Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Acha wale bata Dubai ili warudi kwenye form,
In my opinion, with injury free uhakika tunamaliza top four. Ila tatizo litakuja pale Xhaka / Partey/ White / Tomiyasu kupata long term injury.

Kulusevski, Bentacur wanaongeza ubora kwa our rival Spurs ngoja tuone, united & west ham sina hofu nao.
 
Haimake sense Vlahovic anasema mpira wa Spurs unamfaa kuliko Arsenal, kwamba Antonio conte achukue EPL before Mikel Arteta au?
 
Unamfananisha Conte na arteta kweli ......

Huyo mchezaji kafata kocha ...

Conte >arteta ...

Arteta anavitu vya kujifunza Sana kutoka kwa Conte
 
Arsenal ni kweli walikuwa na interest na Vlahovic ila hawakuwa serious na suala la pesa ya ada, hivyo Juventus haikuwa shida kupiga hodi na kumsajili kiulaini.

Ila Stan Kroenke na Arteta wamekubaliana kwamba usajili mkubwa ufanyike mwezi Juni/Julai na si sasa, ila washughulikie suala la Aubameyang aondoke aondoe kiwingu.

Hivyo Auba sasa yupo Barcelona na atafanya medical jioni hii na atatangazwa kuwa mchezaji wa barca kwa mkopo hadi end of the season.

Hivyo, Arsenal kusajili mchezaji yoyote yule kwa sasa chance ni ndogo sana na hata wakifanya hivyo itakuwa ni kwa mkopo na ndo maana wameamua wamalizane na Lacazette na Nketia ambao watakaa hadi mwishio wa msimu.
Walipeleka ofa kwa mchezaji ambaye amesema wazi hana interest na Arsenal. Baada ya kukataliwa plan B ilikua ipi? Anahitajika mid wameenda kwa Melo ikawa Juve wanarefusha makubaliano.

Kwanini hakukua na plan B ya Mid na wala ya ST?
 
Unamfananisha Conte na arteta kweli ......

Huyo mchezaji kafata kocha ...

Conte >arteta ...

Arteta anavitu vya kujifunza Sana kutoka kwa Conte
Boya wewe, huna unachojua kuhusu mpira endelea kushabikia majina
 
4 3 3 vs Norwich, na kuna mtu unakuta anakataa Xhaka x Partey hawawezi kucheza 433.
IMG_20211228_230434.jpg
IMG_20211228_230429.jpg
IMG_20211228_230426.jpg
IMG_20211228_230440.jpg
 
Boya wewe, huna unachojua kuhusu mpira endelea kushabikia majina
Wewe unajua Nini , ukweli ni kwamba Conte anaweza chukua epl na arteta anatoa macho .....

Arteta ni mtoto mdogo Sana kwa Conte Kama hutaki Leta statistics za Conte na arteta ....

Arteta katoka kuwa msaidizi city juzi kapewa arsenal ....unajua CV ya conte nyang'ao wew

Usiniletee makasiriko yako kama huna takwimu ...
 
FACT kwa atakayebisha atakuwa Mjinga huwezi compare Conte na Arteta ni Mbingu na Ardhi that's why hata sasa players wengi wanaikimbia Arsenal sababu wanaona ni ujinga kuja kuwa chini ya Arteta

Up to now dirisha linafungwa ni marumours tu ya kijingajinga nothing new unaweza kuona ni normal thing but huko Summer ndio kabisa Kama Arsenal hatamaliza top 4(hapa ni ndoto) wachezaji ambao ataweza kuwapata ni wale wa middle and small teams na team itakuwa imekufa rasmi na Arsenal kuamka may be Kroenke aamue kuachia timu au aage dunia ndio Arsenal itakuja mpya because Mmiliki mpya aatanza kusafisha coach na nusu ya players na rubbish zote around our team
 
Sasa wewe naye unataka kuargue na mimi, nilishakublock kitambo sana, nimekosea kukujibu leo.
 
FACT kwa atakayebisha atakuwa Mjinga huwezi compare Conte na Arteta ni Mbingu na Ardhi that's why hata sasa players wengi wanaikimbia Arsenal sababu wanaona ni ujinga kuja kuwa chini ya Arteta

Up to now dirisha linafungwa ni marumours tu ya kijingajinga nothing new unaweza kuona ni normal thing but huko Summer ndio kabisa Kama Arsenal hatamaliza top 4(hapa ni ndoto) wachezaji ambao ataweza kuwapata ni wale wa middle and small teams na team itakuwa imekufa rasmi na Arsenal kuamka may be Kroenke aamue kuachia timu au aage dunia ndio Arsenal itakuja mpya because Mmiliki mpya aatanza kusafisha coach na nusu ya players na rubbish zote around our team
Sasa nafikir kama wewe ni shabik wa aresnal unashindwa kutofautisha tati ya tatizo linalomhusu arteta na kroenke sports investment..
Ulitaka arteta atoe pesa yake kununua wachezaji?
Je kwa akili yako unafikir tactically conte ni bora kuliko arteta
Je unadhani kama arteta angepata financial backup aliyopata conte katika kutengeneza CV yake je angekuwa hapo alipo au timu yako ya arsenal ingeweza kumuajiri.
 
Bado unataka tubishane Conte na Arteta nani zaidi???do you mean pia Arteta anaweza akawa bora kuliko Guardiola sababu Manchester City wanaspend more than Arsenal??bro siwezi kupoteza huo muda
 
Hivi board ya Arsenal pamoja na Edu wapo serious kweli?.

Leo ndo deadline ya transfer then till now hamna dalili zozote za kusajili mchezaji..
 
Usishughulike na wafanyakaz hoji integrity ya wamiliki kwa sababu arteta na edu ni waajiriwa wanaofata maelekezo ya boss
 
You're the toxic Arsenal fan of all time, Don't complain like a little bitch.

Tryna handle your stuff MOTHERFUCKER!!!
Umeanza matusi unayataka ?Answer me if yes tulianzishe I am ready unaambiwa ukweli ambao upo wazi (NAKED TRUTH)unaanza kunya kunya kama kuku
 
Back
Top Bottom