Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
How Arsenal's Wide Rotations Unlock Brentford's 3-5-2 | Arsenal vs Brentford
napambana.Pole mkuu.
Nishamtupia jini la kikongo ataanza kucheza ndombolo uwanjani sasa hivi.Vlahovic anafunga mapema sana against Villareal.
Hajaliangalia goli kabisa na kafunga kwa kutumia his weaker foot
Hahaha Atletico ni miongoni mwa timu zinazotumia mabavu na upakiji basi katika mechi ila hivi karibuni kama amepunguza hivi.Kwa mktadha wa uefa tunawaomba muungane na wenzenu mje kwa wingi pale wanda metropolitano mashetani tuna jambo letu.
Hii match haihitaji maelezo mengi kama hayo we kachukue siti kibanda umiza ugengesike na fotbolHahaha Atletico ni miongoni mwa timu zinazotumia mabavu na upakiji basi katika mechi ila hivi karibuni kama amepunguza hivi.
Imekua kawaida Atletico kushinda 1 au kwenda half time anaongozwa au ubao kua nunge ila sasa hapo ni akicheza na timu hazina Maguire.
Kwenu mi naona 50/50 bado hamna ukali huo wa kutamba, wao ukali wanao ila wamekua na bahati mbaya siku za hivi karibuni. Wanaangushwa na bahati zaidi kuliko kikosi na mbinu.
Siwezi kulipa pesa niangalie vibondeHii match haihitaji maelezo mengi kama hayo we kachukue siti kibanda umiza ugengesike na fotbol
Locatelli ndiye alikua anakuja kucover hiyo lone #6 au ochestrator. Hapo Arsenal Thom anacheza kama ochestrator wakati Atletico alikua mkabaji.
So ni kweli hatuna ochestrator, sasa tungekua naye Partey angekua juu kidogo ambapo through balls zake zingekua zina matunda zaidi na zingesababisha apoteze kungekua na #6 nyuma.
Now ama akatazwe kupanda juu abaki chini au aendelee tu.
Fabinho na Rodri kupoteza mipira ni ngumu kiasi kwakua Rodri ni sumaku na Fabinho ni natural sumaku na wenzake wawili wamekua transformed kua sumaku. Naamini hivyo.
Anyway, nilisema tunahitaji mid hili dirisha dogo bahati mbaya haijawa so tuendeleze dua.
Utamu halisi wa sharubati ya mpira unapatika man utd pekeee usikosee kakaSiwezi kulipa pesa niangalie vibonde
Acha waExtend his contract, mimi nachoamini wazee under Mikel Arteta tunashinda Champions league & Premier league.
Anaitwa mtakatifu cazorla, huyu jamaa alikuwa ni fundi mnoo, angecheza zile timu kubwa za kubeba makombe basi angeimbwa saana... Moja kati ya vipaji ambavyo haviimbwi saana sababu ya nyota.View attachment 2128296
hatutafuti tena mchezaji kama huyu ?
conductor Santi.
aisee tulimmiss sana huyu mtu. angekuwa fit matatizo mengi yetu yangeyeyuka
Upande wa kushoto kona inahitaji mguu wa kulia anatumia mguu wa kulia.Anaitwa mtakatifu cazorla, huyu jamaa alikuwa ni fundi mnoo, angecheza zile timu kubwa za kubeba makombe basi angeimbwa saana... Moja kati ya vipaji ambavyo haviimbwi saana sababu ya nyota.
Huwa nawapenda saana wachezaji wa namna hii, sijui kwa kuwa mimi sikubarikiwa kutumia miguu yote, cazorla anapokea mali na kulia, anafinya, kisha anakokota na kushoto, anareceive mali na mguu wa kushoto anaachia na mguu wa kulia, nimemkumbuka na Alexander hleb. Ni burudani aisee kutizama.. Yaani mpaka kudrible wanadrible na miguu gote miwili na hakuna tofauti.Upande wa kushoto kona inahitaji mguu wa kulia anatumia mguu wa kulia.
Upande wa kulia kona inahitaji mguu wa kushoto anatumia mguu wa kushoto.
Dembele anaulizwa na mwandishi wa habari:
Mwandishi: We unatumia mguu gani?
Dembele: Kushoto
Mwandishi: Mbona penati unapiga na mguu wa kulia.
Dembele: Kwa sababu napiga mashuti vizuri na mguu wa kulia.
Mwandishi: Kwahiyo we ni mguu gani?
Dembele: Kimya.
hleb aliboa sana alipoenda barcaHuwa nawapenda saana wachezaji wa namna hii, sijui kwa kuwa mimi sikubarikiwa kutumia miguu yote, cazorla anapokea mali na kulia, anafinya, kisha anakokota na kushoto, anareceive mali na mguu wa kushoto anaachia na mguu wa kulia, nimemkumbuka na Alexander hleb. Ni burudani aisee kutizama.. Yaani mpaka kudrible wanadrible na miguu gote miwili na hakuna tofauti.
Tamaa ilimponza.. Yeye na alex song wote hao waliemda kujiharibia.hleb aliboa sana alipoenda barca