Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ile thru ball ni bonge la option. Mimi juzi nilisema hatuchezi 4 3 3 kwa sababu hatuna viungo wa aina tatu watakaotawala dimba.

Nikasema Partey ana vision. By vision ni kama hivyo kutoa pasi ambazo yeye anaziona wewe unaona hapo anafanya nini sasa? Mfano assisst ya Saka, ile pasi nilidhani itaenda kwa Laca lakini vision ikamuonesha Saka aliye peke yake kushoto.

Partey ni kiungo mzuri
Mkuu hakuna anayesema Partey ni kiungo mbaya, ieleweke hivo...ninachosema ni kuwa Partey haelewi fundamentals za role anayocheza na kama anaelewa basi ana mental issue kwa kushindwa kuwa calm and reliable to his decisions.

Partey anacheza kama a Holding midfield now at Arsenal, Partey hakuwahi kuwa a full #6 or full #8 , partey always ni half #6 or #8, Hii role ya lone #6 ndio anakutana nayo for the first time in his career.

kinachotokea ni kuwa he is giving ball away in so many occasions, imeshakuwa common kwake, kwenye situation kama hiyo hakuna double pivot, a holding midfielder unatakiwa kuwa technically secure especially kwenye 1st & 2nd facets of play, in a possession based team Kama Arsenal a lone #6 ndio anaexert control, hatakiwi kucheza risky footie kitu ambacho ni common kwa Thomas Partey, nashangaa watu mnamsifia TP kucheza risky pass kwa Saka while kulikuwa na easy pass kulia kwa Ode.

Unaweza Niletea clip ya Fabinho / Rodri wakigive ball away kwenye build up phases, mimi nakuletea za TP hata 50, ni wakati wa TP kuchange, akishindwa basi Arsenal must get another Holding midfielder.
 
Locatelli ndiye alikua anakuja kucover hiyo lone #6 au ochestrator. Hapo Arsenal Thom anacheza kama ochestrator wakati Atletico alikua mkabaji.

So ni kweli hatuna ochestrator, sasa tungekua naye Partey angekua juu kidogo ambapo through balls zake zingekua zina matunda zaidi na zingesababisha apoteze kungekua na #6 nyuma.

Now ama akatazwe kupanda juu abaki chini au aendelee tu.

Fabinho na Rodri kupoteza mipira ni ngumu kiasi kwakua Rodri ni sumaku na Fabinho ni natural sumaku na wenzake wawili wamekua transformed kua sumaku. Naamini hivyo.

Anyway, nilisema tunahitaji mid hili dirisha dogo bahati mbaya haijawa so tuendeleze dua.
 
😀😀😀 fanya mpango aisee.
mimi huku nyuzi zangu ni arsenal, ujenzi (baadhi), kula tunda kimasihara na true crime yako. sasa kukosa update true crime kunafanya jf iboe. fanya mpango bro.😀😀
soon bro acha ishu zisettle
 
Ile thru ball ni bonge la option. Mimi juzi nilisema hatuchezi 4 3 3 kwa sababu hatuna viungo wa aina tatu watakaotawala dimba.

Nikasema Partey ana vision. By vision ni kama hivyo kutoa pasi ambazo yeye anaziona wewe unaona hapo anafanya nini sasa? Mfano assisst ya Saka, ile pasi nilidhani itaenda kwa Laca lakini vision ikamuonesha Saka aliye peke yake kushoto.

Partey ni kiungo mzuri
Kuna kitu watu hawaelewi kuhusu soka, soka ni mchezo unaohitaji urahisishaji, ndio maana tunapasiana, ukiona umebanwa unaachia moja, ndio maana tunapiga one two nakadhalika, huko kote ni kurahisisha.. Sasa huo ni urahisi mwepesi, hiki alichofanya partey ni urahisihaji wa hali ya juu, ni viungo wachache saana wenye vision ya namna hii, hawa huwa tunawaita midfield ya mpira.
Kuna game ozil alipiga pasi ngumu saana lakini ilipofika pale ndio likawa goli, ilibidi wachambuzi wazungumzie ile vision yake ni kiwango cha SGR,
 
Mkuu hakuna anayesema Partey ni kiungo mbaya, ieleweke hivo...ninachosema ni kuwa Partey haelewi fundamentals za role anayocheza na kama anaelewa basi ana mental issue kwa kushindwa kuwa calm and reliable to his decisions.

Partey anacheza kama a Holding midfield now at Arsenal, Partey hakuwahi kuwa a full #6 or full #8 , partey always ni half #6 or #8, Hii role ya lone #6 ndio anakutana nayo for the first time in his career.

kinachotokea ni kuwa he is giving ball away in so many occasions, imeshakuwa common kwake, kwenye situation kama hiyo hakuna double pivot, a holding midfielder unatakiwa kuwa technically secure especially kwenye 1st & 2nd facets of play, in a possession based team Kama Arsenal a lone #6 ndio anaexert control, hatakiwi kucheza risky footie kitu ambacho ni common kwa Thomas Partey, nashangaa watu mnamsifia TP kucheza risky pass kwa Saka while kulikuwa na easy pass kulia kwa Ode.

Unaweza Niletea clip ya Fabinho / Rodri wakigive ball away kwenye build up phases, mimi nakuletea za TP hata 50, ni wakati wa TP kuchange, akishindwa basi Arsenal must get another Holding midfielder.
Hapo sasa umeeleweka, shida ni kwamba timu kuna mtu tunamkosa, ndio hapo partey anajikuta anafanya kazi mbili, hao kina rodri na fabinho kazi yao ni moja pale chini, juu yao kuna watu, wakurahisisha mpira.
 
Ndio vitu unapenda mkuu, bahati mbaya zingine zinagoma ni mbaya sana kwa mtu km ParteyView attachment 2127163
Hapa alizingua, ila si lazima kila mara apatie, naiangalia hii video mara mbili mbili lakini nashindwa kuelewa alikuwa anataka nini, labda kunitengenezea mazingira ya kushoot baada ya kumpunguza yule opponent, la angempa odergaard ambae angekuwa katika nafasi nzuri ya kucurve sababu anatumia mguu wa kushoto, ila best option ni kupiga pasi kule upande wa kushoto kwa kina tierney.
 
.
@eduardoinda

: “Joao Felix is a very good player. Arsenal want him. Simeone, his objective is to change Felix for Guedes. The problem Atleti have is that he cost €120m & getting that back is something that can only be done if he is sold to the Premier League.”
@elchiringuitotv
 
According to @CorSport

, Ainsley Maitland-Niles has has failed to make any impact so far at Roma & is ‘showing technical limitation’. Unless he improves quickly, he will be seen as a 'real flop'.
 
1645487247645.png
 
Partey's pass selection, Ø anaonekana upande wa kulia partey anacheza risky kwa Saka.View attachment 2126545
Partey driving run was beautiful, You can see he wanted to give it to Saka earlier but knew the defender will go across to him, So he held the ball longer to stop the defender from committing to Saka until it was too late. Brilliant stuff from Thomas👏❤
 
Back
Top Bottom