HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,674
- 7,130
Wolves leo naona atakuwa amejipanga vizuri mno. Nitafurahi tukishinda ila nafikiri wao wana uwezo mkubwa tu kutufunga.Afe kipa afe beki. Tunaondoka na point 3
Uzuri wake hadi dakika hii arsenal yenyewe inajua inataka nini
Tena tupo nyumbani (geto) tutampelekea moto dakika 90+
#COYG