Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Opportunity 4 Arsenal to grab fourth spot
Yea. Ila kama tutashinda leo tutaanza kua wa tano kwanza Kipindi tunapiga dua walio juu wapoteze na walio chini wapoteze. Angalu tupate matokeo kwenye mechi tatu mfululizo huku walio juu na chini wadrop points katika hizo games.

Nje ya hapo tutakua tunafanya komedi
 
Super Tomiyasu is back in full trainingThe back 4 of dreams
1644478233777.png

Arteta pretty clear on Arsenal’s need to bolster the squad this summer:

“Obviously we are going to have to sign players in the summer, that’s without a question of a doubt.”
 
"Arsenal will 100% sign a top striker in the summer. They had many names in their list, but they're not available in the January window." #AFC

@FabrizioRomano
 
adhabu zao zimeisha leo wolves ajiandae
Watafanya low block hawa na hii formation yao inarahisisha low block.

So mid inahitajika iwe na vision na accuracy ya kutosha katika pasi. Martinelli awepo kukimbiza defense na kukimbilia hiyo mipira.

Laca katangazwa kapteni so nafikiri lazima awepo.

Nafikiri game plan ni ile ile
 
leo hii inabid iwe mech ya kisasi, kipind yupo luiz walibebwa kwa ile red card, goli la mapema litawatoa nyuma, uwepo wa xhaka partey, tutamiliki midfield,tunahitaji goli mapema sana

nadhan arteta kashawafanyia homework ya kutosha,inabidi tutanue wingers pemben ili kuwavuta cb wao, tutumie half spaces, martinel na saka watanue sana pemben , hawa jamaa low block sana
 
Ile game ilikua ya hovyo kwakua hata baada ya kukata rufaa sisi ikagomewa ila ya timu nyingine ikakubaliwa.

The reason yetu ilikataliwa ni kwakua ingemaanisha red imeinfluence ushindi wao.

Shots za nje ya box is key unapokutana na low block too bad wings zetu hazijamaster kucut in na kuscore so hiyo kazi inabaki ya Martin, Emile, Partey na Xhaka.

Wana kocha mzuri natarajia upinzani
 
Lineups out,

Arsenal: Ramsdale, Tierney, White, Soares, Gabriel, Partey, Xhaka, Martinelli, Saka, Odegaard, Lacazette. Subs: Okonkwo, Smith Rowe, Holding, Pepe, Tavares, Lokonga, Elneny, Nketiah, Awe.
 
Back
Top Bottom