Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Gabriel:

"Wakati wa baridi [msimu wa 2019-2020], nilitakiwa kusaini Everton. Nilifanyiwa vipimo vya afya, n.k... Lakini dili halikukamilika. Nilizungumza na Napoli,na Everton kwa mara nyingine tena, lakini nikachagua # Arsenal namshukuru Nicolas Pépé, ambaye alinieleza vizuri kuhusu klabu hii"
View attachment 2137978
Dah

Chaka limeingizwa chaka na chaka jingine ili wacheze na Xhaka
 
Uamuzi wa Arsenal kutumia pesa nyingi kumnunua Ben White ulishutumiwa vikali
1646272671705.png
 
Martin Ødegaard covered 12.02km against Wolves. The most distance covered by an Arsenal player this season.
1646273164285.png
 
Arsenal still hope to beat Man City to the signing of Brazilian starlet Savinho. The London club has been looking for a way to present a more interesting offer for weeks, from a financial and career perspective.
@brunoandrd

@UOLEsporte
 
Arsenal are strongly interested in signing Youri Tielemans and the player is preparing to leave Leicester. Leicester are willing to accept offers in the region of £35m.
@Nieuwsblad_be
 
Vyanzo vinadai kuwa sababu ya ya Arteta kumuondoa Aubameyang ni kwamba mshambuliaji huyo wa Gabon hakuwa akifunga mabao ya kutosha, na alikuwa na nia ya kubadilisha mishahara mikubwa ya wachezaji wasio na msaada.

Mwisho, Arteta aliruhusu kufanya mazungumzo ya kuondoka kwake, baada ya kuzungumza na KSE. Arteta hakuwahi kuzungumza na Auba tangu Desemba na alishangaa Auba kutokuomba msamaha baada ya kurejea kutoka AFCON. Aubameyang alituma wawakilishi wake kuonana na Arteta ili kupata ruhusa ya kuondoka .

Na sasa Arsenal wanapanga matumizi makubwa zaidi katika historia yao - huku kukiwa na bajeti ya hadi pauni milioni 180 kwa ajili ya usajili wa majira ya kiangazi. Arsenal wanamtaka Isak, Calvert-Lewin na Neves.

Stan Kroenke ana nia ya kuonyesha imani yake kwa meneja Mikel Arteta kwa kutoa fedha kwa ajili ya kuboresha kikosi. Arsenal wanadhani Isak, Calvert-Lewin na Neves kama wachezaji wachanga wenye njaa ya kuwapeleka kwenye kiwango cha juu zaidi.


[Mark Irwin]
 
UNDERRATED LAKINI KAPROVE HIS PRICE TAG
✍🏿
Niseme tu ni moja kati ya sajili ambayo ilizua maneno Lukuki sio kwa mashabiki tu hata media ziliongea mengi juu ya price tag yake kwanini £50m arsenal kafanya overpaying wastage of resources maneno ya media haya, eti kwanini anamtoa mkopo saliba na kutumia hela yote hiyo..

✍🏿
Hapa nazungumza ben white leo nataka tuzungumze kiufundi zaidi ben white kwanini kaonesha walau 85% ya thamani yake?

✍🏿
nianze na hili tactical set up ya mtu ndio inampa picha kocha anahitaji wachezaji wa aina gani note it first kabla ya yote

✍🏿
Arteta anapenda posession football ila ni start from back kwa misingi hii anahitaji beki anae weza kuchezea mpira kupiga pass za uhakika au mwenye offensive ability

✍🏿
arsenal alikuwepo luiz ukiacha individual errors alikuwa nazo ila kwenye ball progression luiz alikuwa mtu muhimu mno ndio maana kacheza game nyingi tu kwa arteta sababu tacticallly ( kimbinu) alifit

✍🏿
baada kuondoka Luiz team ilihitaji mchezaji kariba ya Luiz kama ni mafatiliaji mzuri nadhani uliwahi muona white akiwa leeds pia brighton hove albion kwa wale scout wananielewa

✍🏿
white ni moja beki wazuri mno in posession football pass za uhakika kwa lugha nyingine niwaite playmaker from back nitaeleza kwanini

✍🏿
fatilia namna anavyotumika kuna muda anapiga pass ndefu kwenda mbele lengo ni kubeat press ya wapinzani

✍🏿
mbili anachukua mpira na kwenda nao mbele akidrible anafanya hivi ili kuwalazimisha washambuliaji wa team pinzani kulazimika kurudi kufata mipira chini

✍🏿
na wakirudi tu arsenal anafanya mid block au highpress kufanikiwa kupata mipira hii ni tactical set up kwenye uchezaji

✍🏿
mipira mingi wanayopokea saka, odegaard mingi inatoka kwa white kwanini kwasababu uchezaji wake unaruhusu

✍🏿
mpaka tulipo kajenga partineship nzuri na gabriel kugawana wajukumu mmoja anakaba mmoja anachezesha

✍🏿
japo kuna weekness ambazo anaweza kuendelea kuimprove mfano 1vs 1 inampa tabu kidogo ila naamini ataimprove angle hii

✍🏿
kiufupi white ni span player kwenye ball progression yetu white partey wakiwa form niamini mimi arsenal inakuwa moto ni sababu ya ball progression yao
1646343008887.png
 
Watford coach Hodgson confirms Ismail Sarr will miss Arsenal match due to hamstring problem
 
Arsenal wapo kwenye mazungumzo na wawakilishi wa William Saliba kuhusu kuongezewa kandarasi mpya, huku mkataba wake wa sasa ukiisha 2024, ambapo mkataba mpya utamfanya apate na nyongeza ya mshahara.
1646344018583.png
 
Kulingana na @ChrisWheatley_ Chief Arsenal Reporter •

Arsenal ina nia ya kumsajili beki wa pembeni wa Peru, Gilmar Laura (miaka 21) msimu ujao wa joto.

ni beki wa kulia
1646345261195.png
 
Je, wajua: kuelekea mechi na watford, Bukayo Saka alikuwa katika akademi ya Watford kabla ya kujiunga na Hale End. Saka alijiunga na Arsenal akiwa na umri wa miaka 7.
 
Kitu kimoja ninachopenda sana kwa Ramsdale ni kuwatia moyo wenzake, dhidi ya wolves Gabriel hata baada ya kufanya kosa ambalo lilipelekea Wolves kufunga, Ramsdale alimtia moyo beki wake,asitoke mchezoni, Miaka michache iliyopita, tulikuwa na Mustafi akifanya makosa na kisha kumlaumu Cech .

Kundi hili la wachezaji sasa linasaidiana.

1646346299196.png
 
Back
Top Bottom