Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pia inabid tuongeze beki pale nyumba, saliba au aingie mwingine

Namba Tisa, yes inabidi aweze kucheza kitimu na sio kusubili mpira kama lukaku
Kuhusu beki sidhaani maana tayari kuna beki ameshasajiriwa kutoka timu ya kroenke , anaitwa TRUSTY, na saliba anarudi, so kama atasajiriwa beki basi ni Backup RB,Wa tomiyasu na iwapo cedric ataondoka, maana hadi backup kipa tayari, kifupi tunaingia summer tukiwa na Backup GK,SALIBA, NA TRUSTY ambaye ni CB,

mzigo mkubwa umetengwa kwa ajiri ya TOP CF ,NA two CMs, romano alisema ana taarifa 100% tutashusha TOP CF,
 
Trusty nafikiri nilisoma mahali kuwa hata msimu ujao atatafutiwa loan ya season Europe akaendelee kudevelop na aje baada ya next season. Hivyo sidhani kama atakuwepo next season.
 
Trusty nafikiri nilisoma mahali kuwa hata msimu ujao atatafutiwa loan ya season Europe akaendelee kudevelop na aje baada ya next season. Hivyo sidhani kama atakuwepo next season.
bado sioni ongezeko zaid la beki wa kati, saliba anarudi, na uzuri arteta anatumia falsafa ya pep ya kuwa na kikos kipana kwa njia ya kuwa na mchezaji mmoja anayecheza nafas zaid ya 1, ben white ni CB,RB,CDM, Tomiyasu RB,CB, hivo sitashangaa kurudi kwa saliba na holding kubaki tusisajiri CB, tukawekeza kwenye VIUNGO NA USHAMBULIAJI
 
Nadhani uko sahihi. Binafsi sina issue kubwa na mabeki au hata defeding yetu kwa ujumla kama timu. Viungo na Ushambuliaji ndipo kwa kuwekeza. Kama tukipata wakumzidi Xhaka (labda hata Mo na Lokonga pia ingawa kaja juzi juzi tu) mwenye nguvu, ubunifu na kasi. Mshambuiaji mwenye nguvu, kasi na ubunifu pia itakuwa poa. Wakiondoka Nketiah na Laca tulete striker mzuri mmoja. Si lazima striker ghali kutoka Europe, hata mtundu mtundu muhuni muhuni flani tu kutoka South Amerika huko type ya Suarez na Sanchez atayewaudhi mabeki. Martinelli atakuwa kama striker wa pili. Kina Saka, Pepe, Smith-Rowe, Martinelli na Ode wapewe mafunzo bora waimarike zaidi ya walipo sasa.
 
Trusty nafikiri nilisoma mahali kuwa hata msimu ujao atatafutiwa loan ya season Europe akaendelee kudevelop na aje baada ya next season. Hivyo sidhani kama atakuwepo next season.
Nitafurahi Cedric akibaki kama back up
 
Nitafurahi Cedric akibaki kama back up
Cedric na Tomi naona kama wako poa tu ukimkosa mmoja ukawa na mwingine sioni kama upande wao una shida sana. unless umpate Hakimi sijui. Hapo unaweza hata ukamuachia Bellerin mazima kama hatopenda kurudi. Ila upande wa kushoto vipi? Tukimkosa Tierney hatupati taabu kama Cedric hayupo?
 
Arteta:

"Gabriel and Ben White never played together before & they didn't have any time to work together in Pre-season. "They have a really good connection and their qualities compliment each other really well. I think both of them are terrific."

🤝❤❤
 
Cedric na Tomi naona kama wako poa tu ukimkosa mmoja ukwa na mwingine sioni kama upande wao una shida sana. unless umpate Hakimi sijui. Hapo unaweza hata ukamuachia Bellerin mazima kama hatopenda kurudi. Ila upande wa kushoto vipi? Tukimkosa Tierney hatupati taabu kama Cedric hayupo?
Mbona upande wa tierney , nuno yupo poa tu, na huo upande arsenal walishamalizana nao., nuno alipochoma game na liverpool bas baadhi ya mashabiki wanamchukulia mbovu, lkn alipoumia tierny alifanya poa mechi nyingi tu, na ana umri mdogo,

kwa upande wa LB hataogezwa mtu, maana hata saka anacheza vzr tu ikitokea tierny na nuno hawapo,

target kubwa naziona ni 2 midfielders,ambapo mmoja atakuwa na uwezo wa kucheza pembeni as winger, na CF mwenye link up play.

elneny naona akiondoka, bellerin hawez kurudi tea, arteta hamtaki, toreira, guendoz, wote hao arsenal atabeba hela, mari ndio safari imemkuta
 
𝐂𝐫𝐞𝐚𝐭𝐢𝐯𝐞 𝐙𝐨𝐧𝐞𝐬: 𝐏𝐫𝐞𝐦𝐢𝐞𝐫 𝐋𝐞𝐚𝐠𝐮𝐞 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

Where do Premier League teams create their chances from on the pitch in 2021-22?

