Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hapo ndo uone kazi yao ilivyo tofauti yan mmoja anazuia na mwingine anazuia na kuanzisha mashambulizi. Km ulivyosema White akichukua mpira anatulia maana anawaza kuanzisha lkn Gabriel anawaza kuzuia na kuwapa wengine waanzishe. Mkuu gabriel ni beki alietimia kwenye kuzuia, yuko tough na anafika kweli kweli
Msurunje umebadili ID ya ComputerArsenal unaona aibu sasa. HAhahaha
 
Na sio tu defensive, Gabriel hata anavyobuild play anapata tabu sana, central progression kwake is like a rocket science, ukimcheki Benjamin White is very comfortable when building play unlike Gabriel magalhaes. That's my opinion. We need a top ball playing defender like Benjamin White.
Ni sahihi kua na aina ya beki kama Benn white kwenye eneo la ulinzi au anaitajika aina tofauti ya beki kama ilivyo kwa GM6
 
Kwenye Mechi na Man city Gabriel alifeli na ile mechi tungepata points bila hayo makosa yake, kwanini ?

Sikia, moja ya majukumu ya Gabriel ni kwamba he supposed to hold the high line press per 90. Kuna moments anakuwa mentally passive na kusit off, ni makosa ya kimuundo, kivipi?, tuzungumzie red card aliyopewa vs City,

Alichotakiwa ni kuhold the line behind Gabriel Jesus, lakini hakufanya hivyo ikapelekea kuchelewa kuswitch target by the time anaArrive na Jesus akawa kashaturn on his way to score, then you know what happened? Huyo ndio Gabriel magahleas

kuzuia mabeki wangapi wanazuia mkuu, tunahitaji mchezaji mwenye high tactical education kushindana na Pep's team sio kuzuia hata Mustafi anazuia.
tunachotakiwa kujua amna mchezaji ambae uwa afanyi makosa cha muimu n ayo makosa kutojiludia mara kwa mara
 
Nolito & Bravo sio wachezaji wa Pep, Mendy kasumbuliwa na injury ila kashashinda Premier league in his first season with City, Rwkodi inaonesha Msimu wa 2018-19 aliweka Assist 5 kwenye mechi 10 kabla hajapata injury.
Nolito na bravo ni wachezaji wa nani Mkuu? Nani aliwanunua pale City
 
Msurunje umebadili ID ya ComputerArsenal unaona aibu sasa. HAhahaha
Mkuu sihusiani na hiyo id! Mpira nauchukulia katika uhalisia sana mkuu ukiondoa mifumo ya walimu. Na hakuna position ya ninaijua zaidi kwenye mpira km beki maana sikufanikiwa tu kucheza super league. Kwahiyo pamoja na hii modern football beki mzuri anaangaliwa kwa namna anavyofanya marking yan anamuingiaje mtu kumnyang'anya mpira na anazibaje nafasi ya mpinzani kupitisha mpira. Unachotaka Gabriel akifanye kinafanywa na White. Mkuu narudia tena huwezi kuwa na 4 na 5 wanaofanana uchezaji wakafanya vzr lkn kutakuwa na errors nyingi. Fuatilia uone mkuu
 
Ebu weka hiyo vision ya kimpira ili tuone wewe vision yako ikoje.

Ila km unatazama mpira vzr jinsi anavyo kaba 1v1, anavyogombania mipira ya juu(header) na anavyoanzisha mpira huwezi kusema kuwa ni beki ambae hawezi kutufikisha nchi ya ahadi. Mkuu gabriel ni stopper kweli kweli.

Na kitu kingine ambacho unatakiwa kukitilia maanani ni kwamba huwezi kuwa na mabeki wawili wanaofanana wakacheza pamoja lzm wawe na errors nyingi. Ndo maana utaona White akipora mpira ataanza kukokota kwenda mbele lkn Gabriel akipora mpira atapiga pasi au km atakokota basi atakokota mara chache sana.

Rudisha kumbukumbu nyuma mechi na man city kabla ya kupigwa kadi nyekundu ndo utaona kazi aliyofanya.
Nakazia
 
Mkuu Sina haja ya kufatilia maana mie ndivyo nijuavyo kuwa pep kawanunua hao wachezazi first window yake na wakawa flop ndomana nikaku quote

ila nimeshangaa unaposema kuwa Nolito na bravo sio wachezaji wa pep kwahiyo inawezekana ni kweli me sijui ila inabidi wewe ndio unijuze nani aliwanunua kama sio Pep?
 
tunachotakiwa kujua amna mchezaji ambae uwa afanyi makosa cha muimu n ayo makosa kutojiludia mara kwa mara
Na ndio maana Arsenal is not Man city, to be like pep's team you need to decide like Computer algorithm. To beat a Pep's team you need to be like them.

