Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta on Smith Rowe:

"He can play as a left winger, he can play as a left attacking midfielder, right attacking midfielder & he can play as a nine — very, very well I think"

1645410457593.png
 
Sina agenda yoyote against Partey ila inonekana in that position he lacks Maturity & Calmness reliably compared to Rodri/ Fabinho. Kinachoonekana ni kwamba Tchouameni anaweza kufanya hiyo kazi similar to Fabinho, makosa km haya tumeyaona mengi kwa Partey this season, ikiwa against big teams you get punished badly, sasa at #6 ni km role imemkataa.
partey mbona alishakaa sawa muda tu, toka game na palace,

Partey has filled in fantastically as a #6 and Xhaka has been brilliant in that left sided 8 role, he’s so key in progressing the ball and overloading the left side - most teams cannot handle that flank

7th straight quality Premier league performance from Thomas Partey. Southampton (H), West Ham (H), Leeds (A), Norwich (A), City (H), Wolves (A) and against Brentford. He’s adapted to the Premier league!

Thomas Partey said he would give himself a 4/10 rating in terms of performances since joining Arsenal from Atlético Madrid (interview in middle of December).

Since then he is at his consistent best at 8/10 every week. Fair play to him! 👏

Last 10 league games with Xhaka/Partey.

Arsenal 2-0 Brighton
Arsenal 3-1 Spurs
Everton 2-1 Arsenal
Arsenal 3-0 Southampton
Arsenal 2-0 West Ham
Leeds 1-4 Arsenal
Norwich 0-5 Arsenal
Man City 1-2 Arsenal
Wolves 0-1 Arsenal
Arsenal 2-1 Brentford

Won 8 Draw 0 Lost 2
 
Nadhani ni kazi ya arteta kumuweka sawa. Jamaa akitulia pekee gake anaweza sambaratisha kiungo wa timu pinzani ana sifa nyingi mnoo za kuwa kiungo bora. Akitulia si fabinho wala rodri wa kuingia mziki ule.
Thomas Partey said he would give himself a 4/10 rating in terms of performances since joining Arsenal from Atlético Madrid (interview in middle of December).

Since then he is at his consistent best at 8/10 every week. Fair play to him! 👏
 
Hichi ndio ninachokizungumzia, umeona kwanza mpira kapokea kageuka kwa adui kapunguza mmoja, kisha akawa anapiga pasi ya kumtangulizia mtu, hapa saka mwenyewe tu hakuwa tayari, mkimbio wake alijua pasi itapigwa kwa mtu aliye upande wa kulia sijui ni nani, ila partey alichotaka kufanya ni shortcut, kurahisisha mambo, hiki ni kitu muhimu kwenye game, kwangu hana ubaya hapo, saka angekaa vizuri ile ni moja kwa moja alikuwa anaenda kumuona golikipa..

Mchezaji ukiwa uwanjani unapaswa ujue uzuri na udhaifu wa mwenzio, sasa partey alijua saka ana mwendo nikiiweka pale hii ni moja kwa zote.

Sikumbuki game na nani, ila kuna game song badala ya kumpa chamakh(gervinho) sikumbuki vizuri, aliye katika nafasi nzuri, alifosi akamoa van persie aliye katika mazingira magumu na akafunga, hii ilitokea baada ya kama dk kadhaa nyuma kumpa gervinho na kuharibu mara kadhaa.
Such a brilliant finish from Saka, but notice how Partey pushes their defence to right side with dribbling (Laca’s run too) to leave Saka completely unmarked on left wing.

It’s things like these make Partey very important
 
Inatia moyo kuona Arteta akimtumia Xhaka as a no.8 . Siku zote nilikuwa nafikiri kwamba hatua hii ingeifungua Arsenal zaidi,kuwa fluidity kwa sababu kama tunavyojua, lengo la kucheza
positional play is to overload on one side, then switch to the free man other.

1645411888086.png

Xhaka generally wasn't tempted to come deep for the ball (it also meant Tierney could play more on the cover, less reliant to make the width). Instead,

More encouraging words from Arteta which suggests taking Arsenal's game to another level. I previously mentioned that I feel they're still a step below controlling games - which is linked to domination - rather, they're very good at staying in the games, waiting for moments
1645412024097.png
 
Arsenal must get Tchouameni. Next one in the class of Fabinho/Fernandinho.

A lighthouse of a holding midfielder with a natural gift for tackling and immense technical ability. Extremely rare player.

Allows us to play ESR/Ode as 8s.

Pay whatever.

Arteta's project deserves it.
 
Such a brilliant finish from Saka, but notice how Partey pushes their defence to right side with dribbling (Laca’s run too) to leave Saka completely unmarked on left wing.

