Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
alizinguaje? hivi si ndio mashabiki mlipiga kelele arteta ampige bench na ampe nafas martinel?Arteta ndo alizingua
alizinguaje? hivi si ndio mashabiki mlipiga kelele arteta ampige bench na ampe nafas martinel?Arteta ndo alizingua
Chief nimekupmKiukweli tuna mechi ngumu sana tarehe 24 against wolves. The advantage ni kwamba tunacheza Emirates ambapo tumepoteza against Man city na Chelsea pekee kwenye EPL msimu huu
Na ndo itatupa mwelekeo wetu iyo gmaeKiukweli tuna mechi ngumu sana tarehe 24 against wolves. The advantage ni kwamba tunacheza Emirates ambapo tumepoteza against Man city na Chelsea pekee kwenye EPL msimu huu
Nimekujibu broChief nimekupm
TrueNa ndo itatupa mwelekeo wetu iyo gmae
Shukrani.Nimekujibu bro
Iyo game haitupi uelekeo(direction tunayo) ila tunatakiwa kuendeleza uelekeo tulionao baada ya game mbili zilizopitaNa ndo itatupa mwelekeo wetu iyo gmae
Partey nampenda saana akiwa pale chini anakuofa vitu vingi, nampenda saana mchezaji mnyumbulifu, kwa timu inayojenga mashabulizi kutokea chini mnahitaji kiungo aina ya Partey, wakat mnaanza mashambulizi mnakuwa mmelipa mgongo goli la mpinzani, lazima mpate midfielder ya chini inayoweza kupokea mali na kugeuka kwa adui, kazi hii elneny hawezi xhaka haiwezi, wao ukiwapasia mpira utarudi ulipotoka hilo moja. Maboko kadhaa xhaka kachoma kwa namna hiyo. Mie naona partey aongezewe midfielder mnyumbulifu mwingine, patanoga saana pale kati.Kuna mdau anakataa Partey kucheza as a lone #6, hoja yake anasema Partey amekuwa too risky, careless and inconsistent kwenye position inayohitaji umakini mkubwa.
Most of his game under Diego Simeon alikuwa anatumika as a defensive blocker, Arteta role anayompa ni kucheza as a single pivot who presses high up the pitch kitu kinachohitaji physicality & Technicality kwa kiwango cha juu,
Naona kuna baadhi ya watu wanamtaka Tchouameni wa Monaco kwenye 433 role coz he allows Arsenal to play Ø & ESR as 8s, binafsi natamani kuona ESR akirudi central nadhani atakuwa balaa kwenye his natural position.

Sina agenda yoyote against Partey ila inonekana in that position he lacks Maturity & Calmness reliably compared to Rodri/ Fabinho. Kinachoonekana ni kwamba Tchouameni anaweza kufanya hiyo kazi similar to Fabinho, makosa km haya tumeyaona mengi kwa Partey this season, ikiwa against big teams you get punished badly, sasa at #6 ni km role imemkataa.Partey nampenda saana akiwa pale chini anakuofa vitu vingi, nampenda saana mchezaji mnyumbulifu, kwa timu inayojenga mashabulizi kutokea chini mnahitaji kiungo aina ya Partey, wakat mnaanza mashambulizi mnakuwa mmelipa mgongo goli la mpinzani, lazima mpate midfielder ya chini inayoweza kupokea mali na kugeuka kwa adui, kazi hii elneny hawezi xhaka haiwezi, wao ukiwapasia mpira utarudi ulipotoka hilo moja. Maboko kadhaa xhaka kachoma kwa namna hiyo. Mie naona partey aongezewe midfielder mnyumbulifu mwingine, patanoga saana pale kati.
Midfielder lazima uwe laini kidogo, sio unakuwa mgumu kama unakula MAWE.![]()
Kuna GIf niliattach unfortunately inafeliSina agenda yoyote against Partey ila inonekana in that position he lacks Maturity & Calmness reliably compared to Rodri/ Fabinho. Kinachoonekana ni kwamba Tchouameni anaweza kufanya hiyo kazi similar to Fabinho, makosa km haya tumeyaona mengi kwa Partey this season, ikiwa against big teams you get punished badly, sasa at #6 ni km role imemkataa.
