MkoPoKa
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 600
- 393
XhakaNani huyo mkuu?
XhakaNani huyo mkuu?
Na Babu alikuwa Mwamba Kweli Kweli. Hiki kikosi alikuwa anatoboa nacho na kupambana na wana ulaya bila shidaNani huyo mkuu?
Una sababu zipi ambazo zinafanya usimkubali Arteta mkuuMambo yanabadilika sana.
Imagine sasa hivi Everton ana hofu ya relegation. Jamaa walitufunga 2-1, na hapo walikataliwa magoli 2 hivi kwa VAR- Offside.
Au ni kwamba sisi tulikutana na Benitez wakati ule na saivi wana Lampard?
Pamoja na kuwa sijamkubali Arteta bado, ila Premier league ni ngumu aisee. Ukifikiria after 3 games watu walihofia bottom 10 finish na sasa anakumbiza nafasi ya 4 au 3, si mbaya.
Mimi binafsi nitamkubali akitupeleka top 4 kwa table ilivyo tumeshatafuniwa chakula imebakia kukimeza imagine Arsenal akose kusecure top 4 this season itakuwaje?Una sababu zipi ambazo zinafanya usimkubali Arteta mkuu
Unakumbuka ulisema Arsenal haina uwezo wa kuingia top four na squad waliyonayo? na anayeamini Arsenal ataingia top four hajielewi??Mimi binafsi nitamkubali akitupeleka top 4 kwa table ilivyo tumeshatafuniwa chakula imebakia kukimeza imagine Arsenal akose kusecure top 4 this season itakuwaje?
unakumbuka kipindi unatuona wajinga we mzee?Sasa umeandika nini unakimbia kimbia kama binti mimi nakuuliza maswali matatu pekee nijibu
1- Since 1995 Arsenal haijawahi kukosa qualify for any European competition na Arteta ameikosesha Arsenal kushiriki European competition ni True or False?
2-For 2 seasons in a row Arteta kamaliza nafasi ya 8 is it True or False?
3-Arsenal haina any European competition this season ila amescore 0 goals na Conceded 11 goals against Chelsea Liverpool Manchester City is True or False?
Answer me then Arguments will continue don't run like a beautiful baby girl
Hizi ndio hoja za kuanza nazo kwanza in my opinionArteta is not a coach ambaye eti atabeba EPL au kuingia TOP 4 Never ever naapa
I am Arsenal fan licha kwa sasa ninaangalia football matches za PSG Chelsea waliona Lampard hataipa results team na akafukuzwa look today Chelsea na Arsenal ni two different teams yaani mbingu na Ardhi licha ya Kuwa December 2020 Mmoja alikuwa wa 9 na mwingine wa 10
Nachukia sana mijitu inayokuja na arguments kuwa Arteta ataifikisha Arsenal kwenye mafanikio wakati points zangu hapo juu zinaonyesha Arteta is doing nothing at all since he arrived
Kumbe ligi imeisha ?au tunaangalia ligi tofauti?kama ligi imeisha na Arsenal imeingia top 4 basi congratulations to Arsenal team and Arteta sina la kusema zaidi ya kutoa pongezi kwa players manager management and Kroenkeunakumbuka kipindi unatuona wajinga we mzee?
Naona kama mbinu zake bado ziko nyuma upande wa ushambulizi. Tumefunga magoli machache sana ukilinganisha na walio juu yetu.Una sababu zipi ambazo zinafanya usimkubali Arteta mkuu
Badili tu hiyo avatar,,Naona kama mbinu zake bado ziko nyuma upande wa ushambulizi. Tumefunga magoli machache sana ukilinganisha na walio juu yetu.
Pia mpira wake bado haunogi kuangalia ingawa umeboreka kuliko awali. Naona kama hata tukishinda tunafurahia ushindi ila mpira tuliotizama haujatufurahisha.
Naona kama alishindwa kumtumia Aubameyang vizuri. Mtu aliyezoea kuwa kinara wa magoli tangu aje, ila magoli yake yakapungua kwa Arteta.
