toobiter
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 1,422
- 2,791
Mkuu will Jr anazungumza analytically na realistically na hakuna ambacho anamuonea "gab" ila jambo lililowaz ni kwamba Kuna wakati huwez kupata Kila mtu kwa Kila nafasi unayemtaka kwa aina ya bajeti na aina ya wachezaji walioko sokoni na reputation ya klabu kwa sasa(hatumo UEFA)Yaan ukitafuta update ya gab sijui ata umchukue nan? Maan ata saliba hamfikii sijui labd Coady wa wolves ambae nae naona Kama level ziko sawa tu, kifup Gab apewe mda ana potential kubwa sana
Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app