It’s things like these make Partey very important
Umeicheki video mkuu!? Hiki ndio nakipenda awe nacho midfielder.
 
partey mbona alishakaa sawa muda tu, toka game na palace,

Partey has filled in fantastically as a #6 and Xhaka has been brilliant in that left sided 8 role, he’s so key in progressing the ball and overloading the left side - most teams cannot handle that flank

7th straight quality Premier league performance from Thomas Partey. Southampton (H), West Ham (H), Leeds (A), Norwich (A), City (H), Wolves (A) and against Brentford. He’s adapted to the Premier league!

Thomas Partey said he would give himself a 4/10 rating in terms of performances since joining Arsenal from Atlético Madrid (interview in middle of December).

Since then he is at his consistent best at 8/10 every week. Fair play to him!

Last 10 league games with Xhaka/Partey.

Arsenal 2-0 Brighton
Arsenal 3-1 Spurs
Everton 2-1 Arsenal
Arsenal 3-0 Southampton
Arsenal 2-0 West Ham
Leeds 1-4 Arsenal
Norwich 0-5 Arsenal
Man City 1-2 Arsenal
Wolves 0-1 Arsenal
Arsenal 2-1 Brentford

Won 8 Draw 0 Lost 2
Ni lini arsenal mmetufunga 2-1 ???

Aisee
 
Hichi ndio ninachokizungumzia, umeona kwanza mpira kapokea kageuka kwa adui kapunguza mmoja, kisha akawa anapiga pasi ya kumtangulizia mtu, hapa saka mwenyewe tu hakuwa tayari, mkimbio wake alijua pasi itapigwa kwa mtu aliye upande wa kulia sijui ni nani, ila partey alichotaka kufanya ni shortcut, kurahisisha mambo, hiki ni kitu muhimu kwenye game, kwangu hana ubaya hapo, saka angekaa vizuri ile ni moja kwa moja alikuwa anaenda kumuona golikipa..

Mchezaji ukiwa uwanjani unapaswa ujue uzuri na udhaifu wa mwenzio, sasa partey alijua saka ana mwendo nikiiweka pale hii ni moja kwa zote.

Sikumbuki game na nani, ila kuna game song badala ya kumpa chamakh(gervinho) sikumbuki vizuri, aliye katika nafasi nzuri, alifosi akamoa van persie aliye katika mazingira magumu na akafunga, hii ilitokea baada ya kama dk kadhaa nyuma kumpa gervinho na kuharibu mara kadhaa.
Hapa nakubaliana na Will Jr ,nafikiri partey alitakiwa aende kwa laca na ode pale. siyo tu kwa sababu walikuwa open ila pia kwa sababu mimi naona kama saka hana mbio na hata mpira ungepita asingeufikia. sidhani kama saka anafaa kwa throughballs za namna hii zinazohitaji kasi. ingekuwa pepe au martinelli hapo ni habari ingine maana wana mbio.
 
Kuna mdau anakataa Partey kucheza as a lone #6, hoja yake anasema Partey amekuwa too risky, careless and inconsistent kwenye position inayohitaji umakini mkubwa.

Most of his game under Diego Simeon alikuwa anatumika as a defensive blocker, Arteta role anayompa ni kucheza as a single pivot who presses high up the pitch kitu kinachohitaji physicality & Technicality kwa kiwango cha juu,

Naona kuna baadhi ya watu wanamtaka Tchouameni wa Monaco kwenye 433 role coz he allows Arsenal to play Ø & ESR as 8s, binafsi natamani kuona ESR akirudi central nadhani atakuwa balaa kwenye his natural position.
Natural position ya Emile ni winger
 
Hapa nakubaliana na Will Jr ,nafikiri partey alitakiwa aende kwa laca na ode pale. siyo tu kwa sababu walikuwa open ila pia kwa sababu mimi naona kama saka hana mbio na hata mpira ungepita asingeufikia. sidhani kama saka anafaa kwa throughballs za namna hii zinazohitaji kasi. ingekuwa pepe au martinelli hapo ni habari ingine maana wana mbio.
Saka ana mbio kuliko Pepe na Martinelli kwa Arsenal ya sasa anapitwa na Tavares tu
 
Saka ana mbio kuliko Pepe wala Martinelli kwa Arsenal ya sasa anapitwa na Tavares tu
daah. basi mbona mimi namuona kama yuko slow? au labda ana acceleration ndogo anachukua muda kufika top speed? kweli nashangaa hapa😄😄
 
daah. basi mbona mimi namuona kama yuko slow? au labda ana acceleration ndogo anachukua muda kufika top speed? kweli nashangaa hapa
Msimu uliopita aliwekewa weekly rating ya 94 katika 100 kwenye speed Grealish akawa anamtania.

