wasn’t spotted at training today. It’s worth noting his girlfriend is 9 months pregnant so theirs a strong possibility he missed it due to that. I’m not sure if this means he will play tomorrow or not I must add.
 
jaribu kuelewa possession ina patikana vipi, sio kila anayezidiwa possession hana physicality , leicester alikuwa anafikisha hadi 95 in last 5 mins, lkn ana i gain wapi hiyo possession, mbona arsenal aliwin vzr tu kuwa press leicester ,
mfano hadi muda huu man u anaongoza possession lkn kwakukaa na mpira kwenye zone yake , lkn atm wanajua nini cha kufanya wameweka moja,

mpira sio possession
Possession inapatikana vipi Aaron? Nini maana ya possession kwenye mpira? Labda tukiulizana maswali tutaenda sawa.
 
During the game, the passes for each team are totalled up and then each team's total is divided by the game total to produce a percentage figure which shows the percentage of the game that each team has accrued in possession of the ball.

1647312603429.png
 
jaribu kuelewa possession ina patikana vipi, sio kila anayezidiwa possession hana physicality , leicester alikuwa anafikisha hadi 95 in last 5 mins, lkn ana i gain wapi hiyo possession, mbona arsenal aliwin vzr tu kuwa press leicester ,
mfano hadi muda huu man u anaongoza possession lkn kwakukaa na mpira kwenye zone yake , lkn atm wanajua nini cha kufanya wameweka moja,

mpira sio possession
Mkuu nachomaanisha ni kuwa, if you cant press realiby in the game kutokana na physical issues basi kuna some bad moments of the game utazidiwa possession tu, so kama mpinzani ni mzuri kusustain attacks utakuwa forced to sit deep. So kuna nyakati huwezi kwenda mbele sababu mpinzani kakuzidi ubora paka uregain energy / kuwa na foward line wanaoexcel physically & technically.
 
During the game, the passes for each team are totalled up and then each team's total is divided by the game total to produce a percentage figure which shows the percentage of the game that each team has accrued in possession of the ball.

View attachment 2152292
Hapo tutaenda sawa mkuu, ilibidi ujiulize kwanini Barca ana 89% & Celtic ana 11%?
 
kuna possession yenye pass nyingi za maana, maana unapo calculate possession huangalii pass zipi za mbele zip za nyuma, unaweza kuwa na possession kubwa kumbe ni mipas ya zone yako, mwenzio possession 40 ila pass zake nyingi ni kwenye zone yako tena zile za madhara , ndio kama arsenal vs leicester, kwanini inaonekana arsenal kacheza vzr kuliko dhidi ya watford ikiwa kwa watford aliongoza possession, kwa leicester hajaongoza. ,ila aliyoongoza possession inaonekana alicheza vby,hata arteta alisema tumecheza vby, lkn ya leicester imeonekana tumecheza poa ,na possession ipo chini?

utagundua tunapokuwa na mpira tunafanya vitu muhimu , hata ile game na city, first half walituzid possession , lkn hata pep anakubali tulimfungukia, kwanini pass zao nyingi walicheza kwenye zone yao....

mech na liverpool tutafunguka tu, kumbuka tuna structure 4-4-2 ya kudefend , tunapokuwa out of possession, so usiseme lazima tufosiwe nyuma tu.... uwepo wa xhaka na partey unaturuhusu kuna muda na sisi kufunguka ,
 
Mkuu nachomaanisha ni kuwa, if you cant press realiby in the game kutokana na physical issues basi kuna some bad moments of the game utazidiwa possession tu, so kama mpinzani ni mzuri kusustain attacks utakuwa forced to sit deep. So kuna nyakati huwezi kwenda mbele sababu mpinzani kakuzidi ubora paka uregain energy / kuwa na foward line wanaoexcel physically & technically.
hata mimi ninachokuambia sio kila muda tutaenda mbele tu, ila elewa kufunguka tutafunguka tu tena ila shida , kwani lini tulifunguka mwanzo mwisho tu? unachotaka kusema wewe toka mwanzo ni kwamba , arsenal hatakiwi kufunguka sababu liverpool ni bora, kama umeangalia mech 2-3 za liverpool utaelewa ninachosema, norwich walikosa quality tu , westham , alifunguka inabobidi , na alikosa 2 big chances, kwahiyo sio kwamba ukifunguka hupati chochote,

tena wakicheza high line , ni rahisi kuwa beat, high line yao ni superbup anapokuwepo thiago ,
 
kuna possession yenye pass nyingi za maana, maana unapo calculate possession huangalii pass zipi za mbele zip za nyuma, unaweza kuwa na possession kubwa kumbe ni mipas ya zone yako, mwenzio possession 40 ila pass zake nyingi ni kwenye zone yako tena zile za madhara , ndio kama arsenal vs leicester, kwanini inaonekana arsenal kacheza vzr kuliko dhidi ya watford ikiwa kwa watford aliongoza possession, kwa leicester hajaongoza. ,ila aliyoongoza possession inaonekana alicheza vby,hata arteta alisema tumecheza vby, lkn ya leicester imeonekana tumecheza poa ,na possession ipo chini?

utagundua tunapokuwa na mpira tunafanya vitu muhimu , hata ile game na city, first half walituzid possession , lkn hata pep anakubali tulimfungukia, kwanini pass zao nyingi walicheza kwenye zone yao....

mech na liverpool tutafunguka tu, kumbuka tuna structure 4-4-2 ya kudefend , tunapokuwa out of possession, so usiseme lazima tufosiwe nyuma tu.... uwepo wa xhaka na partey unaturuhusu kuna muda na sisi kufunguka ,
Sasa Leicester kuwin possession against a high-pressing team like Arsenal, what does it indicate? Huwezi kusema kawin possession kwenye zone yake wakati Arsenal tunapress high line.

Kuna vitu vitatu vinaingia hapo

Either Arsenal walikuwa na worse pressing strucure iliyoshindwa kumatch up na build up ya Leicester, big No.

Leicester wanatop technicians wanaoExcel in every facets of play kubypass blocks za Arsenal, big No

Arsenal wanapress in moments due to lack of phsicality in the foward line, kwa maana ingine hawawezi kupress reliably per 90 minutes, Yes.

Sasa kwa timu inayosustain attacks na kurecycle play kama Liverpool, what do you expect Kama unapress kwa moments? Utakuwa unaenda mbele tu na hauna intensity within your structure so wanabypass blocks zako ili nini kitokee kwenye backline yako?
 
hata mimi ninachokuambia sio kila muda tutaenda mbele tu, ila elewa kufunguka tutafunguka tu tena ila shida , kwani lini tulifunguka mwanzo mwisho tu? unachotaka kusema wewe toka mwanzo ni kwamba , arsenal hatakiwi kufunguka sababu liverpool ni bora, kama umeangalia mech 2-3 za liverpool utaelewa ninachosema, norwich walikosa quality tu , westham , alifunguka inabobidi , na alikosa 2 big chances, kwahiyo sio kwamba ukifunguka hupati chochote,

tena wakicheza high line , ni rahisi kuwa beat, high line yao ni superbup anapokuwepo thiago ,
Ok mkuu tufanye tunaongea lugha moja, tuangalie Atletico Madrid.
 
Back
Top Bottom