Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dah! Huwezi kuiacha team ikajenga kibanda katika goli lenu kwa muda mrefu bila kuwa na athari
 
Penalt mmekwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nilisema lazima 3 sasa mmekubali naona......
 
dah poleni sana wakuu. imenijia huruma kidogo. goaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal
 
mesiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii 3
 
no matter how many right decision ref makes now, they dont count\

almunia anatiwa
 
Too late Wenger, kama ulikuwa umekuja kutafuta draw kwa barca umechemka. mda wote huo kamuacha arshavin nje saa hizi ndio anamleta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…