Arsenal have been the most prolific through the middle, while surprise, surprise Liverpool are the most threatening on the right... ⬇️
1646138432818.png
 
Mbona upande wa tierney , nuno yupo poa tu, na huo upande arsenal walishamalizana nao., nuno alipochoma game na liverpool bas baadhi ya mashabiki wanamchukulia mbovu, lkn alipoumia tierny alifanya poa mechi nyingi tu, na ana umri mdogo,

kwa upande wa LB hataogezwa mtu, maana hata saka anacheza vzr tu ikitokea tierny na nuno hawapo,

target kubwa naziona ni 2 midfielders,ambapo mmoja atakuwa na uwezo wa kucheza pembeni as winger, na CF mwenye link up play.

elneny naona akiondoka, bellerin hawez kurudi tea, arteta hamtaki, toreira, guendoz, wote hao arsenal atabeba hela, mari ndio safari imemkuta
Ni vyema tuchukue chetu mapema kwa hao wachezaji. Nuno naona kama anahitaji kuboresha end product kwenye ushambuliaji kama defensively yuko poa vya kutosha. Jamaa kwa spidi si haba...naona ana potential ya kuwa left back ama left wingback bora sana iwapo atakuwa na delivery nzuri na shooting skills.
 
shooting skills yake sio nzuri, ana vingi vya kujifunza kutoka kwa tierny, uzuri ana umri mdogo

toreira na guenduz ziliwekwa obligation ,summer zinalipwa zinafikia euro mil 25, bellerin ,mari ,elneny, hawa watauzwa ,
 
Fabrizio Romano: "Saka really loves Arsenal, He is in love with the club." Saka will never leave Arsenal
 
Rio Ferdinand ameshaur Arsenal imnunue Jesus wa city, lakn mashabiki wa arsenal weng wamelipokea negative hili, wamemjia juu sana like Jesus sio level ya arsenal, hv n kweli?

M binafs namuona n mchezaj mzur ingawa ndio sio World class, lakn pia sio average na ana potential ya ku improve akawa Bora zaid, m nataman aje kama itawezekana ingawa first choice yangu n Nkuku, lakn naona ata yy sio mbaya ukilinganisha na kina Isack tulio usishwa nao

Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
 
Marseille club president Pablo Longria told

@RMCsport channel that Matteo Guendouzi will complete his move to Marseille completely "automatically" after fulfilling the conditions agreed upon with Arsenal.. Mathieu has played 38 games for Marseille this season in all competitions.
 
Mattéo Guendouzi leaves Arsenal permanently to join Olympique Marseille on a 3 year deal. Guendouzi has met clauses in his loan deal after playing 38 games. 🔵🇫🇷 #AFC

Guendouzi has already signed his contract until June 2025 with OM. #TeamOM
 
#Dealdone
✍🏽
🔵
🇫🇷

Matteo Guendouzi rasmi sasa ameondoka Arsenal na kujiunga na Olympique Marseille kwa mkataba wa kudumu wa miaka mitatu.
Matteo Guendouzi amefikia kipengele kilichopo kwenye mkataba wake wa mkopo na klabu hiyo ya Ufaransa
🇫🇷
baada ya kucheza michezo 38.
Guendouzi tayari amesaini mkataba wake mpaka Juni 2025 na klabu ya Olympique Marseille.
Note: Wakati klabu ya Arsenal ilipomtoa kwa mkopo kwenda Marseille, kwenye mkataba wake kulikuwa na kipengele cha kiungo huyo kusajiliwa moja kwa moja endapo atacheza michezo 38 katika klabu hiyo ya Ufaransa
🇫🇷
.
Na sasa rasmi raisi wa Olympique Marseille amethibitisha kumsajili Matteo Guendouzi kwa Pauni milioni 13 kutoka Arsenal
 
@FabrizioRomano

Kuhusu Saka kwa tetesi za Liverpool: "Siku zote ni tetesi za Liverpool, hivi ndivyo nilivyokuwa nauliza jana na jibu nililopata ni kwamba Bukayo anaipenda #Arsenal, anaipenda klabu, ni mtu mzuri na ni mtu wa kweli, na ndio maana hataki kuondoka katika majira ya joto"
1646271319699.png
 
✅ Wolves
✅ Brentford
✅ Wolves

⛔️ Clean sheets: 1
⚽️ Goals scored: 5
💯 Win percentage: 100%

The boss has been nominated for the @PremierLeague Manager of the Month award 👏
 
Gabriel:

"Wakati wa baridi [msimu wa 2019-2020], nilitakiwa kusaini Everton. Nilifanyiwa vipimo vya afya, n.k... Lakini dili halikukamilika. Nilizungumza na Napoli,na Everton kwa mara nyingine tena, lakini nikachagua # Arsenal namshukuru Nicolas Pépé, ambaye alinieleza vizuri kuhusu klabu hii"
1646271771087.png
 
Back
Top Bottom