Hiyo defensive game ndiyo imetuadhiri, sasa hivi lazima tu tushambulie kwa nguvu zote na pia kuhakikisha jamaa hawaoni tena nyavu zetu, maana siye draw tu inatutosha kusonga mbele.
Yeah mkuu na ndio mategemeo yao wacheze vile kipindi cha kwanza then cha pili wacheze mpira wa kawaida,ila hapo sasa inabidi muwafunge moja la sivyo mtatolewa mkuu......