Msimu huu wiki mbili zilizopita kwenye mazoezi ameonekana akishindana mbio na Pepe na akampita. Martinelli na Pepe unawaona wana speed kwakua mara nyingi wanakimbizana na mabeki halafu ni mabeki wachache sana wana speed, wakati Saka yeye ni kutoa pasi na kukimbia mara moja moja.

Kwenye Euro Chiellini ilibidi amvute Saka jezi.

Gif ya Will Jr inaonyesha Saka bado hakua na control ya mpira, mpira ungempita beki aliyelala ndiyo angetoka speed sasa..
 
Natural position ya Emile ni winger
Yule ni natural #10, hiyo ndio best position kwake, kwa Academy wa Hale end kipindi cha Arsene Wenger walifunzwa kucheza in multiple positions for fluidity & dynamism of the game, Balogun CF/LW, ESR AM/ LW/ LCM, Saka anacheza position sita tofauti LCM/RCM/RW/LWB/LB/LW. Na the best position kwa Saka ilikuwa LW lakini Mikel Arteta akamtransform to RW.
 
shukran sana. kumbe nilikuwa namchukulia dogo poa.
huwa naimani nikiona martinelli au pepe wanapewa throughballs. kumbe tunatakiwa kutumia pace ya saka katika hizo throughballs na fast breaks.

mimi kawaida sipendi kuwa na wachezaji slow slow. ila bora kuwa slow kama xhaka lakini maamuzi mazuri kuliko kuwa fast kama tavares kwa sasa ambaye nikimuona kaoverlap na mbio zake najua mwisho wake hata cross itakuwa mbovu tu. ila jamaa akiimprove final ball aisee atakuwa matata sana.
 
mimi bado napenda saka wa left side zaidi ya right kwa crosses zake za enzi za emery. ila akiwa right side pamoja na kutokuwa na zile cross ameendelea kuwa tishio kwa magoli
 
Yule ni natural #10, hiyo ndio best position kwake, kwa Academy wa Hale end kipindi cha Arsene Wenger walifunzwa kucheza in multiple positions for fluidity & dynamism of the game, Balogun CF/LW, ESR AM/ LW/ LCM, Saka anacheza position sita tofauti LCM/RCM/RW/LWB/LB/LW. Na the best position kwa Saka ilikuwa LW lakini Mikel Arteta akamtransform to RW.
Mimi nikisema natural position hua namaanisha ile nafasi ambayo kaanza nayo na ndiyo alikua comfortable nayo.

Mfano Saka alikua RM na viungo wa pembeni wengi sana wamekua mabeki mfano wa haraka haraka ni Alphonso Davies na Achraf Hakimi. Hata Saka alipoanza kuchezeshwa kama LB mi nikajua anafuata suite ya Viungo wa Pembeni wengine.

Halafu Wingers wengi wamekua CAM mfano Grealish akiwa Villa amecheza kama AM ila City amerudishwa natural position ya LW as AM ina Kevin. Buendia pia naturally ni winger ila Norwich ikamtumia kama AM na Villa kaenda kama AM.

Nimeona comment ya Aaron Arsenal akimquote Arteta akielezea nafasi Emile anaweza kuzimudu sana na Wings zimetajwa, ni rahisi winger kua kiungo kwakua wingers hua na pace na skills so ni rahisi kwao kutoboa katikati. Nafikiri ndiyo maana Arteta yuko tayari kumuweka kati Emile kuliko Saka
 
shukran sana. kumbe nilikuwa namchukulia dogo poa.
huwa naimani nikiona martinelli au pepe wanapewa throughballs. kumbe tunatakiwa kutumia pace ya saka katika hizo throughballs na fast breaks.

mimi kawaida sipendi kuwa na wachezaji slow slow. ila bora kuwa slow kama xhaka lakini maamuzi mazuri kuliko kuwa fast kama tavares kwa sasa ambaye nikimuona kaoverlap na mbio zake najua mwisho wake hata cross itakuwa mbovu tu. ila jamaa akiimprove final ball aisee atakuwa matata sana.
Angekua na uwezo wa chenga wa Martinelli au Pepe speed yake ingemsaidia sana ila sasa hivi anaitumia kupress na kucross. Pepe na Martinelli wanatoka speed na wanaweza kubaki na beki mmoja au wawili wakawabody feint na kushuti wakati Saka anakimbia na kusimama kusubiri mtu aje kuomba pasi.
 
kweli.
sijui ni amekuwa muoga wa risks au nini maana yeye yuko vizuri zaidi na right foot kuliko pepe. ana u aubameyanga flani hivi in that kwa finishing anaweza kutumia miguu yote. anatakiwa kubody feint mabeki kidogo tu na kuwasurprise na right-footed shots maana wengi wanaona wanaweza kumtabiri. akijizoesha zaidi atakuwa tishio zaidi.
 
Back
Top Bottom