Ukileta mazoea utaumia, we need Gabriel to be like Diaz / Van dijk

We always need Partey to be like Rodrigo Hernandez/ Fernandinho / Fabinho na tunajua wazi Partey anapotential ya kuwa a better version of a Holding midfielder than
 
Mkuu Sina haja ya kufatilia maana mie ndivyo nijuavyo kuwa pep kawanunua hao wachezazi first window yake na wakawa flop ndomana nikaku quote

ila nimeshangaa unaposema kuwa Nolito na bravo sio wachezaji wa pep kwahiyo inawezekana ni kweli me sijui ila inabidi wewe ndio unijuze nani aliwanunua kama sio Pep?
Sawa
 
Nani anasema huwezi kuwa na ballplaying defenders wawili? Inabidi uelewe kwanini kuna ballplaying defenders nowadays.

Ngoja twende sawa

Sifa kuu a Good defender ( Van dijk) anatakiwa awe Composed, Calm, Confident.

What makes a good defender? Kuna mambo mawili makuu
1. Ability to win duels

2. Ability to Manage spaces in relation to the ball and teammates.

Gabriel Magahlaes kwenye kigezo cha Ability to win duels amepass, that's why wengi mnampraise sababu icho ndio mnakiona kwa a good defender, how about managing of spaces? To understand namna gani unaweza kuclose down your opponents & tackles unahitaji sixth sense of defending like Van dijk / kalidou koulibaly/ Chiellini.

Tatizo la Gabriel, he is not a ballplaying man, offensive anashindwa kucheza a foward linking passes to our wingers which get the team off pressure, whenever under pressure always give backpass, very risky

Sasa Kwanini? Sababu Gabriel analack vigezo muhimu which make a good defender... Control, Confidence, Calmness.

Yote yanasababishwa na his poor reading of situations inapelekea inaability to dominate and control the game. Ataendelea kutupotezea point paka atapoimprove but at the moment he is not good enough.

Kitu kingine kuhusu Pep Guardiola inabidi uelewe Pep anacheza Positional play (Juego de posicion) hivyo usitegemee mchezaji alikuwa anategemewa Bournemouth basi atakuwa hivyohivyo Man city, just like Jack Grealish alikuwa bora Aston villa ( play making) lakini anakuwa normal tu at City sababu roles zinapungua unafanya Roles za position tu inavyokuhitaji. Na Pep hajawahi kusajili Flop, hata Rodrigo Hernandez watu walimwita flop at first.
Hivi kolidou Coulibaly mna muhesabu vipi kama miongoni mwa mabeki bora duniani?

Kwangu namuona ni beki mzito sana.

Napoli ikiwa inakabia kwenye high line ndio kabisa.
 
He is good, huoni Xavi anamuhitaji, ni wazi anaona atawapa quality ya Van dijk.
 
Nani anasema huwezi kuwa na ballplaying defenders wawili? Inabidi uelewe kwanini kuna ballplaying defenders nowadays.

Ngoja twende sawa

Sifa kuu a Good defender ( Van dijk) anatakiwa awe Composed, Calm, Confident.

What makes a good defender? Kuna mambo mawili makuu
1. Ability to win duels

2. Ability to Manage spaces in relation to the ball and teammates.

Gabriel Magahlaes kwenye kigezo cha Ability to win duels amepass, that's why wengi mnampraise sababu icho ndio mnakiona kwa a good defender, how about managing of spaces? To understand namna gani unaweza kuclose down your opponents & tackles unahitaji sixth sense of defending like Van dijk / kalidou koulibaly/ Chiellini.

Tatizo la Gabriel, he is not a ballplaying man, offensive anashindwa kucheza a foward linking passes to our wingers which get the team off pressure, whenever under pressure always give backpass, very risky

Sasa Kwanini? Sababu Gabriel analack vigezo muhimu which make a good defender... Control, Confidence, Calmness.

Yote yanasababishwa na his poor reading of situations inapelekea inaability to dominate and control the game. Ataendelea kutupotezea point paka atapoimprove but at the moment he is not good enough.

Kitu kingine kuhusu Pep Guardiola inabidi uelewe Pep anacheza Positional play (Juego de posicion) hivyo usitegemee mchezaji alikuwa anategemewa Bournemouth basi atakuwa hivyohivyo Man city, just like Jack Grealish alikuwa bora Aston villa ( play making) lakini anakuwa normal tu at City sababu roles zinapungua unafanya Roles za position tu inavyokuhitaji. Na Pep hajawahi kusajili Flop, hata Rodrigo Hernandez watu walimwita flop at first.
Mbona nimekuambia Silva na Luiz walikua pamoja PSG?

