Mgugu
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 2,165
- 4,404
Sio timu ni kilabu ya pombe za kienyeji,Hii ni timu au
Kwanza kuna red card inawasubiria kipindi cha pili.
Sio timu ni kilabu ya pombe za kienyeji,Hii ni timu au
hiyo inaweza saidia kwa kutupa mtu anayependa kudribble na ana pace. inaweza kumfanya semedo asipande sana pia.Second half Arteta inatakiwa amtoe Laca aingie Pepe aende pembeni kule halafu Martinel asimame kati
mkuu vip kwema. Mbona hukunichek tena?2-0 looming. We need Pepe in, laca/saka out
mkuu vip kwema. Mbona hukunichek tena?