Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwakua ni Arsenal usishangae goli likafutwa na mechi ikatangazwa suluhu
 
Hii kasuma inakera sana kwa kweli
 
Leteni uchambuzi wazee Arsenal vs Liverpool mnaionaje hii game?
 
Will, hya maneno si ni kama tu mawazo ya Castr Au mtu yoyote tu yule?? Au haya ndio unatakiwa uwe uthibitisho wa qualities za Laporte??
Nilifanya hivyo bwana castr alinegate Laporte is not a ball-playing CB, so nikaweka trait moja inayomdefine Laporte.
 
Inaonekana Gabriel ni kipenzi cha wana Arsenal, ila binafsi siwezi kumkubali if he keeps making silly mistakes, na sioni hizi mistakes zikiisha kwa Gabriel, kama akiimprove its fine hata Partey alisemwa now ameimprove and everybody loves him. BTW i like William saliba, the mbappé of central defenders.
 
Leteni uchambuzi wazee Arsenal vs Liverpool mnaionaje hii game?
baada ya game na leicester , itafahamika tu, ila arsenal yenye midfied ya xhaka partey ...na uwepo wa laca, timu yoyote duniani inakufa vzr tu, niliwahi kuandika makala mahala, kipind laca hapati nafasi, nilipoona strength ya xhaka partey, nikaamini ukimuongeza na laca anayerudi had dimba la kati na kufanya 3 midfielders , basi saka, smith, odegaard, au martinel watakufanya chochote wanachotaka, even uwe nani

tuliona city alivyokuja emirates, tumeona more than 10+ games wakiwepo hao watu watatu jinsi tunavyoondoka na matokeo. , tumeona pia alipokosekana xhaka, au partey au wote jinsi tunavyo struggle , rejea mwez january hapo,

hivo mech ya liverpool kwanza tuombe wote hawa watatu wawepo, then mengine yafuate,
 
Potential ipo na tunaiona. Anahitaji bidii na coaching. Sijui wasaidizi wa mikel wanaubora gani ila ukiacha mikel mzee wa big picture, kama wasaidizi wake wako top notch, ambao ndo wana individual sessions na players, mambo kama hayo wanatakiwa waweke sawa kwa mchezaji.
 
Kwakua ni Arsenal usishangae goli likafutwa na mechi ikatangazwa suluhu
unajua sitashangaa kabisa kwa kuwa ni sisi kama ulivyosema. Ingekuwa klopp angesifiwa mpaka abadilishe miwani kwa jinsi atavyojaa bichwa
 
Leteni uchambuzi wazee Arsenal vs Liverpool mnaionaje hii game?
Hao majogoo wa siku kuu na njaa hii tuliyo nayo... Sisi ni kuchinja tu. On a serious note.: ndo game ngumu kwetu msimu huu kwa sababu hawa kuku hawajaridhika na nafasi ya 2
 
mimi pia sielewi. Labda ni upgrade ya nketiah kama sub ila main striker bado me ningependa mfano wa alexis sanchez au suarez mwenye linkup na kudrop kama laca. Sometimes nafikiri sanchez ndiye alileta tabia ya kuhassle mabeki pinzani arsenal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…