Magalhaes siyo ball playing ndiyo maana kaja White.

Katika games alizocheza Magalhaes ngapi ametupotezea points na ngapi ametushindia points?

Aguero alitoka ATM akiwa tegemezi na City akaoffer alichooffer ATM. Grealish hakua bora, alikua overrated. Mahrez ndiye alikua bora alipotoka na anaoffer same qyality from time to time.

Hoja ya roles kupungua haimake sense. As in ulikua unatoa assissts ukiwa Villa umefika City role ya assissts inakufa?

Nimetaja majina ya flops za Pep za haraka haraka. Bado unasema hajawahi sajili flop?
 
Shida yako mkuu unapenda tubishane kuhusu ideas zako kuliko Facts.

Tulishabishana mambo mengi, mfano suala la Leno ulinibishia sana kwamba Arsenal haina tatizo la golikipa na naweza kutafuta comment kuonesha kuwa niliandika Arsenal tunahitaji Gk mzuri kwenye build up before hata Ramsdale kuja, nikaongea sn kuhusu ubovu wa Leno kwenye build up, ubovu wa distribution yake, na namna anavyotuzuia kuplay our own game lakini bado uligoma, so naelewa nachokisema. Tumebishana vitu vingi hadi vingine nimesahau.

Nilichojifunza kwenye Football kuna vitu huwezi kuviona kwa macho ya juu unahitaji kuelewa Structure za mpira kiundani kabla ya kuhoji kitu chochote kuhusu mpira, that's why kuna some arguments its better to keep quit maana ni kama unapoteza nguvu.

Unakuta mtu yupo kaskazini wewe upo mashariki unajiuliza hapa nareason kitu gani sasa kwenye fanbase ya aina hii, Maana hata utoe logic gani mtu hakuelewi, sio kosa lake ila ni sababu haelewi Fundamentals, Lakini nowadays nimejifunza kuheshimu maoni.
 
Huwa napendaga kuandika maoni kwa mtazamo wangu ila sio kuprove a point, maana huwezi kulazimisha kitu kikubalike kwa mtu na with time everything inakuwaga Ok, mtu kama kaamua kubisha atabisha tu hata utoe Logic za dunia yote.

Dale Carnegie anasema "you cant win an argument, the best way is to avoid it."
 
Shida yako mkuu unapenda tubishane kuhusu ideas zako kuliko Facts.

Tulishabishana mambo mengi, mfano suala la Leno ulinibishia sana kwamba Arsenal haina tatizo la golikipa na naweza kutafuta comment kuonesha kuwa niliandika Arsenal tunahitaji Gk mzuri kwenye build up before hata Ramsdale kuja, nikaongea sn kuhusu ubovu wa Leno kwenye build up, ubovu wa distribution yake, na namna anavyotuzuia kuplay our own game lakini bado uligoma, so naelewa nachokisema. Tumebishana vitu vingi hadi vingine nimesahau.

Nilichojifunza kwenye Football kuna vitu huwezi kuviona kwa macho ya juu unahitaji kuelewa Structure za mpira kiundani kabla ya kuhoji kitu chochote kuhusu mpira, that's why kuna some arguments its better to keep quit maana ni kama unapoteza nguvu.

Unakuta mtu yupo kaskazini wewe upo mashariki unajiuliza hapa nareason kitu gani sasa kwenye fanbase ya aina hii, Maana hata utoe logic gani mtu hakuelewi, sio kosa lake ila ni sababu haelewi Fundamentals, Lakini nowadays nimejifunza kuheshimu maoni.
Haina noma bro siku nyingine.
 
Mkuu mbona unazunguka sana Kwani ukikubali tu Kuwa ulikosea kusema Nolito na bravo hawakununuliwa na pep utapungukiwa nini?

Na kama bado unakataa hawakununuliwa na pep basi naomba msaada wako unijuze nani aliwanunua?
 
Haina noma bro siku nyingine.
Sawa, i challenge you to learn more wala si vinginevyo, tukipunguza kuongea in a general overview tukaingia deep structurally itakuwa a big step ahead.
 
Mkuu mbona unazunguka sana Kwani ukikubali tu Kuwa ulikosea kusema Nolito na bravo hawakununuliwa na pep utapungukiwa nini?

Na kama bado unakataa hawakununuliwa na pep basi naomba msaada wako unijuze nani aliwanunua?
Nimekwambia sawa, au unatakaje tena!
 
Back
Top Bottom