Nadhani ni kazi ya arteta kumuweka sawa. Jamaa akitulia pekee gake anaweza sambaratisha kiungo wa timu pinzani ana sifa nyingi mnoo za kuwa kiungo bora. Akitulia si fabinho wala rodri wa kuingia mziki ule.Sina agenda yoyote against Partey ila inonekana in that position he lacks Maturity & Calmness reliably compared to Rodri/ Fabinho. Kinachoonekana ni kwamba Tchouameni anaweza kufanya hiyo kazi similar to Fabinho, makosa km haya tumeyaona mengi kwa Partey this season, ikiwa against big teams you get punished badly, sasa at #6 ni km role imemkataa.
Partey's pass selection, Ø anaonekana upande wa kulia partey anacheza risky kwa Saka.Sina agenda yoyote against Partey ila inonekana in that position he lacks Maturity & Calmness reliably compared to Rodri/ Fabinho. Kinachoonekana ni kwamba Tchouameni anaweza kufanya hiyo kazi similar to Fabinho, makosa km haya tumeyaona mengi kwa Partey this season, ikiwa against big teams you get punished badly, sasa at #6 ni km role imemkataa.
Wewe mkuu unadhani Arteta hayaoni haya, ni mara ngapi Partey anaomba radhi insta kwa kushindwa kustep up his game,? against Palace goli mbili zilitokana na Partey & lokonga to play risky football and so many games, juzi vs Brentford alicheza risky wale madogo wakashindwa kuCapitalize, Timu ikienda UCL kwa hizo risky si atatukanwa sn.Nadhani ni kazi ya arteta kumuweka sawa. Jamaa akitulia pekee gake anaweza sambaratisha kiungo wa timu pinzani ana sifa nyingi mnoo za kuwa kiungo bora. Akitulia si fabinho wala rodri wa kuingia mziki ule.
Hichi ndio ninachokizungumzia, umeona kwanza mpira kapokea kageuka kwa adui kapunguza mmoja, kisha akawa anapiga pasi ya kumtangulizia mtu, hapa saka mwenyewe tu hakuwa tayari, mkimbio wake alijua pasi itapigwa kwa mtu aliye upande wa kulia sijui ni nani, ila partey alichotaka kufanya ni shortcut, kurahisisha mambo, hiki ni kitu muhimu kwenye game, kwangu hana ubaya hapo, saka angekaa vizuri ile ni moja kwa moja alikuwa anaenda kumuona golikipa..Partey's pass selection, Ø anaonekana upande wa kulia partey anacheza risky kwa Saka.View attachment 2126545
Mkuu nafasi ya Partey sio ya kufanya vitu unavyoviita shortcut, ndio maana ya kusema he is too risky, a lone 6 hautakiwi kuwa careless to that extent, you need to be keen enough on your passing selection,Hichi ndio ninachokizungumzia, umeona kwanza mpira kapokea kageuka kwa adui kapunguza mmoja, kisha akawa anapiga pasi ya kumtangulizia mtu, hapa saka mwenyewe tu hakuwa tayari, mkimbio wake alijua pasi itapigwa kwa mtu aliye upande wa kulia sijui ni nani, ila partey alichotaka kufanya ni shortcut, kurahisisha mambo, hiki ni kitu muhimu kwenye game, kwangu hana ubaya hapo, saka angekaa vizuri ile ni moja kwa moja alikuwa anaenda kumuona golikipa..
Mchezaji ukiwa uwanjani unapaswa ujue uzuri na udhaifu wa mwenzio, sasa partey alijua saka ana mwendo nikiiweka pale hii ni moja kwa zote.
Sikumbuki game na nani, ila kuna game song badala ya kumpa chamakh(gervinho) sikumbuki vizuri, aliye katika nafasi nzuri, alifosi akamoa van persie aliye katika mazingira magumu na akafunga, hii ilitokea baada ya kama dk kadhaa nyuma kumpa gervinho na kuharibu mara kadhaa.
mkuu partey alikuwa hajaw fit tu hata yeye alisema, anajipa 4/10 ,baada ya hapo partey alirud kwenye ubora wake, na no.6 anayemtaka arteta ndiye mwenye sifa za partey, toka awe fiti amekuwa akijenga mashambulizi kutokea chini akipokea mipira kwa back 4, na anajua kupiga passSina agenda yoyote against Partey ila inonekana in that position he lacks Maturity & Calmness reliably compared to Rodri/ Fabinho. Kinachoonekana ni kwamba Tchouameni anaweza kufanya hiyo kazi similar to Fabinho, makosa km haya tumeyaona mengi kwa Partey this season, ikiwa against big teams you get punished badly, sasa at #6 ni km role imemkataa.