isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,562
Xhaka hiyo ndio foul yake ya kwanza na kadi, wenye fouls nyingi Cedric na Benjamin.xhaka ,game ambay iko kasi n compact haiwez ,yuko too slow kwenye maamuzi n nd mana anafnya fouls nyngi..
Xhaka hiyo ndio foul yake ya kwanza na kadi, wenye fouls nyingi Cedric na Benjamin.xhaka ,game ambay iko kasi n compact haiwez ,yuko too slow kwenye maamuzi n nd mana anafnya fouls nyngi..
Inahitajika substitution ya moja kati yao.Sijui kipindi cha 2 kwa Xhaka kama atamaliza salama.
Ya Partey haikupaswa kuwa card, kwa mara nyengine namuona Michael Oliver akiteleza kazini.
for real...😂Kwa sababu hii kitu imekuwa kawaida, basi kocha aanze kutrain team kucheza na wachezaji 10