Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Upande wa kushoto kona inahitaji mguu wa kulia anatumia mguu wa kulia.

Upande wa kulia kona inahitaji mguu wa kushoto anatumia mguu wa kushoto.

Dembele anaulizwa na mwandishi wa habari:

Mwandishi: We unatumia mguu gani?

Dembele: Kushoto

Mwandishi: Mbona penati unapiga na mguu wa kulia.

Dembele: Kwa sababu napiga mashuti vizuri na mguu wa kulia.

Mwandishi: Kwahiyo we ni mguu gani?

Dembele: Kimya.
Nadhani pia kuna interview moja Carzola aliwai kuulizwa ni mguu upi ni dominant kwake akajibu na yeye hajui kwasababu mguu wa kushoto unafanya kazi sawa sawa na mguu wa kulia
 
Nadhani pia kuna interview moja Carzola aliwai kuulizwa ni mguu upi ni dominant kwake akajibu na yeye hajui kwasababu mguu wa kushoto unafanya kazi sawa sawa na mguu wa kulia
Ambidexterity ya hali ya juu. Akili nyingi. Flexibility ya position, jushoto, kulia, namba 10, namba 8 na namba 6 kwake zote twende tu. Alistahili zaidi na zaidi kwa kweli.
 
Kuangalia mpira vibanda umiza kuna raha yake.

Jamaa kabadilisha game kwenye TV mbili tofauti coz of sauti. Game ya Liverpool vs Leeds kapeleka kwenye TV yenye sauti kubwa na Atletico vs United akabadilisha akaweka kwenye TV yenye sauti ndogo.

Mshabiki anataka arudishiwe jero lake maana kuna TV haina magoli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kuwekwa tu kwenye TV yenye magoli Joao Felix karudi na bonge la goli.


Hahaahahahahahaahahahahah
 
Gabriel Martinelli:

"Sisi ni vijana sana. Mchezaji mwenye umri mkubwa zaidi katika mchezo dhidi ya [Manchester] City alikuwa Laca lakini wachezaji wengi wana umri wa miaka 22, 23, 24. Tuna wakati wa kuimarika na tutafanya hivyo. Asilimia mia moja - tutakuwa moja ya timu bora zaidi ulimwenguni."

1645568241470.png
 
Mkutano kati ya Hasan Salihamidžić na wawakilishi wa Serge Gnabry ulifanyika Februari 2. Makubaliano hayakuweza kufikiwa. Pande zote mbili bado ziko mbali na kila mmoja. kubaki kwa Gnabry kunazidi kuwa kugumu

[@SPORTBILD]
1645568475852.png
 
Fabian Ruiz & Victor Osimhen |

Arsenal ‘want to relaunch their project’ by signing ‘important’ duo – Will need ‘more than €100m’
 
Martinelli juu ya Arteta:

"Nilipokuwa majeruhi, alikuwa akinipigia simu na kuniuliza hali yangu jinsi nilivyo. Ni meneja mzuri sana, lakini si hivyo tu, mtu mzuri sana."

Speaking to The Athletic, he said: "I always try to be positive, but it was a really tough time. My parents are always with me, saying good things, saying I need to believe in myself and let any bad things pass.

"Then the next day you work hard and five and a half months after I suffered the injury, I was back playing. I did my rehabilitation in England and had a bit of recovery time in Brazil.

"It was frustrating not to be able to help my team-mates. But those bad times have passed now.


"Mikel is a really nice guy and a lovely person. As a manager, he is unbelievable. He always tries to help everyone.

"When I was injured, he was calling me and asking how I am. He is a very good manager, but not only that, a very good person.”
 
Martinelli juu ya beki mgumu aliyekutana nae:

"kijana kutoka Nottingham Forest, Djed Spence, ambaye nilicheza dhidi yake kwenye Kombe la FA. Ana nguvu sana, anauwezo mzuri wa mpira, mtulivu na mwepesi. Nilishangaa; ni mchezaji mzuri sana! "
 
@FabrizioRomano kuhusu mustakabali wa Saka:

"Mchezaji anaipenda #Arsenal, na kwa sasa, hajapanga kitu tofauti. Mazungumzo ya mkataba hayatafanyika sasa. Sio Februari, sio Machi, watajadili labda mwisho wa msimu. "

"Lakini #Arsenal, bila shaka, wanafurahi naye, na anafurahi nao. Kwa hivyo sioni shida yoyote"

1645570702616.png
 
Arteta juu ya Cedric kutoa ushindani kwa Tomiyasu:

"Ni kile ninachotaka, kwamba tuwe na wachezaji ambao wanaweza kucheza katika nafasi sawa na sifa tofauti, ambao wanatupa chaguzi tofauti na kwamba una uhakika wanaweza kucheza, ndivyo ilivyo sasa" #Arsenal
 
Back
Top Bottom