Nipoteze muda kubadili avatar kali kama hii? Wajinga wapo duniani ila mimi si mmoja wao.Badili tu hiyo avatar,,
Kila siku mnaumbuka
Mkuu una striker force ya watu Sawa na hizo team zilizo juu yako ili ulingane nao magoli? Ni team 3 tu za juu ndio zimeizidi Arsenal Kila kitu Kwakuwa ukweli ni kwamba wao ni Bora kuliko Arsenal ila Arsenal kawazidi wengine wote waliobakiwa je Wana ubora huo?Naona kama mbinu zake bado ziko nyuma upande wa ushambulizi. Tumefunga magoli machache sana ukilinganisha na walio juu yetu.
Pia mpira wake bado haunogi kuangalia ingawa umeboreka kuliko awali. Naona kama hata tukishinda tunafurahia ushindi ila mpira tuliotizama haujatufurahisha.
Naona kama alishindwa kumtumia Aubameyang vizuri. Mtu aliyezoea kuwa kinara wa magoli tangu aje, ila magoli yake yakapungua kwa Arteta.
Sikubaliani na wewe kwa kiasi kikubwa sanaNaona kama mbinu zake bado ziko nyuma upande wa ushambulizi. Tumefunga magoli machache sana ukilinganisha na walio juu yetu.
Pia mpira wake bado haunogi kuangalia ingawa umeboreka kuliko awali. Naona kama hata tukishinda tunafurahia ushindi ila mpira tuliotizama haujatufurahisha.
Naona kama alishindwa kumtumia Aubameyang vizuri. Mtu aliyezoea kuwa kinara wa magoli tangu aje, ila magoli yake yakapungua kwa Arteta.
Asante sana.Mkuu una striker force ya watu Sawa na hizo team zilizo juu yako ili ulingane nao magoli? Ni team 3 tu za juu ndio zimeizidi Arsenal Kila kitu Kwakuwa ukweli ni kwamba wao ni Bora kuliko Arsenal ila Arsenal kawazidi wengine wote waliobakiwa je Wana ubora huo?
kama team Ina goal difference kubwa kuliko team yenye Ronaldo, Bruno,Sancho,Vardy,Madison,Kane,son unataka nani aje akukumbushe kuwa kocha anatumia vizuri resources alizonazo pamoja na low qualities alizonazo
Kuhusu mpira kutokunoga hizo ni tactics tu ndugu yangu maana arsenal ina falsafa ya kucheza mpira mzuri, ila kucheza mpira mzuri na hampati matokeo ni ujinga, kucheza vizuri inategemea na quality ya wachezaji pia, kaangalie hali ya Leeds huko, Arteta anacheza mpira wa kutafuta matokeo ili kumit target ya kumaliza top four
Kuhusu Auba ni yeye tu mwenyewe alikuwa hayupo sawa psychological Tangu apandishiwe Salary, akawa mvivu na kiburi, always anaenda against na matakwa ya kocha katika kambi ila Arteta akaendelea kumvumilia tu na akawa anafanya Siri, Auba akipewa ruhusa anavuta siku na harudi Kwa wakati
Ikafkia hatua ata mashabiki hawataki Auba apate namba maana kavumiliwa sana ila anakosa tu magoli ya wazi ata akiwa yeye na goli sa hapo utasemaje Kuwa kocha kashindwa kumtumia? ilifkia hatua jamaa ata kutuliza mpira hawezi ni wazi alikuwa na mambo mengi kichwani kwake
Me sidhani kama kuna Arsenal fan ambae analalamika kuondoka Kwa Auba kisa tu Kwakuwa huko Barca anascore, Auba alikuwa kirusi katika team na hasa katika ustawi wa wale watoto kina Saka and the like angewaharibu na hatimae Arteta angepoteza dressing room
Kwahiyo nachelea kusema baada ya kusoma SABABU zako za kutomkubali Arteta nimeona hazina mantiki labda kama ulichokiandika sicho unachokifikilia kichwani mwako, sio lazima umkubali Arteta maana Kuna watu hawamkubali ata pep, ila at least Mtu uwe na sababu zenye mashiko


ok but tutaona mwisho wa msimu tupo nafasi ipi Let's be optimistic mkuu! EPL haitabiriki manake hata Watford usipoangalia anakuchezesha kwata Ila let's keep our balls tight and see how things unfold.Mhh what if we fail to get that chance?ok but tutaona mwisho wa msimu tupo nafasi ipi View attachment 2134051