Gooooosh!!!!! This Boys should stand up n get back in there feet......................Tushalala.......
Haya ndiyo matokeo ya kuchezea shilingi chooni. Kwa matokeo haya tayari tuko nje ya mashindano haya, hivyo inabidi kupata goli moja au zaidi ili kuweza kuendelea.
samahani sana....tuombeane kheri tu....!!!
Chenk madam i wich u ol the bechti
Wenzako wako wapi mbona siwaoni??
Lakini bado arseno wana nafasi ya kurekebisha makosa!
utawaona tu wakati wa kuanua matanga.....tulia subiri pilau...si ndo kilichokuleta kwenye huu msiba???
Wacheze normal football na sio defence footbal.....la sivyo watakunywa nyingi
Duuuh.....ngoja nisubilie second half itakuwaje...
bak, mambo bado bana japo fab kauza team pale.
Dah messi mmbaya jamani ili goli sijui mtamlaumu FAB au ALUMINIUM. what a goal..............aaaahaaaaah